Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa Rais Kikwete,
Kwa heshima na taadhima na mapenzi ya hali ya juu niliyonayo katika uongozi wako, siyo siri, ni dhahiri shahiri na kila mwana JF anaweza kuwa shahidi yangu kwa hilo.
Kikwete, nnaamini wewe ni mchapa kazi, nnaamini wewe una muono mpana na mrefu, nnaamini wewe unatimiza wajibu wako kwa kadri ya uwezo wako aliokujaalia Mwenyeezi Mungu.
Nakuomba yasikilize maneno ya William Lukuvi kwa umakini na ujifikirie, huyu William Lukuvi anaitakia mema Tanzania hii?
William Lukuvi amma kwa ujinga wake amma kwa werevu wake, ameutia dosari kubwa utawala wako. Ameenda Kanisani kuwaeleza Wakristo wenzake, tena kwa kujigamba na kejeli na kuonesha kibri ya hali ya juu, kuwa hana imani na Waislaam. Kumbuka iwe Muislaam wa Zanzibar au wa Tanganyika au kokote duniani, Waislaam ni kama kiwiliwili kimoja, unapokiumiza kidole kimoja basi mwili wote unasikia uchungu na unapatwa na maumivu.
William Lukuvi, yuko kwenye Serikali ambayo haina dini! lakini yeye mwenyewe ana dini na alienda kuongea kwenye nyumba ya dini na huko ndipo alipowaudhi Waislaam.
Hiyo ni dosari kubwa sana katika utawala wako. Tunakuomba muachishe kazi haraka sana William Lukuvi kabla hajazua balaa lingine, maana hata alipowahi kwenda kujitetea bungeni alionesha kibri zaidi ya kile alichoonesha Kanisani na akatamba na kuwachiwa muda na Mwenyekiti (mkristo pia) zaidi ya mbunge mwingi yeyote aliyechangia mijadala kwenye bunge maalum, ili ajitetee. Nilifikiri kuwa William Lukuvi ataomba radhi lakini cha kustaajabisha hajaomba radhi na karudia tena na tena na tena kuwa ana hofu na alichokieleza kanisani ni hofu yake na hakuna anaeweza kuhoji hilo.
Sisi tumemuelewa na hatumuhoji yeye, tunakuhoji wewe Rais wetu, jee, kiongozi wako ametugawa au ametuunganisha Watanzania kwa kauli zake hizo?
Jibu lako, mimi silijuwi, lakini jibu letu, ni wazi kabisa kuwa William Lukuvi katugawa Watanzania badala ya kutuunganisha, na si kuwa katugawa Watanganyika na Wazanzibari, la hasha, katugawa Waislaam na Wakristo. Na hilo ni hatari kubwa sana kwa Taifa letu.
Tunakuomba chukuwa hatua za haraka sana, umstaafishe huyu Waziri wako kabla hii athari na mpasuko alotuwekea kuzidi zaidi ya hapa alipotufikisha.
Msikilize:
[video=youtube_share;5gvZyIJkTFY]http://youtu.be/5gvZyIJkTFY[/video]
Nnamalizia kwa kutoa shukrani zangu ikiwa utapata wasaa wa kuyaona haya niliyokueleza.
Well said mkuu! Mkuki kwa nguruwe .........!Usijifanye una busara kuandika hapa wewe!! si wewe uliyemtukana hapa hapa JF Mzee Warioba kwamba aende zake akavute tumbaku? Sio wewe FOX au unataka tuilete thread yako hapa. Kumtukana mzee Warioba kunaondoa mantiki yote ya thread yako hapa, na kinachobaki ni ulevi tu wa Dini za kigeni. Sasa unajifanya hutaki uchochezi wa kidini, mjinga wewe utamdanganya nani? Ni kweli alichosema LUKUVI sio sahihi lakini na wewe ondoa kwanza Boriti jichoni mwako ndipo uone Kibanzi kwa mwenzio. Wapo wadau wametamka wazi Bungeni kuwa serikali tatu zitawaleta Alqaeda Zanzibar unasemaje kuhusu hilo? Kumbuka Lukuvi alikuwa anamwakilisha J.K!!!!
show me your friends and i'll tell you who you are.
Ndiyo maana nnamuomba Kikwete amstaafishe huyu kabla madhara hayajawa makubwa, Waislaam watajibu na Wakristo watajibu, itakuwa mtafuruku mkubwa kama hatua za haraka hazijachukuliwa za kumuondoa huyu William Lukuvi kwenye duru za siasa.
asimlaumu mtu kwa yatayofatia
Mheshimiwa Rais Kikwete,
Kwa heshima na taadhima na mapenzi ya hali ya juu niliyonayo katika uongozi wako, siyo siri, ni dhahiri shahiri na kila mwana JF anaweza kuwa shahidi yangu kwa hilo.
Kikwete, nnaamini wewe ni mchapa kazi, nnaamini wewe una muono mpana na mrefu, nnaamini wewe unatimiza wajibu wako kwa kadri ya uwezo wako aliokujaalia Mwenyeezi Mungu.
Nakuomba yasikilize maneno ya William Lukuvi kwa umakini na ujifikirie, huyu William Lukuvi anaitakia mema Tanzania hii?
William Lukuvi amma kwa ujinga wake amma kwa werevu wake, ameutia dosari kubwa utawala wako. Ameenda Kanisani kuwaeleza Wakristo wenzake, tena kwa kujigamba na kejeli na kuonesha kibri ya hali ya juu, kuwa hana imani na Waislaam. Kumbuka iwe Muislaam wa Zanzibar au wa Tanganyika au kokote duniani, Waislaam ni kama kiwiliwili kimoja, unapokiumiza kidole kimoja basi mwili wote unasikia uchungu na unapatwa na maumivu.
William Lukuvi, yuko kwenye Serikali ambayo haina dini! lakini yeye mwenyewe ana dini na alienda kuongea kwenye nyumba ya dini na huko ndipo alipowaudhi Waislaam.
Hiyo ni dosari kubwa sana katika utawala wako. Tunakuomba muachishe kazi haraka sana William Lukuvi kabla hajazua balaa lingine, maana hata alipowahi kwenda kujitetea bungeni alionesha kibri zaidi ya kile alichoonesha Kanisani na akatamba na kuwachiwa muda na Mwenyekiti (mkristo pia) zaidi ya mbunge mwingi yeyote aliyechangia mijadala kwenye bunge maalum, ili ajitetee. Nilifikiri kuwa William Lukuvi ataomba radhi lakini cha kustaajabisha hajaomba radhi na karudia tena na tena na tena kuwa ana hofu na alichokieleza kanisani ni hofu yake na hakuna anaeweza kuhoji hilo.
Sisi tumemuelewa na hatumuhoji yeye, tunakuhoji wewe Rais wetu, jee, kiongozi wako ametugawa au ametuunganisha Watanzania kwa kauli zake hizo?
Jibu lako, mimi silijuwi, lakini jibu letu, ni wazi kabisa kuwa William Lukuvi katugawa Watanzania badala ya kutuunganisha, na si kuwa katugawa Watanganyika na Wazanzibari, la hasha, katugawa Waislaam na Wakristo. Na hilo ni hatari kubwa sana kwa Taifa letu.
Tunakuomba chukuwa hatua za haraka sana, umstaafishe huyu Waziri wako kabla hii athari na mpasuko alotuwekea kuzidi zaidi ya hapa alipotufikisha.
Msikilize:
[video=youtube_share;5gvZyIJkTFY]http://youtu.be/5gvZyIJkTFY[/video]
Nnamalizia kwa kutoa shukrani zangu ikiwa utapata wasaa wa kuyaona haya niliyokueleza.
Mheshimiwa Rais Kikwete,
Kwa heshima na taadhima na mapenzi ya hali ya juu niliyonayo katika uongozi wako, siyo siri, ni dhahiri shahiri na kila mwana JF anaweza kuwa shahidi yangu kwa hilo.
Kikwete, nnaamini wewe ni mchapa kazi, nnaamini wewe una muono mpana na mrefu, nnaamini wewe unatimiza wajibu wako kwa kadri ya uwezo wako aliokujaalia Mwenyeezi Mungu.
Nakuomba yasikilize maneno ya William Lukuvi kwa umakini na ujifikirie, huyu William Lukuvi anaitakia mema Tanzania hii?
William Lukuvi amma kwa ujinga wake amma kwa werevu wake, ameutia dosari kubwa utawala wako. Ameenda Kanisani kuwaeleza Wakristo wenzake, tena kwa kujigamba na kejeli na kuonesha kibri ya hali ya juu, kuwa hana imani na Waislaam. Kumbuka iwe Muislaam wa Zanzibar au wa Tanganyika au kokote duniani, Waislaam ni kama kiwiliwili kimoja, unapokiumiza kidole kimoja basi mwili wote unasikia uchungu na unapatwa na maumivu.
William Lukuvi, yuko kwenye Serikali ambayo haina dini! lakini yeye mwenyewe ana dini na alienda kuongea kwenye nyumba ya dini na huko ndipo alipowaudhi Waislaam.
Hiyo ni dosari kubwa sana katika utawala wako. Tunakuomba muachishe kazi haraka sana William Lukuvi kabla hajazua balaa lingine, maana hata alipowahi kwenda kujitetea bungeni alionesha kibri zaidi ya kile alichoonesha Kanisani na akatamba na kuwachiwa muda na Mwenyekiti (mkristo pia) zaidi ya mbunge mwingi yeyote aliyechangia mijadala kwenye bunge maalum, ili ajitetee. Nilifikiri kuwa William Lukuvi ataomba radhi lakini cha kustaajabisha hajaomba radhi na karudia tena na tena na tena kuwa ana hofu na alichokieleza kanisani ni hofu yake na hakuna anaeweza kuhoji hilo.
Sisi tumemuelewa na hatumuhoji yeye, tunakuhoji wewe Rais wetu, jee, kiongozi wako ametugawa au ametuunganisha Watanzania kwa kauli zake hizo?
Jibu lako, mimi silijuwi, lakini jibu letu, ni wazi kabisa kuwa William Lukuvi katugawa Watanzania badala ya kutuunganisha, na si kuwa katugawa Watanganyika na Wazanzibari, la hasha, katugawa Waislaam na Wakristo. Na hilo ni hatari kubwa sana kwa Taifa letu.
Tunakuomba chukuwa hatua za haraka sana, umstaafishe huyu Waziri wako kabla hii athari na mpasuko alotuwekea kuzidi zaidi ya hapa alipotufikisha.
Msikilize:
[video=youtube_share;5gvZyIJkTFY]http://youtu.be/5gvZyIJkTFY[/video]
Nnamalizia kwa kutoa shukrani zangu ikiwa utapata wasaa wa kuyaona haya niliyokueleza.
Utakuwa ujinga kwa waislamu kuwajibu wakristu, wakati wakristu hawajasema lolote... Kama watataka kujibu, basi waislamu wamjibu Lukuvi..Ndiyo maana nnamuomba Kikwete amstaafishe huyu kabla madhara hayajawa makubwa, Waislaam watajibu na Wakristo watajibu, itakuwa mtafuruku mkubwa kama hatua za haraka hazijachukuliwa za kumuondoa huyu William Lukuvi kwenye duru za siasa.
mkuki kwa nguruwe! lukuvi kaongea nje ya kofia ya uongozi, ni haki yake. kutokuwa na imani na waislam ni kosa zaidi kuliko la sheikh ponda kuhamasisha wapagani, wakristo na wasioamini wauwawe?..RIDICULOUS!
Kila mtu anafahamu na kuelewa zile hujuma za kuchoma bar na makanisa znz zilifanywa na maadui wa znz ambao lengo kuu ni kupaka matope harakati zile za kupumua za wazanzibari.Hibi hstsri hii ya kugawanywa kwa waislamu na wakristo mmeanza kuiona wakati huu baada ya hotuba ya Lukuvi. Tuache unafiki, wakati ule mihadhara ya Uamusho wakihamsisha Makafir toka bara warudi kwao Zanzibar ni ya Waislam mlikuwa vipofu na viziwi? Hamkuona kabisa bar zikichomwa moto, maduka yakishambuliwa, makinisa yakichomwa. Kama mliona mbona nguvu hizi zi kulaani sikuzisikia. Waliohusisha Uamusho (Taasisi ya Kiislam) na CUF sio Lukuvi ni Wazanzibari wenyewe ktk mivutano yao ya kisiasa baada ya kibsini ukweli na kuchoka siasa za vurugu ZNZ.
Mara tumesahau vurugu za Mwembechai na maduka ya Kitimoto. Yawezekana huko ni mbali sana, mauaji ya karibuni ya kushindania nani achinje nani asichinje tumesahau. Sikuona watu kuja humu JF wakitoa tahadhari na wakiwakemea viongozi wa dini kwa kiwagawa watu ila Lukuvi sababu ni mwanasiasa wa Chama msichokipenda. Tunapopata nafasi tahadhariya nia mbaya za baafhi yetu lazima itolewe haijarishi ni popote pale. Ukizingatia ile ilikuwa ni hadhara sio mkutsno wa siri
Toa ushahidi wa hayo kwa ponda kutaka wakristo wauwawe...ukiotoa hapa nakupa laki tano bila ya masharti.