Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Unaweza kuwa sahihi kama utahakikisha hao unaowaita wenye fikra fupi hawawezi kuwa BULLS
 
Kwa hiyo mtu akisema mnabong'oa mkiabudu atakuwa hajawatusi?

Amandla.....
Na mtu akisema kuwa watu wana PhD halafu wanatengeneza kasanamu kadogo ka bikira maria wanakajengea kizimba kisha wanakaabudu, wakisema ni upunguani atakawa hajawatusi?
 
Bora umeanza kujitambua sasa lkn bdo hujachelewa jisahihishe usonge mbele.
 
Last edited by a moderator:

Hata wewe unasema hivyo? Kwani anayeongoza dola sasa hivi ni dini gani? Tuache masihala...hoja zote za Lukuvi ni sahihi isipokuwa hii tu sababu amesema anachoamini yeye binafsi ndio tunaharalisha dola kuongozwa kikristu? Unafiki kitu kibaya sana...
 
Kwa hiyo mtu akisema mnabong'oa mkiabudu atakuwa hajawatusi?

Amandla.....

Kwanza jifunze kusema kijana....ukishajua kutafautisha picha ya Yesu na ya yule mzungu alievaa nepi kisha mkamnunua na kumuabudu...ndio uje sasa tujadiliane upande huo wa unaotaka!
 
Kusoma taabu?

Amandla........[/FONT][/COLOR]
Hii ya Uislam extreme sijui umeipata wapi.

Uislam una misingi yake na taratibu zake kutoka kwenye Quran na Sunna, ndiyo muongozo.

Punguza hofu na Uislam.
 
Juwa kutofautisha "serikali ya Kikristo" na mfumo kristo, hakuna mahala nimesema hii ni Serikali ya Kikristo. Nnasema kuna mfumo kristo ambao una"hofu" ya Uislaam. Na Waziri Mkuu kadhihirisha hilo kupitia kwa Lkuvi. Waziri Mkuu kamtuma Lukuvu Kanisani kwenda kuongelea hofu hiyo, kuwa iwapo Zanzibar watapewa nchi basi Wakristo wajuwe "Zanzibar itakuwa nchi ya Kiislaam na hawatoweza kufanya ibada zao za Kikristo"

Nini usichokielewa hapo?
 
Na mtu akisema kuwa watu wana PhD halafu wanatengeneza kasanamu kadogo ka bikira maria wanakajengea kizimba kisha wanakaabudu, wakisema ni upunguani atakawa hajawatusi?

Jitu unakuta lina PhD lakini nyumbani kwake linaabudu sanamu la Mzungu alievaa nepi kama ndio Mungu wake!

Huo ni wazimu na ni tatizo la wapakwa mafuta kukaririshwa kua huyu ndio Yesu na hawatakiwi kuuliza suali ili hali wanajua yule ni mcheza sinema tu.
 
Na mtu akisema kuwa watu wana PhD halafu wanatengeneza kasanamu kadogo ka bikira maria wanakajengea kizimba kisha wanakaabudu, wakisema ni upunguani atakawa hajawatusi?

Kama mnavyo kaabudu kale kajiwe ka Al kaaba? Teh teh teh.
 
Kwanza jifunze kusema kijana....ukishajua kutafautisha picha ya Yesu na ya yule mzungu alievaa nepi kisha mkamnunua na kumuabudu...ndio uje sasa tujadiliane upande huo wa unaotaka!

Hebu iweke picha ya mzungu aliyevaa nepi anayeabudiwa na wakristu. Ukishindwa utakuwa na tofauti gani na wale wazungu waliochora katuni za Mohamed?

Amandla.........
 
Hii ya Uislam extreme sijui umeipata wapi.

Uislam una misingi yake na taratibu zake kutoka kwenye Quran na Sunna, ndiyo muongozo.

Punguza hofu na Uislam.

Kwa hiyo waSaudi wanaoiogopa Al Quaeda si waislaamu? Kwa hiyo hao wanaopiga marufuku sambusa kwa sababu ni mfano wa utatu mtakatifu ni waislamu safi? Kwa hiyo hao wanaowachinja wakristu na kuwabaka binti zao ni waislamu safi? Kwa hiyo hao waliomshitaki mtoto wa mwaka mmoja kwa kosa la mauaji ni waislamu safi? Kwa hiyo wale walioteka ndege na kulitumia kulipua jengo ambamo watu wa kila aina wanafanya kazi ni waislamu safi? Kwa hiyo hao waliompiga risasi padiri Unguja ni waislaamu safi? Wote hao si wanadai wanatetea Quran na hizo Sunna!

Amandla.......
 
Weka takwimu zozote uzipendazo. Kuna tatizo hapo? umemsikiliza Lukuvi?
 
FaizaFoxy dada yangu,naanza kuhisi a/c yako inatumiwa,wakristo na waislam wote kwa pamoja tumekubari tanzania iwe nchi yenye uhuru wa kuabudu,hakuna kuegemea upande wowote wa dini,zanzibar ni part ya tanzania hata ikipewa madaraka kamili,kwahiyo si sahihi kugeuzwa kuwa nchi ya dini,ni kweli waislam ni wengi kule lakin wana uhuru na imani yao.
angalia mikoa ya tanzania ilivyo,kuna mikoa ukienda utakuta ni ndra kuuona msikiti na kuna mikoa hasa ya pwani misikiti ni kila kona,je utawala wa eneo husika ufuate misingi ya imani?

mimi nadhani lukuvi anahofu na radical muslms na dini kama dini,ILA SIMTETEI BALI AJE MWENYEWE AJITETEE
 
kwahiyo unatakaje labda
 
mbona waislam huwa wana hofu na ukristo kuwa unatawala serikali?unamkumbuka ponda?hapo ni rahisi,wakristo wanahofu ya uislam na waislam wana hofu ya ukristo...equation balanced
 
Kama mnavyo kaabudu kale kajiwe ka Al kaaba? Teh teh teh.

Ficha upumbavu wako wewe pimbi mpakwa mafuta! Kama hujui sema ufahamishwe ili upate faida!

Kwenye Uislam hakuna ujanja ujanja kama huko kwenu ambako ukiuliza swali kwa mchungaji atakuambia umepatwa na mapepo nini, ebu kaa kimy?

Teh teh teh!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…