Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Zinatofautianaje na hizi zilizopo tunazo recharge kwa remoteNashauri uondoaji wa LUKU za zamani utegemee mahitaji binafsi ya mteja na ajigharamie mwenyewe kubadilisha LUKU na pia LUKU za kidigitali zitolewe kwa wateja wapya. Kubadilisha LUKU zote ambazo hazina tatizo lolote ni ubadhirifu na uchafuzi wa mazingira na sio kipaumbele cha tanesco wala matatizo yanayowakabili watumiaji.