Kama kasema hivyo hajakosea..ni kweliKuna clip nimeona mtandaoni ambapo Lukuvi anaongelea suala la Muungano na katika matamshi yake, anasikika akisema tukiwaacha Wazanzibar pekee yao, kuna hatari kukosekana kwa usalama kutokana na uwezekano wa Waarabu kurudi Zanzibar na kuzalisha siasa kali na hivyo wanaweza kutusumbua.
Sasa tukishikamana si ndio hilo lango litatoa nafasi ya wahalifu wenye imani moja na wazanzibari kuweza kulitumia na kutufikia?Pia Zanzibar inaweza kuwa lango la kupenyezea magaidi kuja kutusumbua huku Bara! Ndio maana tunaona tuendelee kushikamana vyema kuepusha rabsha
Zanzibar wakija sie ni ndugu zao sio rahisi kutu snitch na ndio maana unaona hata tawala za Zanzibar zinapewa strong support na bara!Sasa tukishikamana si ndio hilo lango litatoa nafasi ya wahalifu wenye imani moja na wazanzibari kuweza kulitumia na kutufikia?
Nakumbuka aliyasema haya akiwa kanisani mjini Dodoma wakati wa vikao vya bunge maalum la katiba mwaka 2014.
Pia Zanzibar inaweza kuwa lango la kupenyezea magaidi kuja kutusumbua huku Bara! Ndio maana tunaona tuendelee kushikamana vyema kuepusha rabsha
Unajua kwa watu ambao ni closed mind ku deal nao huwa ni shida sana! Kupambana na adui wa njia ya maji sio sawa na adui wa nchi kavu!Kijana ficha ujinga wako mkuu, Kwahiyo TZ nzima njia pekee ya kuingilia magaidi ni Zanzibar? Hiyo mipaka mengine hawawezi kupitia?
Unajua kwa watu ambao ni closed mind ku deal nao huwa ni shida sana! Kupambana na adui wa njia ya maji sio sawa na adui wa nchi kavu!
Bila kusahau manyang'au ya kenya lazima yasumbue sana pande hizi.......wazanziberi ni ndugu zetu wa damu hakunaga kitu kinachoitwa kuvunjika muungano, wenyewe wanasema ni vigumu kutenganisha tui la nazi na maziwa.Kuna clip nimeona mtandaoni ambapo Lukuvi anaongelea suala la Muungano na katika matamshi yake, anasikika akisema tukiwaacha Wazanzibar pekee yao, kuna hatari kukosekana kwa usalama kutokana na uwezekano wa Waarabu kurudi Zanzibar na kuzalisha siasa kali na hivyo wanaweza kutusumbua.
Nimeona kipande cha Mh Lukuvi.Kuna clip nimeona mtandaoni ambapo Lukuvi anaongelea suala la Muungano na katika matamshi yake, anasikika akisema tukiwaacha Wazanzibar pekee yao, kuna hatari kukosekana kwa usalama kutokana na uwezekano wa Waarabu kurudi Zanzibar na kuzalisha siasa kali na hivyo wanaweza kutusumbua.