Lukuvi, Chenge, Kabudi kubalini mmezeeka acheni kujipigia kampeni za uspika, vijana kama Steven Masele kachukueni fomu wakikata jina freshi tu

Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani?

Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi binafsi na chama mbele ndiye anajipigia chapuo ya kuwa spika? Kwamba Leo akina Kabudi ndio tunawaza wakawe maspika na warekebishe Sheria za awamu ya Ndugai?

Sisi wazee tukubali kung'atuka tukafanye mambo mengine. Tutashangaa sasa akina Wasira nao watachua fomu kwa sababu wazee tumeshindwa kukemeana na kukatazana.

Wazee tukae pembeni tutoe ushauri tusiishi maisha yetu na maisha ya watoto wetu. Wake Nyerere wasingetuamini tukiwa vijana may be tusingefika hapa tuliopo.

Wazee kaeni kando turuhusu kizazi kingine kitakachowaza namna nzuri ya kuishi kesho. Turudi kumtumikia MUNGU atujalie afya njema. Tujifunze kwa uborongaji wa wazee wenzetu akina Masilingi, Slaa, Banna, Migiro ambao wamekaa balozini hakuna chochote Cha maana waichofanya, hakuna new intervention waliyoibua. Wapo tu wanazunguka na immunity za kidiplomasia. Wazee tukae pembeni, na ninyi wapika kura wengi ni vijana, msikubali kuwachagua hao wazee hata kwenye chama wataendelea kukaa viti vyenu.

Tunataka spika wa umri wa akina Masele ambaye hata akitukanwa kwa hoja atoweza kutumia umri kama kigezo cha kutoa maamuzi. Spika akianza kuboronga akatamani aheshimiwe kama Mzazi hoja zinakufa kwa sababu ni vigumu kumkosoa baba Yako.
Wazee wataendelea kuwepo na wanatakiwa sana tu,ata uko USA walikoendelea Trump bado anajiandaa tena kugombea urais na atakuwa over 70yrs old km Biden.

Vijana wanafeli sana wakipewa nafasi maana wengi wao wananunulika na kutumika kirahisi sana eg. Sabaya,Makonda nk.

Vijana wetu wengi ni vizazi vya kwa mpalange na wahanga wa elimu yetu ya ovyo,kichwani wamejaa tamaa na akili ya wizi eg. January Makamba
 
Wewe ndiye Masele, unajipigia chapuo hapa' Hupati hata kura moja maana hata kule South Africa ulionesha utovu wa nidhamu wa hali ya juu. Tunataka Spika mwenye umri kama wa akina Nancy Pelosi. Huyo Masele ni hopeless and I hope ni wewe. Kachukue fomu uone itakavyofyekelewa mbali!
 
Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani?

Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi binafsi na chama mbele ndiye anajipigia chapuo ya kuwa spika? Kwamba Leo akina Kabudi ndio tunawaza wakawe maspika na warekebishe Sheria za awamu ya Ndugai?

Sisi wazee tukubali kung'atuka tukafanye mambo mengine. Tutashangaa sasa akina Wasira nao watachua fomu kwa sababu wazee tumeshindwa kukemeana na kukatazana.

Wazee tukae pembeni tutoe ushauri tusiishi maisha yetu na maisha ya watoto wetu. Wake Nyerere wasingetuamini tukiwa vijana may be tusingefika hapa tuliopo.

Wazee kaeni kando turuhusu kizazi kingine kitakachowaza namna nzuri ya kuishi kesho. Turudi kumtumikia MUNGU atujalie afya njema. Tujifunze kwa uborongaji wa wazee wenzetu akina Masilingi, Slaa, Banna, Migiro ambao wamekaa balozini hakuna chochote Cha maana waichofanya, hakuna new intervention waliyoibua. Wapo tu wanazunguka na immunity za kidiplomasia. Wazee tukae pembeni, na ninyi wapika kura wengi ni vijana, msikubali kuwachagua hao wazee hata kwenye chama wataendelea kukaa viti vyenu.

Tunataka spika wa umri wa akina Masele ambaye hata akitukanwa kwa hoja atoweza kutumia umri kama kigezo cha kutoa maamuzi. Spika akianza kuboronga akatamani aheshimiwe kama Mzazi hoja zinakufa kwa sababu ni vigumu kumkosoa baba Yako.
Vijana ccm watoa matamko wachukue form.
 
Lukuvi naye CD4 alizonazo ni za kuunga unga bado analazimisha mambo ya stress! Alizokwiba ardhi zinamtosha sana hadi siku ARV itakapogoma kabisa...Wazo lako zuri! Ila natabiri Bashite naye ataenda kuchukua fomu angalau naye asikike kwenye media hata kwa wiki 2
 
Wazee wataendelea kuwepo na wanatakiwa sana tu,ata uko USA walikoendelea Trump bado anajiandaa tena kugombea urais na atakuwa over 70yrs old km Biden.

Vijana wanafeli sana wakipewa nafasi maana wengi wao wananunulika na kutumika kirahisi sana eg. Sabaya,Makonda nk.

Vijana wetu wengi ni vizazi vya kwa mpalange na wahanga wa elimu yetu ya ovyo,kichwani wamejaa tamaa na akili ya wizi eg. January Makamba
January kakuibia nini? Weka hata kaushahidi kamoja basi! Au ndiyo yaleyale ya Lowassa fisadi?
 
Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani?

Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi binafsi na chama mbele ndiye anajipigia chapuo ya kuwa spika? Kwamba Leo akina Kabudi ndio tunawaza wakawe maspika na warekebishe Sheria za awamu ya Ndugai?

Sisi wazee tukubali kung'atuka tukafanye mambo mengine. Tutashangaa sasa akina Wasira nao watachua fomu kwa sababu wazee tumeshindwa kukemeana na kukatazana.

Wazee tukae pembeni tutoe ushauri tusiishi maisha yetu na maisha ya watoto wetu. Wake Nyerere wasingetuamini tukiwa vijana may be tusingefika hapa tuliopo.

Wazee kaeni kando turuhusu kizazi kingine kitakachowaza namna nzuri ya kuishi kesho. Turudi kumtumikia MUNGU atujalie afya njema. Tujifunze kwa uborongaji wa wazee wenzetu akina Masilingi, Slaa, Banna, Migiro ambao wamekaa balozini hakuna chochote Cha maana waichofanya, hakuna new intervention waliyoibua. Wapo tu wanazunguka na immunity za kidiplomasia. Wazee tukae pembeni, na ninyi wapika kura wengi ni vijana, msikubali kuwachagua hao wazee hata kwenye chama wataendelea kukaa viti vyenu.

Tunataka spika wa umri wa akina Masele ambaye hata akitukanwa kwa hoja atoweza kutumia umri kama kigezo cha kutoa maamuzi. Spika akianza kuboronga akatamani aheshimiwe kama Mzazi hoja zinakufa kwa sababu ni vigumu kumkosoa baba Yako.
Mkuu, unajua ni kwa nini USA pamoja na nguvu zake kubwa za kiuchumi, kijeshi, na kiteknojia duniani, na licha ushawishi wake mkubwa duniani inaongozwa kwa sasa na maraisi wenye umri mkubwa kama Trump na Biden

Ilijaribu kuwa na maraisi vijana kama vile Bush Jr, Clinton na Obama lakini wamejiridhisha kuwa "old is gold". Ama pia angalia uongozi wa Kanisa Katoliki hupendelea kuwa viongozi wakuu wenye umri mkubwa.

Kwa wazee huwa ni viongozi waziri katika kazi nyeti, zenye changamoto nyingi na kuhitaji maamuzi yenye hekima na busara kama zilivyo shughuli za kuuongoza mhimili wa Bunge. Viongozi vijana wengi huwa na maamuzi ya haraka ambayo hayaazingati "risk assessment" kabla ya kufanya uamuzi wa mwisho, ambayo mambo yakishaharibika ndipo huja kujutia hayo maamuzi yaliyokwisha kufanyika.

Kijana kama Masele ni vyema angeanza kuandaliwa katika nafasi ya uenyekiti wa Bunge ama Naibu Spika ili aweze kupata uzoefu, ili katika siku zijazo aweze kuja kuaminika na kupewa nafasi ya juu kabisa ya uspika.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Hizo ajira za umma ni za wazee na vijana wapenda mteremko, hao vijana unaosema ww wanatakiwa wajiajiri!
 
Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani?

Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi binafsi na chama mbele ndiye anajipigia chapuo ya kuwa spika? Kwamba Leo akina Kabudi ndio tunawaza wakawe maspika na warekebishe Sheria za awamu ya Ndugai?

Sisi wazee tukubali kung'atuka tukafanye mambo mengine. Tutashangaa sasa akina Wasira nao watachua fomu kwa sababu wazee tumeshindwa kukemeana na kukatazana.

Wazee tukae pembeni tutoe ushauri tusiishi maisha yetu na maisha ya watoto wetu. Wake Nyerere wasingetuamini tukiwa vijana may be tusingefika hapa tuliopo.

Wazee kaeni kando turuhusu kizazi kingine kitakachowaza namna nzuri ya kuishi kesho. Turudi kumtumikia MUNGU atujalie afya njema. Tujifunze kwa uborongaji wa wazee wenzetu akina Masilingi, Slaa, Banna, Migiro ambao wamekaa balozini hakuna chochote Cha maana waichofanya, hakuna new intervention waliyoibua. Wapo tu wanazunguka na immunity za kidiplomasia. Wazee tukae pembeni, na ninyi wapika kura wengi ni vijana, msikubali kuwachagua hao wazee hata kwenye chama wataendelea kukaa viti vyenu.

Tunataka spika wa umri wa akina Masele ambaye hata akitukanwa kwa hoja atoweza kutumia umri kama kigezo cha kutoa maamuzi. Spika akianza kuboronga akatamani aheshimiwe kama Mzazi hoja zinakufa kwa sababu ni vigumu kumkosoa baba Yako.
Vijana wenyewe wengi ni hovyo kuliko hao wazee. Refer Makonda, Sabaya, Chalamila, Happy, Gambo and the like.
 
Back
Top Bottom