LUKU inakula umeme sio poa

LUKU inakula umeme sio poa

Toka tarehe 22/12 umeme unaenda kwenye luku sio poa. Wastan wa units 28 Kwa siku Kwa nyumba ya kutumia balbu 5 na friji, TV
Next to impossible kwa balbu tano kula umeme kiasi hicho. labda kama ni zile flood lights za uwanja wa kucheza mpira usiku..!! AU labda una motor kubwa kwako..!!
Kama huna kifaa kikubwa kinachokula umeme sana, Ita fundi umeme acheki wiring system yako..!! Especially earthing system.

By the way, kui-test LUKU mita pekee, andika unit zilizopo then zima main switch (zima kila kitu) kwa masaa kadhaa, let say masaa matano, hatafu washa tena uone kama units za LUKU zimepungua au bado zipo zile zile..!!! Kama zimepungua katoe taarifa TANESCO wakubadirishie mita, au kama hazijapungua, rekebisha wiring system yako
 
Next to impossible kwa balbu tano kula umeme kiasi hicho. labda kama ni zile flood lights za uwanja wa kucheza mpira usiku..!! AU labda una motor kubwa kwako..!!
Kama huna kifaa kikubwa kinachokula umeme sana, Ita fundi umeme acheki wiring system yako..!! Especially earthing system
Nilikosea Ni balbu 15 ndugu.
 
Nilikosea Ni balbu 15 ndugu.
Pamoja na hayo, balbu moja ina watt ngapi? Au total watts kwa balbu zote 15 ni kiasi gani?

Binafsi, nna pampu ya maji 1.5kW, taa 18 zenye total ya watts not more than 300W na friza, TV, redio labda na kupiga pasi, sijui brenda, microwave etc lakini sizidishi 6 units per day on average..!! Wewe unit 28 hapana aisee..!!
 
Ni kweli kabisa. Yaani hawa akina Makamba sijui waliacha nini TANESCO, yaani wizi mtupu. Hata mi juzi tu nimenunua luku kibao ila nimekuja kushangaa eti unit zimebaki kidogo. Wanasheria mtusaidie
Chawa wa mama hadi wewe unaisoma namba kumbe!
 
Ni kweli kabisa. Yaani hawa akina Makamba sijui waliacha nini TANESCO, yaani wizi mtupu. Hata mi juzi tu nimenunua luku kibao ila nimekuja kushangaa eti unit zimebaki kidogo. Wanasheria mtusaidie
Matumizi yako yapoje? Au trend ya matumizi imebadilika bila kuongeza kitu kinachotumia umeme?
 
Toka tarehe 22/12 umeme unaenda kwenye luku sio poa. Wastan wa units 28 Kwa siku Kwa nyumba ya kutumia balbu 5 na friji, TV
Hicho ni kiwanda au nyumba😂😂😂😂😂
 
Pole sana au friji limekuwa bovu.
Nipo kigamboni pia, Sizimi friji, Taa za nje 6 bado za ndani, pasi, tv, na tangu nimeweka unit 56 ni wiki imeisha sasa na hazijaisha
Hata kama fridge likiwa bovu hivi unazijua unit 28? Huyu atakuwa ana chomelea vyuma kwake hahaha😂😂😂😂
 
Hiyo luku yako itakua na undugu na mwigu nchemba mzee watozo
 
Back
Top Bottom