Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Watashauri kwa hofu na jazba zao na si katika hali halisi! Yaleyale ya mwaka 1992 wakati wa kuanzisha vyama vingi, ilikuwa hivhiv kwani walikua wanaonesha mikanda ya vita za Rwanda na Burundi.
 
....hawa wazee ni watu wazima kiasi cha kutosha, lakini sizani hata wakinipa ushauri utanifaa....
 
Sasa wamshauri nini wakati yeye mwenyewe hewa
 

Sio alichumbiwa! Maria ALIKUWA MJAMZITO AKIWA NA UMRI WA MIAKA 11!

Sasa km tukifuata sheria za sasa! Huoni km joseph leo angekuwa jela!
Kwa kuishi na mtoto wa kike na ni MJAMZITO!?

Kuchumbia au kuishi na msichana chini ya umri bila kufanya tendo la ndoa au kuwa na ushahidi huo kwa sheria za sasa SIO KOSA!

lkn kuishi na msichana chini ya umri na Akakutikana MJAMZITO ni jela miaka mingi tu!

Km unabisha kasome sheria ya nchi yako.
 
Lukuvi karusha jiwe gizani.
Waliopatwa na jiwe tunawaona wanavyolialia......
We have already sealled your coffin. The time to be buried is here and now!!!!!!!
Walewale bila CCM hamwezi kuishi .siku zenu zinahesabika
 
Waislamu wanamchukuliaje Lukuvi?

Wanatoa tamko gani dhidi ya kauli yake ya kwamba anahofu dhidi yao?

Na kuwataja uamsho hadharani vile?
 
Leo ndo umenga'amua kwamba mmekuwa mkitumiwa? Mkiambiwa kila siku kuwa chanzo cha umaskini waTanzania ni CCM mnabisha. Mungu wa mbinguni aendeleee kuwafunulia. Saa ya ukombozi ni sasa.
 
mtoa mada siku zote amekuwa mtetezi na wakili wa ccm humu jamvini, leo hii analialia sijui kwa nini. ok tulia dawa iingie
 
Mfumo kristu umedhihirishwa vizuri tu na huyu mwanaharam lukuvi.OIC imepingwa vikali sana Tanzania na huu mfumo kristu.Leo zanzibar imeruhusiwa kwa kigezo cha serikali mbili wakati kipindi kile inakataliwa zanzibar ilikua chini ya serikali mbili.hapo mfumo kristu umebadilisha mawazo.

ipi hatma ya OIC na Tanganyika huku Bara,Mfumo kristu kupitia hofu ya lukuvi juu ya uislam washajibu.
 

Hebu toa hitimisho kwa haya uliyoyaandika. Usisahau kwamba alitumwa na waziri mkuu wa serikali ya CCM.
 
mtoa mada siku zote amekuwa mtetezi na wakili wa ccm humu jamvini, leo hii analialia sijui kwa nini. ok tulia dawa iingie

Tatizo la nyie watoto ni kutokujua kitu gani kinaongelewa na mtoa mada!

Ccm ni chama chenye sera zake na ilani zake!
Viongozi waliomo ndani yake wana tabia na malengo tofauti!
Alichokifanya mtoa mada ni kuonyesha uovu wa baadhi wa hao sura mbili waliomo ndani ya chama tawala!
Sasa lzm uelewe hilo!

Sio nyie mnaposifia CHADEMA mnafungia macho uchafu wotewa viongozi wenu akiwemo mwenyekiti wenu kwa kuondoka na nyapi wa mtu!
 

tatizo ni kanisa au ni ccm??? Uanaccm wako usikufanye uzunguke vichaka,,ita nyeusi nyeusi na nyeupe nyeupe!!
 

1)Hivi mfumo wa kikristo unamaanisha nini hasa?Hembu acha kutupia humu maneno ya ujumla ujumla
2)Halafu unaka kuwa mwanachama wa Umoja wa Nchi za Kiislamu kwani nchi yako ni ya kiislamu.Hivi malengo muhimu ya oic ni nini ukiacha yale ya jumla ya uchumi?Kumbuka huu sio umoja wa maendeleo wa dunia
 

Ngoja nikuregebishe!
Kanisa katoliki SIO POWERFULL! bali na maradhi kama UKIMWI!
Na maradhi hayo yamesambaa kwenye kona nyingi za nchi yetu!
Ni wajibu wetu kufanya lolote kutokomeza hivyo virusi!

Na ndio waislamu na wale wapenda haki wote wanachokifanya!
 

Maswali yako haya yanaonyesha kabisa kuwa huna Aidia ni nini hasa MFUMO KRISTO!
Wala ni nini hasa OIC inasimamia!

Sasa huu sio uzi wa kufundisha! Nenda kasome kwanza maana ya hivyo viwili halafu kajiulize pia iweje nchi yetu isio na dini iwe na wawakilishi wa VATICAN hapa nchini!? Ambao wako KISEREKALI! pamoja na KIDINI!?

Ukipata hayo majibu rudi kwa mwalimu Pol Pot akupe darasa.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…