Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Wadau kwa jinsi nilivyo muona Waziri Lukuvi akiongea bungeni kwa jazba bila kutumia busara, in fact aliongea pumba na huyu ni mmoja wa washauri wa Jk. Najiuliza Jk akiwa mezani na washauri wake wawili, kushoto Lukuvi kulia Wasira, nini kitaendelea hapo??
Watashauri kwa hofu na jazba zao na si katika hali halisi! Yaleyale ya mwaka 1992 wakati wa kuanzisha vyama vingi, ilikuwa hivhiv kwani walikua wanaonesha mikanda ya vita za Rwanda na Burundi.
 
....hawa wazee ni watu wazima kiasi cha kutosha, lakini sizani hata wakinipa ushauri utanifaa....
 
Wadau kwa jinsi nilivyo muona Waziri Lukuvi akiongea bungeni kwa jazba bila kutumia busara, in fact aliongea pumba na huyu ni mmoja wa washauri wa Jk. Najiuliza Jk akiwa mezani na washauri wake wawili, kushoto Lukuvi kulia Wasira, nini kitaendelea hapo??
Sasa wamshauri nini wakati yeye mwenyewe hewa
 
Bikira Maria alichumbiwa akiwa na miaka 12 na inasemekana alimzaa Yesu akiwa na miaka 13 wakati Joseph akiwa na miaka 90. Aisha Bint Abu Bakar alikuwa ana miaka 6 au 7 alipochumbiwa na Mtume Mohammed. Ndoa yao ilikuwa "consummated" akiwa na miaka 9. Mtume Mohammed alikuwa na miaka 53.

Kwa hiyo?

Amandla.....



Sio alichumbiwa! Maria ALIKUWA MJAMZITO AKIWA NA UMRI WA MIAKA 11!

Sasa km tukifuata sheria za sasa! Huoni km joseph leo angekuwa jela!
Kwa kuishi na mtoto wa kike na ni MJAMZITO!?

Kuchumbia au kuishi na msichana chini ya umri bila kufanya tendo la ndoa au kuwa na ushahidi huo kwa sheria za sasa SIO KOSA!

lkn kuishi na msichana chini ya umri na Akakutikana MJAMZITO ni jela miaka mingi tu!

Km unabisha kasome sheria ya nchi yako.
 
Lukuvi karusha jiwe gizani.
Waliopatwa na jiwe tunawaona wanavyolialia......
We have already sealled your coffin. The time to be buried is here and now!!!!!!!
Walewale bila CCM hamwezi kuishi .siku zenu zinahesabika
 
Waislamu wanamchukuliaje Lukuvi?

Wanatoa tamko gani dhidi ya kauli yake ya kwamba anahofu dhidi yao?

Na kuwataja uamsho hadharani vile?
 
Leo ndo umenga'amua kwamba mmekuwa mkitumiwa? Mkiambiwa kila siku kuwa chanzo cha umaskini waTanzania ni CCM mnabisha. Mungu wa mbinguni aendeleee kuwafunulia. Saa ya ukombozi ni sasa.
 
mtoa mada siku zote amekuwa mtetezi na wakili wa ccm humu jamvini, leo hii analialia sijui kwa nini. ok tulia dawa iingie
 
Mfumo kristu umedhihirishwa vizuri tu na huyu mwanaharam lukuvi.OIC imepingwa vikali sana Tanzania na huu mfumo kristu.Leo zanzibar imeruhusiwa kwa kigezo cha serikali mbili wakati kipindi kile inakataliwa zanzibar ilikua chini ya serikali mbili.hapo mfumo kristu umebadilisha mawazo.

ipi hatma ya OIC na Tanganyika huku Bara,Mfumo kristu kupitia hofu ya lukuvi juu ya uislam washajibu.
 
Naema Ukristo? Lukuvi alipokuwa anajitetea bungeni leo hii, kashindwa hata kusema kuwa hayo maneno kayaongelea kanisani, kasema maneno niliyoyangea mitaani! Dah kajikoroga ile mbaya.

Sasa mimi nakuuliza wewe, Kanisani kuna Uislaam au Ukristo? na mkienda kanisani huwa mnaongelea Uislaam? jibu ni ndio, kutoka kwa Lukuvi, anasema alikuwa anatoa hofu yake na hiyo ni imani yake na hakuna wakumzuia hata katiba haiwezi kumzuia. Kishajisahau kuwa mwanzoni alisema pale alitumwa na Waziri Mkuu.

Hakika, ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.

Hebu toa hitimisho kwa haya uliyoyaandika. Usisahau kwamba alitumwa na waziri mkuu wa serikali ya CCM.
 
mtoa mada siku zote amekuwa mtetezi na wakili wa ccm humu jamvini, leo hii analialia sijui kwa nini. ok tulia dawa iingie

Tatizo la nyie watoto ni kutokujua kitu gani kinaongelewa na mtoa mada!

Ccm ni chama chenye sera zake na ilani zake!
Viongozi waliomo ndani yake wana tabia na malengo tofauti!
Alichokifanya mtoa mada ni kuonyesha uovu wa baadhi wa hao sura mbili waliomo ndani ya chama tawala!
Sasa lzm uelewe hilo!

Sio nyie mnaposifia CHADEMA mnafungia macho uchafu wotewa viongozi wenu akiwemo mwenyekiti wenu kwa kuondoka na nyapi wa mtu!
 
kabla ya kutoka bungeni baadhi ya wabunge wa ukawa jana, professor lipumba aliweka wazi aliyoyaongea kanisani waziri mmoja wa serikali ya muungano. Lipumba alisema kuna waziri kaenda kuhutubia kanisani kuwa "ikiwa zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya kiislam".

Jana nikauliza ni waziri gani huyo? Sikupata jibu humu jf.

Lakini kwa kuwa mungu hamfichi mnafik, huyo waziri kajitokeza mwenyewe bungeni leo hii na kwanza kukiri kuwa katumwa na waziri mkuu na kusema kuwa hiyo ni hofu, "phobia" yake na akaendelea kusema "hakuna yeyote wa kunizuia hofu yangu hii".

Akazunguka wee na maneno lakini akashindwa kukisema kile alichokieleza lipumba.

Kwa uchache, lukuvi ameudhihirishia umma kuwa ana "islamophobia" au hofu ya uislaam.

Kiongozi unaefikia kutangaza kanisani na bungeni kuwa hutaki kuwapa mamlaka kamili zanzibar kwa ajili ya dini yao, kweli hiyo si serikali ya mfumo kristo tunayoilalamikia siku zote humu?

Na leo lukuvi kahitimisha kwa kuniunga mkono yale ninayoyasema humu kila siku kuwa huu muungano upo kwa ajili ya kanisa. Na unaongozwa na kanisa. Huwa mnajifanya hamnielewi lakini leo yamebainika bayana.

Wanaonisikitisha zaidi ni wale wazanzibari waliobaki kuipigia makofi hoja hii ya lukuvi, halafu wanajiita wao waislaam. Waislaam mnaambiwa hampewi nchi yenu kwa kuwa lukuvi ana hofu mkipewa mtaifanya dola ya kiislaam na nyinyi mnashangilia? Yaani lukuvi anawaambia kinaga ubaga kuwa mtabaki ndani ya mfuko kristo mkitaka msitake na mkikataa basi ni bora nchi hii ishikwe na jeshi na akafikia mpaka kuwapa mfano wa islamic brotherhood ya egypt.

Kinachonishangaza hii hofu yanini kwa lukuvi? Ikiwa nchi anayoiongelea ni zanzibar na wazanzibari 99% ni waislaam ikiwa
wataamuwa nchi yao kuwa ya kiislaam yeye anapatwa na hofu ya nini?

[video=youtube_share;piapaad3dck]http://youtu.be/piapaad3dck[/video]

cc ritz, gombesugu, kahtaan, the big show, chamviga
moderator tafadhali usiiunganishe hii na nyuzi nyingine hii maudhui yake inajitegemea.

tatizo ni kanisa au ni ccm??? Uanaccm wako usikufanye uzunguke vichaka,,ita nyeusi nyeusi na nyeupe nyeupe!!
 
Mfumo kristu umedhihirishwa vizuri tu na huyu mwanaharam lukuvi.OIC imepingwa vikali sana Tanzania na huu mfumo kristu.Leo zanzibar imeruhusiwa kwa kigezo cha serikali mbili wakati kipindi kile inakataliwa zanzibar ilikua chini ya serikali mbili.hapo mfumo kristu umebadilisha mawazo.

ipi hatma ya OIC na Tanganyika huku Bara,Mfumo kristu kupitia hofu ya lukuvi juu ya uislam washajibu.

1)Hivi mfumo wa kikristo unamaanisha nini hasa?Hembu acha kutupia humu maneno ya ujumla ujumla
2)Halafu unaka kuwa mwanachama wa Umoja wa Nchi za Kiislamu kwani nchi yako ni ya kiislamu.Hivi malengo muhimu ya oic ni nini ukiacha yale ya jumla ya uchumi?Kumbuka huu sio umoja wa maendeleo wa dunia
 
Ha ha ha ha ha.......Leo ni full vichekesho....Dahhhh...Kumbe hiki ndio Kirefu cha CCM.....

Hakika Kanisa Katoliki ni powerfull church ever...Kanisa ni kama maji....Lazima uyanywe, usipoyanywa utayakoga, kufulia, au kunyeshea bustani.....

Hakika na hichi ndicho nilichokuwa nasubiria kwa hamu.... CCM kumbe ni Chama cha Kikatoliki.....

Na bado....

Ngoja nikuregebishe!
Kanisa katoliki SIO POWERFULL! bali na maradhi kama UKIMWI!
Na maradhi hayo yamesambaa kwenye kona nyingi za nchi yetu!
Ni wajibu wetu kufanya lolote kutokomeza hivyo virusi!

Na ndio waislamu na wale wapenda haki wote wanachokifanya!
 
1)Hivi mfumo wa kikristo unamaanisha nini hasa?Hembu acha kutupia humu maneno ya ujumla ujumla
2)Halafu unaka kuwa mwanachama wa Umoja wa Nchi za Kiislamu kwani nchi yako ni ya kiislamu.Hivi malengo muhimu ya oic ni nini ukiacha yale ya jumla ya uchumi?Kumbuka huu sio umoja wa maendeleo wa dunia

Maswali yako haya yanaonyesha kabisa kuwa huna Aidia ni nini hasa MFUMO KRISTO!
Wala ni nini hasa OIC inasimamia!

Sasa huu sio uzi wa kufundisha! Nenda kasome kwanza maana ya hivyo viwili halafu kajiulize pia iweje nchi yetu isio na dini iwe na wawakilishi wa VATICAN hapa nchini!? Ambao wako KISEREKALI! pamoja na KIDINI!?

Ukipata hayo majibu rudi kwa mwalimu Pol Pot akupe darasa.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom