FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #461
FF siku zote umekuwa muumini wa kweli wa ccm na viongozi wake na unajua jinsi ccm isivypoenda kutenda haki kwa mtu yeyote asiye mwanaccm. Mnafiki zaidi ni nani, anayeshabikia ccm wanaovunja haki za binadamu ili wabakie watawala labda kwa ujira wa dhambi/au kwa kutishiwa au ccm wanaovunja katiba kibabe kwa sababu tu wako madarakani na watu kama wewe mnawaimbia ccm nambari wani? Sioni unachokilalamikia hapa na kuleta hoja za kanisa badala ya kuona ubaya wa ccm kuminya kwa makusudi haki za watu wengine. Unaongea kwa sababu wewe ni mwislamu au unaongea kwa sababu hupendi dhuluma? kama unatetea dini peke yake, hoja yako haina mashiko. Kama unatetea haki za watu zinazovunjwa kwa makusudi na mabwana zako (ccm) unaweza ukawa na hoja iwapo tu utatutangazia kuwa sasa wewe si muumini wa ccm tena!
Kwa hiyo wewe unaona ni sawa Lukuvi kwenda kanisani na kuongea na Wakristo ili kuweka chuki baina yao na Waislaam? kuwa Waislaam ndiyo wanaotaka Serikali tatu?