Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.

Open your mind before your mouth! Daah!

Chadema is not like any other normal, humane/conventional democratic party.

Chadema is a daylight robbery and mental genocide!

I feel sorry for its followers aka "misukule ya Ufipa"! Daah!...when one accepts lies as truths, this affects his/her notion of reality, which inevitably cause incorrect conclusions to form in the mind!

Tragically, that's exactly what happened to almost all of Chadema followers!

Ahsanta.
 
Tunaposema CCM inatumia udini kama shield huwa mnatuona wapuuzi sana.
faiza Foxy so unalalamika, unashangaa au unapiga story??

CCM inatumia ikulu kama choo cha stand
 
Last edited by a moderator:
This will endless cost our president. Mbona wapo lukuki washauri wazuri, either watu wa usalama wameshindwa kumtaarifu Mh. Rais kuhusu wasifu wa watu wa kumshauri ama alikataa ushauri na kuchukua washkaji zake ili waneemeshe matumbo yao.
You mean "will" ???????
 
Mbona Bikira maria wakati ana umri wa miaka 11alikuwa na mimba!? Na aliolewa na mzee wa miaka 90!?

Au hilo ulikuwa haulijui!?

Bikira Maria alichumbiwa akiwa na miaka 12 na inasemekana alimzaa Yesu akiwa na miaka 13 wakati Joseph akiwa na miaka 90. Aisha Bint Abu Bakar alikuwa ana miaka 6 au 7 alipochumbiwa na Mtume Mohammed. Ndoa yao ilikuwa "consummated" akiwa na miaka 9. Mtume Mohammed alikuwa na miaka 53.

Kwa hiyo?

Amandla.....


 
Hayo ni mawazo yako jambo ni pumba unahaki ya kutoa maoni yako.
 
Hakika umenena vema kwani kama kweli raisi wetu ana washauri kama akina lukuvi hakuna cha kulisaidia taifa hapo,zaidi ya kuliangamiza.
 

Mkuu,

Wanilaumu na kunisimanga bure, yanini Yakhe!?

Mie nalikua nazungumza kiduchu tu na ndugu yangu JokaKuu kwa telepathy!...nae nina hakika amenifahamu nalichokusudia, ndo maana waona amenyamaza!

Pole saana!

Ahsanta.

Cc;Barubaru
 
Kama jei kei angewatumia
mkapa,warioba,butiku,sumaye.
Kidogo hadhi na heshima yake ingekuwa juu zaidi na taifa lingeimarika kiustawi.
Lakini kwa watu kama mwigulu,wassira,lukuvi aaah! Hovyo kabisa.
 

Yaani wewe ni mbwinga, mwehu, mpuuzi, mwanaharamu zaidi ya uliowaita, unaongea utumbo zaidi ya lukuvi,nguruwe Pori weee!
 
Kawaida wajanja huchaguana, na wabovu hivyo hivyo.Hiyo inafuata law of attraction which states that LIkES ATTRACTS LIKES.
 

Kwa hiyo unakiri kuwa Lukuvi kafanya vibaya au?
 


Na Lukuvi ndio alikuwa shahidi wa hizo ndoa na ndiyo maana akawa na hofu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…