Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani?
Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi binafsi na chama mbele ndiye anajipigia chapuo ya kuwa spika? Kwamba Leo akina Kabudi ndio tunawaza wakawe maspika na warekebishe Sheria za awamu ya Ndugai?
Sisi wazee tukubali kung'atuka tukafanye mambo mengine. Tutashangaa sasa akina Wasira nao watachua fomu kwa sababu wazee tumeshindwa kukemeana na kukatazana.
Wazee tukae pembeni tutoe ushauri tusiishi maisha yetu na maisha ya watoto wetu. Wake Nyerere wasingetuamini tukiwa vijana may be tusingefika hapa tuliopo.
Wazee kaeni kando turuhusu kizazi kingine kitakachowaza namna nzuri ya kuishi kesho. Turudi kumtumikia MUNGU atujalie afya njema. Tujifunze kwa uborongaji wa wazee wenzetu akina Masilingi, Slaa, Banna, Migiro ambao wamekaa balozini hakuna chochote Cha maana waichofanya, hakuna new intervention waliyoibua. Wapo tu wanazunguka na immunity za kidiplomasia. Wazee tukae pembeni, na ninyi wapika kura wengi ni vijana, msikubali kuwachagua hao wazee hata kwenye chama wataendelea kukaa viti vyenu.
Tunataka spika wa umri wa akina Masele ambaye hata akitukanwa kwa hoja atoweza kutumia umri kama kigezo cha kutoa maamuzi. Spika akianza kuboronga akatamani aheshimiwe kama Mzazi hoja zinakufa kwa sababu ni vigumu kumkosoa baba Yako.