Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Unaonekana una hofu sana na Uislam aka "Islamophobia"
Sina hofu na uislamu. Naunyanyapaa uislamu extreme kama vile ninavyounyanyapaa ukristu extreme.
Amandla......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonekana una hofu sana na Uislam aka "Islamophobia"
Unaweza kuwa sahihi kama utahakikisha hao unaowaita wenye fikra fupi hawawezi kuwa BULLSJapokuwa tunaishi katika siasa na wanasiasa lakini siasa siku zote ni mchezo mchafu. Ndiyo maana binafsi naungamkono hoja ya kurudishwa kwa serikali ya TANGANYIKA kwani hata wanaosema gharama itakuwa kubwa sioni logic yao kwani hata ndani ya serikali 2 zilizopo matumizi, ubadhirifu, ufisadi na wizi vimekithiri kiasi kwamba hata faida siioni, hivyo nibora TANGANYIKA yetu irudi ili matumizi yazidi ili na wao wakose za kukwapua.
Mambo ya udini sijui Ukristo, Uislamu hayo tuwaachie wenye fikra fupi kwani binafsi kila mtu regardless of his/her religion ni ndugu yangu kwani nimeishi hivyo kwa miaka mingi ambayo MUNGU ameniwezesha kuishi hadi sasa, jambo la msingi ni kuwa makini na wanasiasa....mimi kwa taaluma yangu huwa kuna msemo tunapenda kuutumia ktk shughuli zetu unaosema hivi. "......NEVER TRUST A BULL, ESPECIALLY A JERSEY BULL......"
Nimekuuliza una hofu na Uislam kama Lukuvi?Sina hofu na uislamu. Naunyanyapaa uislamu extreme kama vile ninavyounyanyapaa ukristu extreme.
Amandla......
Na mtu akisema kuwa watu wana PhD halafu wanatengeneza kasanamu kadogo ka bikira maria wanakajengea kizimba kisha wanakaabudu, wakisema ni upunguani atakawa hajawatusi?Kwa hiyo mtu akisema mnabong'oa mkiabudu atakuwa hajawatusi?
Amandla.....
Kabla ya kutoka bungeni baadhi ya wabunge wa UKAWA jana, Professor Lipumba aliweka wazi aliyoyaongea kanisani waziri mmoja wa Serikali ya Muungano. Lipumba alisema kuna waziri kaenda kuhutubia kanisani kuwa "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam".
Jana nikauliza ni waziri gani huyo? sikupata jibu humu JF.
Lakini kwa kuwa Mungu hamfichi mnafik, huyo waziri kajitokeza mwenyewe bungeni leo hii na kwanza kukiri kuwa katumwa na Waziri Mkuu na kusema kuwa hiyo ni hofu, "phobia" yake na akaendelea kusema "hakuna yeyote wa kunizuia hofu yangu hii".
Akazunguka wee na maneno lakini akashindwa kukisema kile alichokieleza Lipumba.
Kwa uchache, Lukuvi ameudhihirishia umma kuwa ana "Islamophobia" au hofu ya Uislaam.
Kiongozi unaefikia kutangaza Kanisani na Bungeni kuwa hutaki kuwapa mamlaka kamili Zanzibar kwa ajili ya dini yao, kweli hiyo si Serikali ya Mfumo Kristo tunayoilalamikia siku zote humu?
Na leo Lukuvi kahitimisha kwa kuniunga mkono yale ninayoyasema humu kila siku kuwa huu Muungano upo kwa ajili ya Kanisa. Na unaongozwa na Kanisa. Huwa mnajifanya hamnielewi lakini leo yamebainika bayana.
Wanaonisikitisha zaidi ni wale Wazanzibari waliobaki kuipigia makofi hoja hii ya Lukuvi, halafu wanajiita wao Waislaam. Waislaam mnaambiwa hampewi nchi yenu kwa kuwa Lukuvi ana hofu mkipewa mtaifanya dola ya Kiislaam na nyinyi mnashangilia? Yaani Lukuvi anawaambia kinaga ubaga kuwa mtabaki ndani ya mfuko Kristo mkitaka msitake na mkikataa basi ni bora nchi hii ishikwe na jeshi na akafikia mpaka kuwapa mfano wa Islamic Brotherhood ya Egypt.
Kinachonishangaza hii hofu yanini kwa Lukuvi? ikiwa nchi anayoiongelea ni Zanzibar na Wazanzibari 99% ni Waislaam ikiwa
wataamuwa nchi yao kuwa ya Kiislaam yeye anapatwa na hofu ya nini?
[video=youtube_share;PIAPAAd3Dck]http://youtu.be/PIAPAAd3Dck[/video]
cc Ritz, gombesugu, kahtaan, THE BIG SHOW, CHAMVIGA
Moderator tafadhali usiiunganishe hii na nyuzi nyingine hii maudhui yake inajitegemea.
Nimekuuliza una hofu na Uislam kama Lukuvi?
Sina hofu na uislamu. Naunyanyapaa uislamu extreme kama vile ninavyounyanyapaa ukristu extreme.
Amandla..
Lukuvi leo kadhihirisha kinaga ubaga kuwa Serikali inaendeshwa kimfumo kristo. Haya tuliyajadili sana kwenye nyuzi ya Mohamed Said, watu wakapinga sana na kutubeza sana Waislaam. Lakini leo Lukuvi kadhihirisha na kasema ana "hofu" na hiyo hofu (phobia) yake kwa Uislaam hakuna wa kumzuwia.
Kikwete, ndio waziri wako huyo, ana hofu na Uislaam, jee hana hofu na wewe?
Kwa hiyo mtu akisema mnabong'oa mkiabudu atakuwa hajawatusi?
Amandla.....
Hii ya Uislam extreme sijui umeipata wapi.Kusoma taabu?
Amandla........[/FONT][/COLOR]
Stahamala kitu gani....I am straight, I dont like double standard hapa.
Setikali hii ni serikali ya kikristo, so she claim.
Serikali ya CCM anayoipenda sana. Sasa analalamika nini na mambo ya udini usio na kichwa wala miguu.
Upuuzi tu umewajaa hawa wachumia tumbo wa ccm.
Na mtu akisema kuwa watu wana PhD halafu wanatengeneza kasanamu kadogo ka bikira maria wanakajengea kizimba kisha wanakaabudu, wakisema ni upunguani atakawa hajawatusi?
Na mtu akisema kuwa watu wana PhD halafu wanatengeneza kasanamu kadogo ka bikira maria wanakajengea kizimba kisha wanakaabudu, wakisema ni upunguani atakawa hajawatusi?
Kwanza jifunze kusema kijana....ukishajua kutafautisha picha ya Yesu na ya yule mzungu alievaa nepi kisha mkamnunua na kumuabudu...ndio uje sasa tujadiliane upande huo wa unaotaka!
Hii ya Uislam extreme sijui umeipata wapi.
Uislam una misingi yake na taratibu zake kutoka kwenye Quran na Sunna, ndiyo muongozo.
Punguza hofu na Uislam.
Hizo takwimu umzibuni kwa ujanja gani.tupatie mganyo wa dini nyingine na wasio na dini hapo zanzibar.hata ingekuwa hivyo unataka kusema wasio wa dini yako watalazimishwa kufuata sheria za imani yako.au una maana watanganyika wote wakija huko watatumikia sheria za dini moja?wewe unaona hii ni sawa kwa imani yako ya haki!
Jitu unakuta lina PhD lakini nyumbani kwake linaabudu sanamu la Mzungu alievaa nepi kama ndio Mungu wake!
Huo ni wazimu na ni tatizo la wapakwa mafuta kukaririshwa kua huyu ndio Yesu na hawatakiwi kuuliza suali ili hali wanajua yule ni mcheza sinema tu.
juwa kutofautisha "serikali ya kikristo" na mfumo kristo, hakuna mahala nimesema hii ni serikali ya kikristo. Nnasema kuna mfumo kristo ambao una"hofu" ya uislaam. Na waziri mkuu kadhihirisha hilo kupitia kwa lkuvi. Waziri mkuu kamtuma lukuvu kanisani kwenda kuongelea hofu hiyo, kuwa iwapo zanzibar watapewa nchi basi wakristo wajuwe "zanzibar itakuwa nchi ya kiislaam na hawatoweza kufanya ibada zao za kikristo"
nini usichokielewa hapo?
Kama mnavyo kaabudu kale kajiwe ka Al kaaba? Teh teh teh.