Uko sahihi kabisa, yaani inabidi uwe mtumwa wa kukagua kila dakika ili units zisiishe kabisa. Maana ukikata mara betri hakuna kwenye rimoti mara rimoti haionekani (maana ni giza hapo)Huyu jamaa hajui kero zake, kuna muda umeme unakata afu ile mita ya kuwekea luku sehem ya betri mbovu unaanza gongea majirani. Hio ya digital ndo mpango mzima.
Watafanya kwa ku phase out mkuu, siyo kuondoa hata ambazo hazina tatizo. Hata Luku ilianza hivi hivi mpaka zikaenea...Zaidi ya wateja laki moja wamelipia umeme tangu mwaka jana na hawajawekewa hadi sasa kisa hamna vifaa halafu unasikia mtu anakuja na mipango mingine ya upigaji. Hii nchi tumerogwa vibaya
Wewe ndio umeteuliwa kutambua na kuainisha vipaumbele vya tanesco?Unajua kuna mita ngapi za umeme chini ya Tanesco?na zinagharimu kiasi gani?hivi kweli Tanesco inaweza kujigamba kununua na kubadilisha mita zote za luku?kama mteja anahitaji kubadilisha basi gharama iwe ya mteja mwenyewe na siyo ya Tanesco...Tanesco ina vipaumbele vingi kuliko hiki.
Tunabadilisha zile sehemu zenye madhara kama maeneo ya majimaji ,maeneo mapya yanayowekwa umeme na kubadilisha nguzo zilizoharibika au kuoza hivyo baada ya kipindi fulani labda miaka 15 tutakuwa tumebadilisha nguzo zote...nachopinga ni kufanya maamuzi ya jumla yaani blanket decision ya kubadilisha nguzo zote hata kama hazina athari yoyote..maeneo ambayo nguzo za mbao zinaweza kutumika ziendelee kutumika kama kawaida kwani mnyororo wake kiuchumi una faida kubwa na kuajiri vijana wengi sanaTunazidi sana kulalamika.
Ivi kweli kuondoa nguo za miti ni matumizi mabaya ya pesa????
Ni jambo jema kabisaKwa mara nyingine tena Tanesco inajiingiza katika gharama zisizo za lazima kwa kutaka kutekeleza mpango wa kubadilisha luku kuwa za kidigitali.
Kama ilivyokuwa kwa kubadilisha nguzo za miti na kuweka nguzo za zege.
Tanesco itaondoa luku ambazo hazina matatizo yoyote kwa mteja au Tanesco na kuweka hizo mpya za kigitali wakati Tanesco ina madeni mengi na pia inashindwa kutekeleza miradi yake ikiwemo urekebishaji wa mifumo ya umeme na kuondoa ukatikaji wa umeme.
Nashauri uondoaji wa luku za zamani utegemee mahitaji binafsi ya mteja na ajigharamie mwenyewe kubadilisha luku na pia luku za kidigitali zitolewe kwa wateja wapya. Kubadilisha luku zote ambazo hazina tatizo lolote ni ubadhirifu na uchafuzi wa mazingira na sio kipaumbele cha tanesco wala matatizo yanayowakabili watumiaji.
Hata mita zilizopo ni za kidigital na taarifa inasema Tanesco wanampango wa kubadili mita kuweka mita janja (smart meter). Kuhusu kuweka umeme moja kwa moja hiyo ni programu haihusiani na mita ambayo pia Tanesco walishatangaza kuanzia mwezi july mwaka huu wataanza kuitumia programu hii ambapo mteja ukinunua umeme unaingia moja kwa moja kwenye mita bila kujali unatumia mita ya aina gani.Tunaheshim mawazo yako:
Lakini inaonekana huna ufaham wa faida zitokanazo na luku za digital! jipe muda ku study lengo lao! Utawashukuru sana!
Kongole kwa TANESCO, hakika unapokuwa popote ni unajaza tu bila kugusana na luku yenyewe! kama vocha tu!
Hilo mbona hawawezi kufanya hivyo? Watatoa hizo pesa zootee za kubadili nguzo nchi nzima, kubadili Luku nchi nzima??Tunabadilisha zile sehemu zenye madhara kama maeneo ya majimaji ,maeneo mapya yanayowekwa umeme na kubadilisha nguzo zilizoharibika au kuoza hivyo baada ya kipindi fulani labda miaka 15 tutakuwa tumebadilisha nguzo zote...nachopinga ni kufanya maamuzi ya jumla yaani blanket decision ya kubadilisha nguzo zote hata kama hazina athari yoyote..maeneo ambayo nguzo za mbao zinaweza kutumika ziendelee kutumika kama kawaida kwani mnyororo wake kiuchumi una faida kubwa na kuajiri vijana wengi sana
Sio kweli kwani hata hizi zilizopo zinaweza kutengenezewa tu program zikafanya kazi hiyo tena labda kwa chini ya robo bei . Kama mabadiliko yenyewe ndio hayo pekee, hata mimi naona kuna kitu hakipo sawa kwenye kupanga vipaumbele.Hizo za kidigitali ziratuwezesha kujaza umeme bila kuigusa mita Kama kutuma pesa' tu
Unajua maana ya kubadilisha luku zote kuwa za kidigitali?maana ni kudump mfumo mzima wa sasa majumbani na makao makuu...Watafanya kwa ku phase out mkuu, siyo kuondoa hata ambazo hazina tatizo. Hata Luku ilianza hivi hivi mpaka zikaenea...
Hiyo progamu inatumika na ni wazo zuri na ni teknolojia rahisi inayotumiwa hata na wajasiriamali...siyo kitu kipya ingawa ukiletewa gharama ya kuanzisha hiyo app unaweza kuchanganyikiwa...ni heri walau hata hizi dili za app wangeachia hela ndani ya nchi kwa vijana wetu pale kariakooHata mita zilizopo ni za kidigital na taarifa inasema Tanesco wanampango wa kubadili mita kuweka mita janja (smart meter). Kuhusu kuweka umeme moja kwa moja hiyo ni programu haihusiani na mita ambayo pia Tanesco walishatangaza kuanzia mwezi july mwaka huu wataanza kuitumia programu hii ambapo mteja ukinunua umeme unaingia moja kwa moja kwenye mita bila kujali unatumia mita ya aina gani.
Aiseee,Mimi nitamuoa GENTAMYCINEWabongo ni lawama kila kitu, hawana jema wala moja. Serikali iruhusu ndoa za jinsia moja watu kama watoa mada tuwaoe tu labda akili zao zitakuwa sawa.
Huyo hata hajui umeme unavyowekwaTunaheshim mawazo yako:
Lakini inaonekana huna ufaham wa faida zitokanazo na luku za digital! jipe muda ku study lengo lao! Utawashukuru sana!
Kongole kwa TANESCO, hakika unapokuwa popote ni unajaza tu bila kugusana na luku yenyewe! kama vocha tu!
Mataga tulieni Mama afanye kaziZaidi ya wateja laki moja wamelipia umeme tangu mwaka jana na hawajawekewa hadi sasa kisa hamna vifaa halafu unasikia mtu anakuja na mipango mingine ya upigaji. Hii nchi tumerogwa vibaya
Na mimi nitakuoa mtoto mzuri Frank wanjiruAiseee,Mimi nitamuoa GENTAMYCINE
Subiri nimuoe GENTAMYCINE kwanza halafu wewe utakuwa Mke mdogo.Na mimi nitakuoa mtoto mzuri Frank wanjiru