rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
panga boi...na zile za ambazo hazina keleleFeni zipi,panga boi au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
panga boi...na zile za ambazo hazina keleleFeni zipi,panga boi au?
Mita yako iko vizuripanga boi...na zile za ambazo hazina kelele
Kuna loose connection kwenye waya ya neutral au kuna shoti mahali. Ita fundi aje arekebishe laasivyo muda si mrefu kitaumana.Toka tarehe 22/12 umeme unaenda kwenye luku sio poa. Wastan wa units 28 Kwa siku Kwa nyumba ya kutumia balbu 5 na friji, TV
Una vitu gani vinatumia umeme kiasi hicho?Units 28 kwangu ni siku mbili
Friji ndogo tu watt 240, tv, pasi na ac basiUna vitu gani vinatumia umeme kiasi hicho?
Aisee hii nikweli kabisaToka tarehe 22/12 umeme unaenda kwenye luku sio poa. Wastan wa units 28 Kwa siku Kwa nyumba ya kutumia balbu 5 na friji, TV
Mchawi AC, huyo jamaa kama anatumika usiku kucha lazima uipate fresh!!(kuna ac inatumia hadi 2units/hr)Friji ndogo tu watt 240, tv, pasi na ac basi
Ila muulize vizuri matumizi yakeMfumo unashida imeingia,
Mtafute fundi akuangalizie wapi iliposhida
Kabla ya ac nlikua natumia unit 6 kwa siku bado naona ni mwingi kwa vitu hivyoMchawi AC, huyo jamaa kama anatumika usiku kucha lazima uipate fresh!!(kuna ac inatumia hadi 2units/hr)
Usiseme uongo Kuna nyumba niliwahi panga umeme wa 10 hamtoboi masaa 24,,so inawezekana kutegemea na matumizi.Uongoo bhana
Duuuuuuh hata kama ungekua na AC umeme usingeenda hivi hapo kuna tatizoToka tarehe 22/12 umeme unaenda kwenye luku sio poa. Wastani wa units 28 Kwa siku Kwa nyumba ya kutumia balbu 5 na friji, TV
Mkuu cheki na fundi lazima kutakuwa na shida mahali au hata leakage, pia kingine unaweza fanya jaribio rahisi kama itawezekana angalia salio la unit zako kisha zima main switch yako baada ya muda kiasi cheki tena salio la unit zako ukikuta imepungua hata kidogo kiasi gani ujue kuna tatizo31.12.2023 niliweka wa 20,000 (56 units) Jana tarehe 02.01 umeisha