Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Kweli maneno sio maziri ila ni ngumu sana Ndugu Jakaya kikwete kuchukua hatua
 

Unampigia gita mbuzi!
 
Well said mkuu! Mkuki kwa nguruwe .........!
 
FaizaFoxy complains about lukuvi while she started a thread a while ago ranting when her radical islamic cleric Rogo and Makaburi got whacked .

Would you mind pasting here the link to your dreamed thread started by me.
 
Ukweli waislam wameumizwa na kauli yake ya kibaguzi.
Ni kauli ya kifacist na dharau kubwa si kwa waislam wa zanzibar tu bali wa Tanzania nzima na jamii yote inayopenda mshikamano.
Maneno yale yanamfanya kila mzanzibari anayependa dini yake ajirudi na kujiuliza mara mia kwa nini aunge mkono muungano wenye madhara kwa dini yake..
Lukuvi ingekua vema ukaachia ngazi...kauli hii ya hatari ya kuwafaninisha waislam wa zanzibar kuwa hawako resoonsible hivo wanaweza kuleta maadui waishambulie Tanganyika ..huu ni uchochezi...
Ili kumlaani huyu na pia kuungana Dal Alvis kupinga ubaguzi mpirani na sisi tule ndizi na kusema no to lukuvi islamphobia...shame to lukuvi
 

Attachments

  • 1398889971930.jpg
    20.3 KB · Views: 156
Hibi hstsri hii ya kugawanywa kwa waislamu na wakristo mmeanza kuiona wakati huu baada ya hotuba ya Lukuvi. Tuache unafiki, wakati ule mihadhara ya Uamusho wakihamsisha Makafir toka bara warudi kwao Zanzibar ni ya Waislam mlikuwa vipofu na viziwi? Hamkuona kabisa bar zikichomwa moto, maduka yakishambuliwa, makinisa yakichomwa. Kama mliona mbona nguvu hizi zi kulaani sikuzisikia. Waliohusisha Uamusho (Taasisi ya Kiislam) na CUF sio Lukuvi ni Wazanzibari wenyewe ktk mivutano yao ya kisiasa baada ya kibsini ukweli na kuchoka siasa za vurugu ZNZ.

Mara tumesahau vurugu za Mwembechai na maduka ya Kitimoto. Yawezekana huko ni mbali sana, mauaji ya karibuni ya kushindania nani achinje nani asichinje tumesahau. Sikuona watu kuja humu JF wakitoa tahadhari na wakiwakemea viongozi wa dini kwa kiwagawa watu ila Lukuvi sababu ni mwanasiasa wa Chama msichokipenda. Tunapopata nafasi tahadhariya nia mbaya za baafhi yetu lazima itolewe haijarishi ni popote pale. Ukizingatia ile ilikuwa ni hadhara sio mkutsno wa siri
 
Ndiyo maana nnamuomba Kikwete amstaafishe huyu kabla madhara hayajawa makubwa, Waislaam watajibu na Wakristo watajibu, itakuwa mtafuruku mkubwa kama hatua za haraka hazijachukuliwa za kumuondoa huyu William Lukuvi kwenye duru za siasa.

Na akipuuzia ombi lako?
 
mkuki kwa nguruwe! lukuvi kaongea nje ya kofia ya uongozi, ni haki yake. kutokuwa na imani na waislam ni kosa zaidi kuliko la sheikh ponda kuhamasisha wapagani, wakristo na wasioamini wauwawe?..RIDICULOUS!
 

Ulikua ni upepo tu umeshapita
 

Look-vi alaaniwe na namlaani,na mwenyezimungu amlaani popote pale,mie pia hofu yangu ni kwamba look-v anaweza kuwaangamiza waislam kama yeye alivyo na hofu na sisi waislam na uislam wetu,
 
Mh..! Rais.. Rais wa tizedi, Tizedi nayo Ina RAISI..!?mh..! Makubwa
 
Ndiyo maana nnamuomba Kikwete amstaafishe huyu kabla madhara hayajawa makubwa, Waislaam watajibu na Wakristo watajibu, itakuwa mtafuruku mkubwa kama hatua za haraka hazijachukuliwa za kumuondoa huyu William Lukuvi kwenye duru za siasa.
Utakuwa ujinga kwa waislamu kuwajibu wakristu, wakati wakristu hawajasema lolote... Kama watataka kujibu, basi waislamu wamjibu Lukuvi..
 
mkuki kwa nguruwe! lukuvi kaongea nje ya kofia ya uongozi, ni haki yake. kutokuwa na imani na waislam ni kosa zaidi kuliko la sheikh ponda kuhamasisha wapagani, wakristo na wasioamini wauwawe?..RIDICULOUS!

Toa ushahidi wa hayo kwa ponda kutaka wakristo wauwawe...ukiotoa hapa nakupa laki tano bila ya masharti.
 
Kila mtu anafahamu na kuelewa zile hujuma za kuchoma bar na makanisa znz zilifanywa na maadui wa znz ambao lengo kuu ni kupaka matope harakati zile za kupumua za wazanzibari.
Uamsho walikua wakifata sheria zote katika mikutano yao.
Ccm janjaweed ndio waliotumika kufanya uchafu nduo maana hakuna kesi
 
Toa ushahidi wa hayo kwa ponda kutaka wakristo wauwawe...ukiotoa hapa nakupa laki tano bila ya masharti.

laki tano yako kanunue baruti.
hivi kisasi alichokuwa anakiongelea hapa chini ni kisasi gani vile?

"Makafiri wanatakiwa kuyaheshimu mambo matakatifu ya Kiislamu na kuyajua, kama hawataheshimu Mwenyezi Mungu alisema lazima mlipize kisasi katika mambo matakatifu. Mungu alisema ni lazima mlipize kisasi mwezi mtakatifu kwa mwezi mtakatifu. Mambo matakatifu yamewekewa kisasi"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…