kwa mtazamo wako wewe kusema wanaidhibiti zanzibar ili isiwe nchi ya KIISLAMU si jambo baya,huku akijua wazanzibar 99% ni WAISLAMU........ hii inamana serekali ya muungano inapambana na ustawi wa uislamu zanzibar ndio KAZI YAKE KUU. Maana hatuoni barabara,maji,hospital wala msaada kwa jamii ya zanzibar zaidi ya majeshi na virungu vya mpingo ndio wanaleta.eeeh nimekumbuka na magari washa washa ya polisi.
SASA BASI WASWAHILI TUNASEMA '' UKIMUAMSHA ALIYE LALA UTALALA WEWE''
kwa maana hii BILA MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR KATIBA MPYA HAIPITI !! HAIPITI!! HAIPITI!!
HERI litote tugawane mbao sisi tulidhani siasa kumbe mpango wa kidini huu
(MANSOUR:KULAZIMISHA KUREKEBISHA KATIBA YA ZANZIBAR WAJIANDAE NA VITA EEHH MENGINE SIKUKUSUDIA KUYASEMA)