Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Jitu unakuta lina PhD lakini nyumbani kwake linaabudu sanamu la Mzungu alievaa nepi kama ndio Mungu wake!

Huo ni wazimu na ni tatizo la wapakwa mafuta kukaririshwa kua huyu ndio Yesu na hawatakiwi kuuliza suali ili hali wanajua yule ni mcheza sinema tu.

unataka uabudiwe wewe imani yangu inakuhusu nini we choko nini
 
Dada Faiza Foxy, wewe umekuwa ni muumini mzuri sana wa kuitetea ccm na watu wake,haya ni machache tu kati ya mambo ya kifedhuli yanayofanywa na hao akina lukuvi,wassira na nape,Salim Ahmed alikosa kuungwa mkono wakati ule kwa kauli.huyu si mwenzetu,hizbu,mmburushi,nk.Dhambi hii haiwezi isha hivihivi itakwenda mbali sana,propaganda hizi ndio zimekwenda mbali mpaka sasa cdm ni chama cha kikristu,kaskazini,cuf ni uamsho nk,huu ni muendelezo tu wa matukio ya nyuma.Udini na ukanda unasababishwa na ccm na nia yao ni uchu wa madaraka,nashukuru umeanza kujielewa,taratibu tutafika.
 
Serikali ni 1 au 3 tu. Serikali ikiwa na mafungamamo na dini ni laana nyingine hiyo
 
Kwa hiyo waSaudi wanaoiogopa Al Quaeda si waislaamu? Kwa hiyo hao wanaopiga marufuku sambusa kwa sababu ni mfano wa utatu mtakatifu ni waislamu safi? Kwa hiyo hao wanaowachinja wakristu na kuwabaka binti zao ni waislamu safi? Kwa hiyo hao waliomshitaki mtoto wa mwaka mmoja kwa kosa la mauaji ni waislamu safi? Kwa hiyo wale walioteka ndege na kulitumia kulipua jengo ambamo watu wa kila aina wanafanya kazi ni waislamu safi? Kwa hiyo hao waliompiga risasi padiri Unguja ni waislaamu safi? Wote hao si wanadai wanatetea Quran na hizo Sunna!

Amandla.......
Uislam siyo Saudia Arabia, wala Pakistan wala Tariban Uislam ni dini inayoongozwa na utaratibu wake wa Quran na Sunna, hayo yote uliyoyasema hayamo kwenye Uislam kama una ushahidi wa aya niwekee.

Nakuuliza sasa hivi Mapadre wanafungisha ndoa makanisani baina ya binadamu na mbwa huo ndiyo Ukiristo?

Kiongozi wa Kanisa la Lutharen Reve Gene Robinson ni shoga kajitangaza rasmi na anaongoza misa Kanisani je huo ndiyo Ukiristo?

Wachungaji wanafungisha ndoa za Mashoga Makanisani huo ndiyo Ukirsto?

Nakushauri kama unataka kuujua Uislama usome.

Amandala...
 
Hebu iweke picha ya mzungu aliyevaa nepi anayeabudiwa na wakristu. Ukishindwa utakuwa na tofauti gani na wale wazungu waliochora katuni za Mohamed?



Amandla.........

Wacha kujitoa ufahamu we pimbi!

Kama huabudu picha ya mzungu na kuiweka ndani mkasema ndio Yesu ebu kanusha hapa kua wewe sio mgalatia/mkristo!

Teh teh teh wacha kurusha ngumi kijana, huo ndio ukweli japo mchungu!

Mwambie nduguyo thinky akupe picha moja kwani yeye anazo nyingi tu kwake..mpaka chooni kaziweka!

Mimi nikiiweka hapa mtaniita mchochezi teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kuiyona ccm ni NGE Lakini hatuna mbadala wa NGE ukiangalia CDM ni TANDU hapa ndipo panapo tutisha wote wawili ni majanga wakikuuma.

It shows your true colors,waliokuwa madarakani kwa miaka yote hii ni ccm,hizi dhulma na hata huu mjadala wa katiba mpya umeharibiwa na ccm. Kama siyo mbinu chafu za ccm za kuingiza udini kwenye siasa wakijua kuna akili ndogo zitarukia huko na kutoka kwenye mjadala huu adhimu kwa mustakabali wa nchi yetu. Devide &rule ndiyo mbinu wanayotumia,cuf baada ya kupata umaarufu wakaitangaza ni ya kiislam wakristu wenye upeo mdogo wakaichukia,hali kadhalika sasa wanasema cdm ni ya kikristu waislam wenye upeo mdogo wanaichukia. Ukiweza kunishawishi kwa hoja mujarab ntafurahi ili mradi zisiwe na ushawishi wa kiiman, huko ni kufilisika kimawazo
 
Jamani tusilete hoja humu ndani za udini sote ni wamoja binafsi naichukia sana ccm kwa namna inavyowanyonya wananchi lakini sipendi kabisa maneno yanayochochea udini. Mtoa mada rekebisha kauli zako bhana, mbona wote tunamshutumu lukuvi bila kujali dini zetu?
 
Ataenda kuwaambia kuwa Kafir Lukuvi anawaogopa kwa sababu wanawapiga risasi wakristu, wanawamwagia tindikali mabinti zao, wanawachomea makanisa?

Mimi ningetegemea angeenda kwenye makanisa kupinga hoja ya huyu Kafir?

Kazi kweli anayo.

Amandla......

Kumbe makafir nao wanaogopwa?!

Mfumo kristo ni mfumo wa makafir, kwahiyo Kikwete anaongoza serikali kafir.....kwa chama pendwa cha ccm anachotoka kafir Lukuvi??!!

Kweli a confused mind is a lost mind.
 
Siku zote tukisema kuwa CCM ndio muasisi na mchochezi wa udini katika taifa hili FaizaFox alikuwa mstari wa mbele kuitetea CCM. Imekuwaje leo? Lukuvi kakufumbua macho?

Eti anasema anapigana na mgumo kristo akiwa ndani ya ccm......

When they are reffering to MFUMO KARISTO wanamaanisha Wakristo ndio tatizo..thats why masikio yamewasimama wanarukiarukia mambo yasiyo na maana.
 
Uislam siyo Saudia Arabia, wala Pakistan wala Tariban Uislam ni dini inayoongozwa na utaratibu wake wa Quran na Sunna, hayo yote uliyoyasema hayamo kwenye Uislam kama una ushahidi wa aya niwekee.

Nakuuliza sasa hivi Mapadre wanafungisha ndoa makanisani baina ya binadamu na mbwa huo ndiyo Ukiristo?

Kiongozi wa Kanisa la Lutharen Reve Gene Robinson ni shoga kajitangaza rasmi na anaongoza misa Kanisani je huo ndiyo Ukiristo?

Wachungaji wanafungisha ndoa za Mashoga Makanisani huo ndiyo Ukirsto?

Nakushauri kama unataka kuujua Uislama usome.

Amandala...

Kama kawaida yenu, unaogopa kuwakosoa wana Ummah wenzio. Aliyekwambia Gene Robinson mlutheri nani?

Kuhusu mtu kuoa mbwa? Soma hapa:FAKE NEWS: Calif. Allows State-Recognized Human Animal Marriage
Gazeti lililochapicha hiyo nEWS linaitwa National Report. Ukiliamini hilo utaamini The Onion! Sisi wakristu tuna kitu tunaita satire. Una uhuru wa kukosoa, kuchambua, kutania n.k. imani yako bila chizi mmoja kukutangazia fatwa.

Kama Uislamu si Pakistan, Taliban etc. sasa kwa nini mnataka Zanzibar iwe nchi ya kiislamu?

Amandla.....
 
Ficha upumbavu wako wewe pimbi mpakwa mafuta! Kama hujui sema ufahamishwe ili upate faida!

Kwenye Uislam hakuna ujanja ujanja kama huko kwenu ambako ukiuliza swali kwa mchungaji atakuambia umepatwa na mapepo nini, ebu kaa kimy?

Teh teh teh!

Mbona unatokwa mapovu alafu unajilazimisha kucheka? Huo ndio ukweli watu na akili zenu mnalipigia magoti jiwe jeusi mnalia mpaka kamasi zinawatoka. Haya mambo wewe hujui maana yanakuzidi upeo.
 
Jamani tusilete hoja humu ndani za udini sote ni wamoja binafsi naichukia sana ccm kwa namna inavyowanyonya wananchi lakini sipendi kabisa maneno yanayochochea udini. Mtoa mada rekebisha kauli zako bhana, mbona wote tunamshutumu lukuvi bila kujali dini zetu?

Wewe unachukuliaje kitendo cha Waziri mkuu kumtuma Lukuvi kwenda kanisani kusema uharo ule?
 
Wacha kujitoa ufahamu we pimbi!

Kama huabudu picha ya mzungu na kuiweka ndani mkasema ndio Yesu ebu kanusha hapa kua wewe sio mgalatia/mkristo!

Teh teh teh wacha kurusha ngumi kijana, huo ndio ukweli japo mchungu!

Mwambie nduguyo thinky akupe picha moja kwani yeye anazo nyingi tu kwake..mpaka chooni kaziweka!

Mimi nikiiweka hapa mtaniita mchochezi teh teh teh!

Ndio maana wengine wameishaomba moderators waingilie humu. Hivi mnadhani matusi ndio hoja? Hiyo picha ya mzungu aliyevaa nepi ambae wakristu wanaiabudu (na baadhi kuiweka hata chooni maana huko ndiko wanakosali) iko wapi? Na ina husiana vipi na Lukuvi kuuogopa uislamu?

Mnatuharibia jamvi.

Amandla.......
 
Wewe unachukuliaje kitendo cha Waziri mkuu kumtuma Lukuvi kwenda kanisani kusema uharo ule?

Una uhakika gani kuwa alichokiongea Lukuvi ndicho alichotumwa na Pinda au yalikuwa ni mawazo yake?
 
Nioneshe ni wapi niliitetea Serikali mbili? mimi sijali iwe moja, mbili au tatu.

Lakini leo hujamsikia lukuvi? anasema na hofu na Uislaam kuwa Zanzibar ikiwa na mamlaka kamili itakuwa Dola ya Kiislaam.

Tena kakiri kuwa maneno hayo kayasema kanisani na kakiri kuwa alitumwa na Waziri Mkuu.

Tunaposema, Tanzania tunaendeshwa na mfumo kristo , huwa mnabisha, haya bisheni sasa.

Nafurahi umeanza kuona udhaifu wa CCM FaizaFix...
 
Yani kuna watu wana chuki lakini lukuvi kapitiliza hadi kaona atangaze mbele ya umma kuwa ana hofu na uislam.

Siamini kama sitta ana faa kuendelea kuongoza bunge kwa kuruhusu chuki na uchochezi wa namna hii huku akitoa meno.

Kwa kweli maneno ya lukuvi yata ligharimu taifa kbisa. Yani mtu mzima unasema hutaki serikali tatu kisa uislam alaf hao hao utawasikia wanasema tuna kemea chuki za kidini.

Kwakwli mtu mwingine mnafiki ni samweli sitta.
 
Kwa hili halilolisema ni la ukweli asilimia zote! Unafiki huko wapi hapo? Kama kuzungumza lukuvi kazungumza kila mtu amesikia.

Na hapa amewapa majibu waislam yaliyo wazi kuwa hii serikali ni ya inaendeshwa kivatican.

Kwa hiyo hata serikali inayojitapa kuwa ya kimapinduzi zanzibar chini ya chama cha mapinduzi nayo inaendeshwa kivatican! Nimekubali confused mind is a lost mind
 
Una uhakika gani kuwa alichokiongea Lukuvi ndicho alichotumwa na Pinda au yalikuwa ni mawazo yake?

Wewe kweli kilaza, ongeza ufahamu mara moja moja kwa kusoma magazeti na kusikiliza taarifa za habari za radio na TV!

Kasema mwenyewe kwamba Waziri Mkuu ndio alomtuma kwenda pale Kanisani!

Unadhani tunamzulia kama vile wewe ulivyozoea kuzua?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom