Jitu unakuta lina PhD lakini nyumbani kwake linaabudu sanamu la Mzungu alievaa nepi kama ndio Mungu wake!
Huo ni wazimu na ni tatizo la wapakwa mafuta kukaririshwa kua huyu ndio Yesu na hawatakiwi kuuliza suali ili hali wanajua yule ni mcheza sinema tu.
Uislam siyo Saudia Arabia, wala Pakistan wala Tariban Uislam ni dini inayoongozwa na utaratibu wake wa Quran na Sunna, hayo yote uliyoyasema hayamo kwenye Uislam kama una ushahidi wa aya niwekee.Kwa hiyo waSaudi wanaoiogopa Al Quaeda si waislaamu? Kwa hiyo hao wanaopiga marufuku sambusa kwa sababu ni mfano wa utatu mtakatifu ni waislamu safi? Kwa hiyo hao wanaowachinja wakristu na kuwabaka binti zao ni waislamu safi? Kwa hiyo hao waliomshitaki mtoto wa mwaka mmoja kwa kosa la mauaji ni waislamu safi? Kwa hiyo wale walioteka ndege na kulitumia kulipua jengo ambamo watu wa kila aina wanafanya kazi ni waislamu safi? Kwa hiyo hao waliompiga risasi padiri Unguja ni waislaamu safi? Wote hao si wanadai wanatetea Quran na hizo Sunna!
Amandla.......
Hebu iweke picha ya mzungu aliyevaa nepi anayeabudiwa na wakristu. Ukishindwa utakuwa na tofauti gani na wale wazungu waliochora katuni za Mohamed?
Amandla.........
Unaweza kuiyona ccm ni NGE Lakini hatuna mbadala wa NGE ukiangalia CDM ni TANDU hapa ndipo panapo tutisha wote wawili ni majanga wakikuuma.
Ataenda kuwaambia kuwa Kafir Lukuvi anawaogopa kwa sababu wanawapiga risasi wakristu, wanawamwagia tindikali mabinti zao, wanawachomea makanisa?
Mimi ningetegemea angeenda kwenye makanisa kupinga hoja ya huyu Kafir?
Kazi kweli anayo.
Amandla......
Siku zote tukisema kuwa CCM ndio muasisi na mchochezi wa udini katika taifa hili FaizaFox alikuwa mstari wa mbele kuitetea CCM. Imekuwaje leo? Lukuvi kakufumbua macho?
Uislam siyo Saudia Arabia, wala Pakistan wala Tariban Uislam ni dini inayoongozwa na utaratibu wake wa Quran na Sunna, hayo yote uliyoyasema hayamo kwenye Uislam kama una ushahidi wa aya niwekee.
Nakuuliza sasa hivi Mapadre wanafungisha ndoa makanisani baina ya binadamu na mbwa huo ndiyo Ukiristo?
Kiongozi wa Kanisa la Lutharen Reve Gene Robinson ni shoga kajitangaza rasmi na anaongoza misa Kanisani je huo ndiyo Ukiristo?
Wachungaji wanafungisha ndoa za Mashoga Makanisani huo ndiyo Ukirsto?
Nakushauri kama unataka kuujua Uislama usome.
Amandala...
Ficha upumbavu wako wewe pimbi mpakwa mafuta! Kama hujui sema ufahamishwe ili upate faida!
Kwenye Uislam hakuna ujanja ujanja kama huko kwenu ambako ukiuliza swali kwa mchungaji atakuambia umepatwa na mapepo nini, ebu kaa kimy?
Teh teh teh!
unataka uabudiwe wewe imani yangu inakuhusu nini we choko nini
Jamani tusilete hoja humu ndani za udini sote ni wamoja binafsi naichukia sana ccm kwa namna inavyowanyonya wananchi lakini sipendi kabisa maneno yanayochochea udini. Mtoa mada rekebisha kauli zako bhana, mbona wote tunamshutumu lukuvi bila kujali dini zetu?
Wacha kujitoa ufahamu we pimbi!
Kama huabudu picha ya mzungu na kuiweka ndani mkasema ndio Yesu ebu kanusha hapa kua wewe sio mgalatia/mkristo!
Teh teh teh wacha kurusha ngumi kijana, huo ndio ukweli japo mchungu!
Mwambie nduguyo thinky akupe picha moja kwani yeye anazo nyingi tu kwake..mpaka chooni kaziweka!
Mimi nikiiweka hapa mtaniita mchochezi teh teh teh!
Wewe unachukuliaje kitendo cha Waziri mkuu kumtuma Lukuvi kwenda kanisani kusema uharo ule?
Nioneshe ni wapi niliitetea Serikali mbili? mimi sijali iwe moja, mbili au tatu.
Lakini leo hujamsikia lukuvi? anasema na hofu na Uislaam kuwa Zanzibar ikiwa na mamlaka kamili itakuwa Dola ya Kiislaam.
Tena kakiri kuwa maneno hayo kayasema kanisani na kakiri kuwa alitumwa na Waziri Mkuu.
Tunaposema, Tanzania tunaendeshwa na mfumo kristo , huwa mnabisha, haya bisheni sasa.
Lukuvi anawaeleza kuwa ktk katiba hii hakuna atakaye mzuia kusema, iwe ndani ya bunge ama nje ya bunge., sasa unapoongelea kumkanya sielewi unataka kusema nini hapa
Kwa hili halilolisema ni la ukweli asilimia zote! Unafiki huko wapi hapo? Kama kuzungumza lukuvi kazungumza kila mtu amesikia.
Na hapa amewapa majibu waislam yaliyo wazi kuwa hii serikali ni ya inaendeshwa kivatican.
Una uhakika gani kuwa alichokiongea Lukuvi ndicho alichotumwa na Pinda au yalikuwa ni mawazo yake?