Zinatofautianaje na hizi zilizopo tunazo recharge kwa remoteNashauri uondoaji wa LUKU za zamani utegemee mahitaji binafsi ya mteja na ajigharamie mwenyewe kubadilisha LUKU na pia LUKU za kidigitali zitolewe kwa wateja wapya. Kubadilisha LUKU zote ambazo hazina tatizo lolote ni ubadhirifu na uchafuzi wa mazingira na sio kipaumbele cha tanesco wala matatizo yanayowakabili watumiaji.
Ukitaka kupiga pesa fanya procurement tuhawa wa zamani watazibadili kwa fetha zao maana hizo garama watakazo tumia kwa hizo mita ndo hilo bomu wanelitengeneza za watu wote karudishwa matumizi ya viwanda
Kwani wewe unazo hizo akili?Kwan lini J. Makamba amewahi kua na Akili?.
Hio hela itakayookolewa na tanesco mnauhakika itaonekana ? Iacheni serikali ifanye kazi yake wana mbinu zote za kutunyoosha bila keleleMtoa mada mimi mimemwelewa, Hapingi mabadiliko ya hizo mita la hasha anachopinga ni gharama kubebwa na tanesco badala yake anashauri gharama hizo ziwe kwa mteja anayetaka kubadilishiwa kwa hiari yake mwenyewe na kwa wateja wapya hawa wa zamani iwe juu ya mteja mwenyewe
Naungana nae
Nami nitaendelea Kudumu 'Kibaiolojia' na aliyekuzaa.Aiseee,Mimi nitamuoa GENTAMYCINE
Nisubirie Kwanza nimalizane na aliyekuzaaSubiri nimuoe GENTAMYCINE kwanza halafu wewe utakuwa Mke mdogo.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ila humu ndani kama una stress unapitia chap unafurahi unasepa zakoNisubirie Kwanza nimalizane na aliyekuzaa
Hakuna shida ili mradi na Mimi nakupumulia kisogoniNami nitaendelea Kudumu 'Kibaiolojia' na aliyekuzaa.
Na kaniambia husimamishi mpaka uwekwe cha katiNisubirie Kwanza nimalizane na aliyekuzaa