Lukuvi, Chenge, Kabudi kubalini mmezeeka acheni kujipigia kampeni za uspika, vijana kama Steven Masele kachukueni fomu wakikata jina freshi tu

Wewe ndiye Masele, unajipigia chapuo hapa' Hupati hata kura moja maana hata kule South Africa ulionesha utovu wa nidhamu wa hali ya juu. Tunataka Spika mwenye umri kama wa akina Nancy Pelosi. Huyo Masele ni hopeless and I hope ni wewe. Kachukue fomu uone itakavyofyekelewa mbali!

Mkuu naOna kila anaeweka post ya ya kuhusu Masele kipenzi cha watu unakuja kumponda Kua ni yeye Masele anajipigia chapuo, hacha chuki utakufa bure kwa wivu
Kama Mungu kapanga Masele awe speaker atakua kama Mungu hajapanga hatokua kwa hiyo kama unataka kuchukua form kachukue bila kupambana kumchafua mtu by the way sidhani kama Yule jamaa anawaza Kua speaker Tanzania , watu tunajua uwezo wake ni mkubwa ndio maana tunamuongelea
 
Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani?

Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi binafsi na chama mbele ndiye anajipigia chapuo ya kuwa spika? Kwamba Leo akina Kabudi ndio tunawaza wakawe maspika na warekebishe Sheria za awamu ya Ndugai?

Sisi wazee tukubali kung'atuka tukafanye mambo mengine. Tutashangaa sasa akina Wasira nao watachua fomu kwa sababu wazee tumeshindwa kukemeana na kukatazana.

Wazee tukae pembeni tutoe ushauri tusiishi maisha yetu na maisha ya watoto wetu. Wake Nyerere wasingetuamini tukiwa vijana may be tusingefika hapa tuliopo.

Wazee kaeni kando turuhusu kizazi kingine kitakachowaza namna nzuri ya kuishi kesho. Turudi kumtumikia MUNGU atujalie afya njema. Tujifunze kwa uborongaji wa wazee wenzetu akina Masilingi, Slaa, Banna, Migiro ambao wamekaa balozini hakuna chochote Cha maana waichofanya, hakuna new intervention waliyoibua. Wapo tu wanazunguka na immunity za kidiplomasia. Wazee tukae pembeni, na ninyi wapika kura wengi ni vijana, msikubali kuwachagua hao wazee hata kwenye chama wataendelea kukaa viti vyenu.

Tunataka spika wa umri wa akina Masele ambaye hata akitukanwa kwa hoja atoweza kutumia umri kama kigezo cha kutoa maamuzi. Spika akianza kuboronga akatamani aheshimiwe kama Mzazi hoja zinakufa kwa sababu ni vigumu kumkosoa baba Yako.
Kwenye Uspika suala la uzee linakuwa overrated tu, kazi yenyewe wala siyo kunyanyua vyuma au kumuweka Mwanamke style ya 69 au Cowgirl.

Jitokezeni Wazee Kwa Vijana chukueni fomu atakayeonekana anafaa atapitishwa akafanye kazi ya kuongoza Bunge.
 
Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani?

Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi binafsi na chama mbele ndiye anajipigia chapuo ya kuwa spika? Kwamba Leo akina Kabudi ndio tunawaza wakawe maspika na warekebishe Sheria za awamu ya Ndugai?

Sisi wazee tukubali kung'atuka tukafanye mambo mengine. Tutashangaa sasa akina Wasira nao watachua fomu kwa sababu wazee tumeshindwa kukemeana na kukatazana.

Wazee tukae pembeni tutoe ushauri tusiishi maisha yetu na maisha ya watoto wetu. Wake Nyerere wasingetuamini tukiwa vijana may be tusingefika hapa tuliopo.

Wazee kaeni kando turuhusu kizazi kingine kitakachowaza namna nzuri ya kuishi kesho. Turudi kumtumikia MUNGU atujalie afya njema. Tujifunze kwa uborongaji wa wazee wenzetu akina Masilingi, Slaa, Banna, Migiro ambao wamekaa balozini hakuna chochote Cha maana waichofanya, hakuna new intervention waliyoibua. Wapo tu wanazunguka na immunity za kidiplomasia. Wazee tukae pembeni, na ninyi wapika kura wengi ni vijana, msikubali kuwachagua hao wazee hata kwenye chama wataendelea kukaa viti vyenu.

Tunataka spika wa umri wa akina Masele ambaye hata akitukanwa kwa hoja atoweza kutumia umri kama kigezo cha kutoa maamuzi. Spika akianza kuboronga akatamani aheshimiwe kama Mzazi hoja zinakufa kwa sababu ni vigumu kumkosoa baba Yako.
Masele huyu huyu aliyefanya aibu kule Bunge la Africa
 
Kuingia tu kwenye wizara ya nishati tayari wamepiga over 20 bilioni kwenye kukodi tu software,una taarifa hii?
Software imewekwa wizarani baada ya mhusika kumuona moja kwa moja hayati Magufuli aliyeamuru iwekwe.

Lukuvi na wapigaji wengine walishakataa isiwekwe.
 
Mikopo ya NSSF alimaliza??? Wastaafu wanataabika mitaani.
Nadhani hilo swali linawafaa NSSF! And wapi umeambiwa KUKOPA ni dhambi? Mimi mwenyewe hapa nina mkopo wa masomo wa NSSF! And una akili za kipuuzi sana, kwa hiyo mkopo wa January ndiyo unasababisha wastaafu wasilipwe?
 
Sio January tu hata wewe unakwamisha wastaafu
 
Hata hivyo kiti cha spika ingekuwa bora zaidi kiwe kinaliwa na mtu kwa miaka isiyozidi 5 tu! Hapa wazee ndio wanaofaa zaidi ili umri wao tu ukaamue hatima yao ya kustaafu! Sote tumeona namna tulivokuwa tumemchoka Job ndugai, wengi tulipenda astaafu 2020 but nature imemstaafisha! Thanks to God!
 
Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani?

Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi binafsi na chama mbele ndiye anajipigia chapuo ya kuwa spika? Kwamba Leo akina Kabudi ndio tunawaza wakawe maspika na warekebishe Sheria za awamu ya Ndugai?

Sisi wazee tukubali kung'atuka tukafanye mambo mengine. Tutashangaa sasa akina Wasira nao watachua fomu kwa sababu wazee tumeshindwa kukemeana na kukatazana.

Wazee tukae pembeni tutoe ushauri tusiishi maisha yetu na maisha ya watoto wetu. Wake Nyerere wasingetuamini tukiwa vijana may be tusingefika hapa tuliopo.

Wazee kaeni kando turuhusu kizazi kingine kitakachowaza namna nzuri ya kuishi kesho. Turudi kumtumikia MUNGU atujalie afya njema. Tujifunze kwa uborongaji wa wazee wenzetu akina Masilingi, Slaa, Banna, Migiro ambao wamekaa balozini hakuna chochote Cha maana waichofanya, hakuna new intervention waliyoibua. Wapo tu wanazunguka na immunity za kidiplomasia. Wazee tukae pembeni, na ninyi wapika kura wengi ni vijana, msikubali kuwachagua hao wazee hata kwenye chama wataendelea kukaa viti vyenu.

Tunataka spika wa umri wa akina Masele ambaye hata akitukanwa kwa hoja atoweza kutumia umri kama kigezo cha kutoa maamuzi. Spika akianza kuboronga akatamani aheshimiwe kama Mzazi hoja zinakufa kwa sababu ni vigumu kumkosoa baba Yako.
Steven masele mbunge wa wapi?
 
Uzee huazia 60+ na kwa andiko lako unawaingiza wengi, pamoja na Rais. Umeona 1 tu Masele kati ya Watz chungu nzima, kuna nini hapo! Mie, pamoja sikubaliani na sera zao, nisingependa Lukuvi kuondoka. Yy amejitofautisha kwa sana na waliomtangulia.
Kamweka wa jinsia yake ambaye naona hajagonga 60. Ngoja tuchezeshwe ngoma fulani. Kuna wkt, hata kama humpendi, mpe heshima impasayo.
Sio kila kijana ana uwezo pia. Ungesema wachunguzwe kabla ya kupewa majukumu kwanza badala ya kuchukua umri kama kigezo kwani naona kama hapakua na screening yoyote. Wamechaguana kwa vigezo vyao
 
Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani?

Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi binafsi na chama mbele ndiye anajipigia chapuo ya kuwa spika? Kwamba Leo akina Kabudi ndio tunawaza wakawe maspika na warekebishe Sheria za awamu ya Ndugai?

Sisi wazee tukubali kung'atuka tukafanye mambo mengine. Tutashangaa sasa akina Wasira nao watachua fomu kwa sababu wazee tumeshindwa kukemeana na kukatazana.

Wazee tukae pembeni tutoe ushauri tusiishi maisha yetu na maisha ya watoto wetu. Wake Nyerere wasingetuamini tukiwa vijana may be tusingefika hapa tuliopo.

Wazee kaeni kando turuhusu kizazi kingine kitakachowaza namna nzuri ya kuishi kesho. Turudi kumtumikia MUNGU atujalie afya njema. Tujifunze kwa uborongaji wa wazee wenzetu akina Masilingi, Slaa, Banna, Migiro ambao wamekaa balozini hakuna chochote Cha maana waichofanya, hakuna new intervention waliyoibua. Wapo tu wanazunguka na immunity za kidiplomasia. Wazee tukae pembeni, na ninyi wapika kura wengi ni vijana, msikubali kuwachagua hao wazee hata kwenye chama wataendelea kukaa viti vyenu.

Tunataka spika wa umri wa akina Masele ambaye hata akitukanwa kwa hoja atoweza kutumia umri kama kigezo cha kutoa maamuzi. Spika akianza kuboronga akatamani aheshimiwe kama Mzazi hoja zinakufa kwa sababu ni vigumu kumkosoa baba Yako.
Nani aliyekudanganya kwamba wazee huenda kumtumikia Mungu ? Kazi ya Mungu ni ngumu inahitaji vijana wenye nguvu ili kuipanua.
 
U-Spika siyo kubeba zege. Mmojawapo wa hao watatu uliowataja ndiyo Spika, na possibly atakwenda mpaka 2030. Hao watatu wote wakikosa u-Spika, ni-pm halafu mwisho wa mwezi utachukua elfu 50 ya vocha,..., from my heart!
 
Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani?

Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi binafsi na chama mbele ndiye anajipigia chapuo ya kuwa spika? Kwamba Leo akina Kabudi ndio tunawaza wakawe maspika na warekebishe Sheria za awamu ya Ndugai?

Sisi wazee tukubali kung'atuka tukafanye mambo mengine. Tutashangaa sasa akina Wasira nao watachua fomu kwa sababu wazee tumeshindwa kukemeana na kukatazana.

Wazee tukae pembeni tutoe ushauri tusiishi maisha yetu na maisha ya watoto wetu. Wake Nyerere wasingetuamini tukiwa vijana may be tusingefika hapa tuliopo.

Wazee kaeni kando turuhusu kizazi kingine kitakachowaza namna nzuri ya kuishi kesho. Turudi kumtumikia MUNGU atujalie afya njema. Tujifunze kwa uborongaji wa wazee wenzetu akina Masilingi, Slaa, Banna, Migiro ambao wamekaa balozini hakuna chochote Cha maana waichofanya, hakuna new intervention waliyoibua. Wapo tu wanazunguka na immunity za kidiplomasia. Wazee tukae pembeni, na ninyi wapika kura wengi ni vijana, msikubali kuwachagua hao wazee hata kwenye chama wataendelea kukaa viti vyenu.

Tunataka spika wa umri wa akina Masele ambaye hata akitukanwa kwa hoja atoweza kutumia umri kama kigezo cha kutoa maamuzi. Spika akianza kuboronga akatamani aheshimiwe kama Mzazi hoja zinakufa kwa sababu ni vigumu kumkosoa baba Yako.
wanahaki ya kuchukua fomu na hata vijana nao wana haki na kama vina wanaitaka hiyo nafasi wachukue fomu hawajakataliwa na yoyote ni swala la ushawishi tu ndani ya bunge.
 
Back
Top Bottom