Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.

Kwa hiyo wewe unaona ni sawa Lukuvi kwenda kanisani na kuongea na Wakristo ili kuweka chuki baina yao na Waislaam? kuwa Waislaam ndiyo wanaotaka Serikali tatu?
 
Mnapenda sana kuzungumzia udini sana,na tena hadi kuita watu magaidi kwa dini zao za haki. Acheni bhana, kwani mnajua yajayo mbeleni baada ya nyie kufa na vizazi vyenu? Jadilini mambo ya kijamii hapo tusome tupate uelewa.
 
Wadau kwa jinsi nilivyo muona Waziri Lukuvi akiongea bungeni kwa jazba bila kutumia busara, in fact aliongea pumba na huyu ni mmoja wa washauri wa Jk. Najiuliza Jk akiwa mezani na washauri wake wawili, kushoto Lukuvi kulia Wasira, nini kitaendelea hapo??
 

Mkuu,

Sijakufahamu asilan umekusudia kusema kipi hapo!? Daah! Lakini haina neno!

Yaani kwa jinsi hivyo ulivyonijibu....nina hakika yakua hujanifahamu asilan au huna uwezo wa kunyambua kiundani, kile nalichojaribu kumdadavulia yule Mwanajamvi mwenzetu kiduchu!

Au umejibu tu kwa mihemuko Mkuu!? Daah!

Pole yako!

Ahsanta!
 
Umesahau ...na Mgulu Nchemba!
 
Kama JK anayumba basi anajitakia mwenyewe tu, mamlaka yote anayo mikononi mwake, ni yeye tu kuyatumia vema
 
Wamepata kijiwe cha kuzeekea tu..., ushauri watoke nao wapi?
Wenyewe wanahitaji kushauiwa
 
Faiza na Manyang'au kadhaa humu,mmekua mstari wa mbele kuteteaa watawala hawa dhalimu mpaka dini yetu inapiguswa ndio tunajidai kuwa tunachukizwa, Kataa CCM leo, Kesho na Milele,

I said it before, but,but let me repeat for you!

Nothing clearer than the tragic fact that Chadema, like most of the opposition parties and/or fake politicians in third world countries has only the illusion of being in power!

Chadema is undemocratic,corrupt, coupled with toxic tribal and religious ideologies and is still as hypocrisy and nepotism enshackled as it ever was, in some respect more so! Daah!

Basically, Chadema is sickening and highly outrages!...and the worst is they are not willing in anyway to understand/listen anything!? Daah!

Ahsanta sana!
 

Andika kwa kiswahili nitakujibu. Hiki kiingereza kibovu sikiwezi.

Amandla....
 

Lukuvi na aliyotumwa na Waziri Mkuu.

Serikali ina dini?
 

Najua majibu yangu ni marefu mno kwa nyinyi mliozoea mitihani ya multiple choice. Hata hivyo kwa nini unapata kigugumizi kutuambia kama Boko Haram, Al Qaeda wanawakilisha Uislamu au la? Kama siwezi kufanya reference kwao kwa sababu hawamo katika Quran niambie wapi kwenye Biblia kuna Anglican au Gene Robinson?

Amandla.....
 
Lipumba is a dumbest Professor ever to be in politics. Huwezi ukalipiza ubaya kwa ubaya. Kama wenzake walisema uislamu huwezi kuwaita intarahamwe. Na neno interahamwe ni baya sana sana tena sana ni sawa na mtu akulinganishe na nazi ya german. Nadhani hii kauli yake itamgharimu!
Mbona yeye pia alishawahi kuhimiza waislamu wajiange kwa kuwa wakristu wanajipanga tena aliyaongea msikitini, je yeye si mchochezi wa udini?
 

Nakusoma kwa utuvu sana sharrif ritz
 
This will endless cost our president. Mbona wapo lukuki washauri wazuri, either watu wa usalama wameshindwa kumtaarifu Mh. Rais kuhusu wasifu wa watu wa kumshauri ama alikataa ushauri na kuchukua washkaji zake ili waneemeshe matumbo yao.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…