Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Mkuu wakristu kule zazibar watafurumushwa, Lukuzi hajakosea kwa hilo.

Hayo maneno ndo yanaleta na kusababisha ugomvi ktk nchi huwa wanayaanzisha halafu yanawashinda,,,,kenya wamewachokonowa wasomali nw yanawashinda,mnataka mtupeleke huko?????
 
Mbona hakuna kibaya alichokiongea? All are true facts ambazo ni known.

kwa mtazamo wako wewe kusema wanaidhibiti zanzibar ili isiwe nchi ya KIISLAMU si jambo baya,huku akijua wazanzibar 99% ni WAISLAMU........ hii inamana serekali ya muungano inapambana na ustawi wa uislamu zanzibar ndio KAZI YAKE KUU. Maana hatuoni barabara,maji,hospital wala msaada kwa jamii ya zanzibar zaidi ya majeshi na virungu vya mpingo ndio wanaleta.eeeh nimekumbuka na magari washa washa ya polisi.

SASA BASI WASWAHILI TUNASEMA '' UKIMUAMSHA ALIYE LALA UTALALA WEWE''

kwa maana hii BILA MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR KATIBA MPYA HAIPITI !! HAIPITI!! HAIPITI!!
HERI litote tugawane mbao sisi tulidhani siasa kumbe mpango wa kidini huu
(MANSOUR:KULAZIMISHA KUREKEBISHA KATIBA YA ZANZIBAR WAJIANDAE NA VITA EEHH MENGINE SIKUKUSUDIA KUYASEMA)
 
Hizi zote ni fitna za ccm ktk kukataa serikali tatu.na anajiamini jini kuongea maneno hayo hadharani anawabip waislam au ccm imeahidi kumlinda? Maana hizo ni shutuma ambazo ukizitafakari maana yake zanzibar haipaswi kujitawala kwa vile ni hatari kwa wengine.
Ccm wana uthubutu mbaya jamani
 
kwa mtazamo wako wewe kusema wanaidhibiti zanzibar ili isiwe nchi ya KIISLAMU si jambo baya,huku akijua wazanzibar 99% ni WAISLAMU........ hii inamana serekali ya muungano inapambana na ustawi wa uislamu zanzibar ndio KAZI YAKE KUU. Maana hatuoni barabara,maji,hospital wala msaada kwa jamii ya zanzibar zaidi ya majeshi na virungu vya mpingo ndio wanaleta.eeeh nimekumbuka na magari washa washa ya polisi.

SASA BASI WASWAHILI TUNASEMA '' UKIMUAMSHA ALIYE LALA UTALALA WEWE''

kwa maana hii BILA MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR KATIBA MPYA HAIPITI !! HAIPITI!! HAIPITI!!
HERI litote tugawane mbao sisi tulidhani siasa kumbe mpango wa kidini huu
(MANSOUR:KULAZIMISHA KUREKEBISHA KATIBA YA ZANZIBAR WAJIANDAE NA VITA EEHH MENGINE SIKUKUSUDIA KUYASEMA)

Hiyo takwimu ya 99% ni ya kugushi.isingekuwa ni ya kugushi ungeonyesha sensa iliyotoa taarifa hizi.hebu tupatie takwimu za wakristo na wasio wakristo na wasio na dini.Hata sababu kwamba waisilamu ni wengi hivyo nchi na serekali viwe vya kiislamu ni kosa la mwaka.Haki za msingi zinahitaji uhuru wa kuamini na kuabudu kwa wengi na wachache.Imani yako ikiwa nzuri haitakiwi kujilinda kwa kutumia dola.raia wana haki ya kuendelea au kubadili imani bila kuzuililiwa na dola
 
[video=youtube_share;HJ6SejvMnak]http://youtu.be/HJ6SejvMnak[/video]
 
Ametoa kutoka moyoni mwake!!!!!!!!!! Tunapoelekea ni kubaya zaidi...ngoja tusubiri
 
Viongozi wetu wamekuwa waoga mno,vitu vingine vinaongeleka kwa marithiano lakini si kwa kulazimisha.Haya ya Uislamu na Ukristu sidhani kama alipoongelea ni mahali pake,ameweka dosari kubwa kwa wakristu,kwamba hapa wakristu wawaogope waislamu toka Zanzibar,kwa upande mwingine naelewa ni namna gani waislamu toka Zanzibar wataichukulia kauli hii ya Lukuvi
 
Kumbe Zanzibar Tunawatawala, so ile kauli ya Zanzibar ni koloni la Tanganyika ni kweli??? angalia alichoongea Lukuvi.
 
Kumbe Zanzibar Tunawatawala, so ile kauli ya Zanzibar ni koloni la Tanganyika ni kweli??? angalia alichoongea Lukuvi.
 
Tukichinjana the icc inamuhusu. Eti waziri, poor mind poor thinking. Lukuv atangazwa janga la taifa.
 
KWAKWELI MATAMKO YA VIONGOZI WETU NI YA KUTAFAKARI KWA KINA, THEN TUCHUKUE HATUA TWENDE ICC

  • A%20S%20cry.gif

SASA TUMECHOKA, WAKIKAIDI PIGENI TU....... BY PM:A S cry:
TUSIWE WANYONGE, CHAPENI TU. BY PRE:shock:
............................................................. BY LUKU:A S cry:
 
Unapokosa Hoja wakati mwengine kunamfanya mtu kufitinisha badala ya kutafuta suluhisho la ki-hekma
 
Nadhani uwezo wake wa kufikiri umefikia hapo, chama pekee kinacho beba viraza ni sisiem
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom