igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,389
Uko sahihi kabisa, yaani inabidi uwe mtumwa wa kukagua kila dakika ili units zisiishe kabisa. Maana ukikata mara betri hakuna kwenye rimoti mara rimoti haionekani (maana ni giza hapo)Huyu jamaa hajui kero zake, kuna muda umeme unakata afu ile mita ya kuwekea luku sehem ya betri mbovu unaanza gongea majirani. Hio ya digital ndo mpango mzima.