Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
1)Hivi mfumo wa kikristo unamaanisha nini hasa?Hembu acha kutupia humu maneno ya ujumla ujumla
2)Halafu unaka kuwa mwanachama wa Umoja wa Nchi za Kiislamu kwani nchi yako ni ya kiislamu.Hivi malengo muhimu ya oic ni nini ukiacha yale ya jumla ya uchumi?Kumbuka huu sio umoja wa maendeleo wa dunia

Mfumo kristu ni ule ulioizuwia zanzibar kujiunga na OIC kwa kigezo Tanzania itajiunga.hapo serikali ni mbili.Ilipokuja Tanzania kujiunga na OIC mfumo kristu wakabana.

Mfumo kristo huohuo umeiruhusu zanzibar kujiunga na OIC kwa kigezo cha wazanzibari kupitia CCM kukubali serikali mbili.hii ni katiba mpya

members wa OIC sio nchi za kiislam tu.hili halihitaji ubatizo kulijua.
 
Jana akitoa ufafanuzi na utetezi wake., Mzee Lukuvi alinishangaza alupomsifia sana Augustin Mrema kuwa Ni Mpinzani wa kweli, na pia atashughulikia Malipo yake...Kwa mie binafsi nilitafsiri kama Ni Rushwa,Ila Nipo tayari kusahihishwa na pia Ni kwamba hawakuwa tayari kumlipa hadi awasaidie katika kutetea serikali mbili, na zaidi Ni kuonesha Ni mtumwa wao watakae mtajirisha muda mfupi ujao.... HERI MASKINI HURU KULIKO MTUMWA TAJIRI
 
1)Hivi mfumo wa kikristo unamaanisha nini hasa?Hembu acha kutupia humu maneno ya ujumla ujumla
2)Halafu unaka kuwa mwanachama wa Umoja wa Nchi za Kiislamu kwani nchi yako ni ya kiislamu.Hivi malengo muhimu ya oic ni nini ukiacha yale ya jumla ya uchumi?Kumbuka huu sio umoja wa maendeleo wa dunia

Akili yako ipo likizo na bado imejaa viraka mchanganyiko.

Weye ndo wakurupuka kurupuka kanakwamba umefumaniwa.

Makaafir woote wa Tanzania na nje yake somo walishalifahamu kuwa nini maana ya mfumo kristo.


Kumbe ndo maana watuchelewesha kufahamiana kwasababu ya udogo wako wa viwango vya ufahamu...!?

Huna tofauti na mropokaji/ mfitini Lukuvi.

Cc. Pol Pot
 
Maswali yako haya yanaonyesha kabisa kuwa huna Aidia ni nini hasa MFUMO KRISTO!
Wala ni nini hasa OIC inasimamia!

Sasa huu sio uzi wa kufundisha! Nenda kasome kwanza maana ya hivyo viwili halafu kajiulize pia iweje nchi yetu isio na dini iwe na wawakilishi wa VATICAN hapa nchini!? Ambao wako KISEREKALI! pamoja na KIDINI!?

Ukipata hayo majibu rudi kwa mwalimu Pol Pot akupe darasa.

Asante
1)Nikasome wapi mambo haya
2)Ninavyojua mimi serekali ya Tanzania sio mwanachama wa vatican.Vatican ina ubalozi wake hapa Tanzania. Sasa oic inataka kufungua ofisi au ubalozi?tatizo ni kutaka tuwe wanachama wsa umoja wa nchi za kidini.
3)Huo mfumo wa kikristo hauleweki kwenye nchi ambayo katiba yake imesisitiza kwamba serekali haina dini lakini raia washiriki na kuendesha imani zao bila kuingilia imani za wengine.shida nini
 
Last edited by a moderator:
Hilo ni swali zuri sana, nnauhakika tutapata majibu huu mjadala unapoendelea.

Kwa sasa swali lako zuri sipati jibu la haraka-haraka.

Dada FF, jibu ni rahisi kabisa, unapokuwa Rais ni kama Taasisi, kuna externa Forces nyingi ambazo ziko very powerful hizo ndo zinakuongoza, huwezi kwenda against nazo! Wote ni mashahidi Mh. alikuwa tayari kwa katiba mpya na kuwaambia wenzake kuwa wajiamdae kisaikolojia kupokea muundo wa S3, lakini je leo anaongea tena lugha hiyo? Hiyo ni External Drive, ambayo hana jinsi. Ni sawa na ukiwa Rais wa US, unapangiwa nini cha kufanya! Kama kwenye list yao kuna nchi inatakiwa ichapwe, Rais wa US hata ukiwa ni mlokole, utalazimishwa kuingia vitani tu!
 
akili yako ipo likizo na bado imejaa viraka mchanganyiko.

Weye ndo wakurupuka kurupuka kanakwamba umefumaniwa.

Makaafir woote wa tanzania na nje yake somo walishalifahamu kuwa nini maana ya mfumo kristo.


Kumbe ndo maana watuchelewesha kufahamiana kwasababu ya udogo wako wa viwango vya ufahamu...!?
Makafir
huna tofauti na mropokaji/ mfitini lukuvi.

Cc. Pol pot

ndio hivyo kumbe.
 
Andika kwa kiswahili nitakujibu. Hiki kiingereza kibovu sikiwezi.

Amandla....

Weye hata hicho Kiswahili kwako, basi ni dhiki na adha kubwa kwa sie tujuao! Daah!

Mie hicho kiingereza nadodosa dodosa tu!...lakini niko-fluently na nakubalika,nafundisha/research lugha nyanginezo nne za kimataifa... tena, kwenye taasisi zenye kutambulika na kuheshimika mno humu duniani!

Hata hivyo shukran kwa hizo jitihada zako za kujaribu ati "kunirakabisha"! Daah! Teeh! Teeh! Teeh!

Sasa,acha kujitoa ufahamu na rejea kwenye mada,Ok!?

Ahsanta.
 
Ngoja nikuregebishe!
Kanisa katoliki SIO POWERFULL! bali na maradhi kama UKIMWI!
Na maradhi hayo yamesambaa kwenye kona nyingi za nchi yetu!
Ni wajibu wetu kufanya lolote kutokomeza hivyo virusi!

Na ndio waislamu na wale wapenda haki wote wanachokifanya!


Mzee wangu Bill Cosby,

Yaani wanacha hoi bin taaban kwa kicheko! Duuh! Teeh! Teeh! teeh!

Yaani umelifananiza lile kanisa katoliki na gonjwa la ukimwi!? Daah! Kwii! Kwi! Kwi!

Ahsanta.
 
wa Tanzania lazima tuwe makini waangalifu na wenye kumbukumbu. kila ccm wanaposhikwa pabaya hutumia karata ya udini. likuvi na savimbi ndio wana gamble thr last card tukishinda hapa tumewashinda
intarahamwe.
 
Kwani mama yako aliolewa na baba ako ana umri gani? Na baba yako alikuwa mwanaume wake wa ngapi?

Duuh! Yamekua hayo!?ahahahahaaa!!

Tuko pamoja Mkuu Ritz...umesomeka Kaka!

Ahsanta.
 
Weye hata hicho Kiswahili kwako, basi ni dhiki na adha kubwa kwa sie tujuao! Daah!

Mie hicho kiingereza nadodosa dodosa tu!...lakini niko-fluently na nakubalika,nafundisha/research lugha nyanginezo nne za kimataifa... tena, kwenye taasisi zenye kutambulika na kuheshimika mno humu duniani!

Hata hivyo shukran kwa hizo jitihada zako za kujaribu ati "kunirakabisha"! Daah! Teeh! Teeh! Teeh!

Sasa,acha kujitoa ufahamu na rejea kwenye mada,Ok!?

Ahsanta.

Hata mimi napata taabu kukielewa kiswahili chako. Sisi kwetu hatusemi "weye", "kunirakabisha", "kujitoa ufahamu", "ahsanta"n.k. Sasa kama kweli wewe u-msomi wa kiingereza na lugha nyingine nne, hauwezi kusema niko-fluently.

Pengine wengine wanakuelewa unapuzungumza au kuandika hicho kiingereza lakini mimi siwezi. Kwa sababu hiyo, samahani, sitaweza kujibu yale uliyoyasema kwenye posting yako ya kiingereza maana sikuielewa.

Amandla......
 
Mkuu,

Umezungumza mangi mno dhidi ya Mkuu FaizaFoxy...nina hakika mwenyewe yupo hapa anakusoma na takupatia majawaba yako murua...kama akipata fursa na ikilazim!?

Kama weye unajikhis umo Serikalini kama unavyotujuza!?...sasa kwanini watumia lugha hiyo ya vitisho na dharau!?

Kwa context ya hiyo bayana yako ya kipuuzi...yaani unajaribu kutuaminisha yakua huyo Rais Kikwete "Boss wako", "udhaifu" na "ustaarabu" wake ndo chanzo cha haya matatizo unayodai yanafanzwa na akina "FaizaFoxy na genge" lake kama ulivyotuambia!?

Wee kweli ni mpuuzi na mnyama wa hali ya juu!...yaani unawatisha Wanajamvi hapa yakuwa utawasaka baada ya 2015!?...kwa uhakika upi uliokua nao na kwa vigezo vipi!? Embu tujulishe hapa hapa jamvini!?

Usituletee story zako za vijiweni hapa!

Sasa, mie binafsi nakuhakikishia yakua weye ni kiumbe mduchu mno kwenye hiyo system/serikali hapo nyumbani! Na walaa hizi siasa chafu/za kuchafuana sio level yako au game yako...asilan abadan!

Weye ni mtoto mduchu mno...katafute chandimu ukacheze na wanzio! Ebo!

Yaani unatuletea vitisho vya kitoto na ukosefu wa adab hapa jamvini,sio!?

Wee unajaribu kumshutumu vikali Mkuu FaizaFoxy yakua ati yakua yeye na "genge lake" wanahatarisha hiyo myth yenu ya "umoja na amani" hapo nchini!?...sasa weye mwenyewe umejisoma kwa makini huo uharo wako ulotuletea hapa!?

Kwa hiyo hayo ndo maoni au mtazamo wa baadhi ya nyinyi wafanyikazi wa serikali baada ya hiyo 2015!?

Sasa je unafahamu kiundani athari za matamko ya kiharamia kama hayo yako!?...khasa kama hao unaowashutumu wakiamua kuyachukulia serious, na labda nao kuamua kujiandaa ili kukabiliana na vitisho vyako vya kitoto!?...ambavyo ati unajaribu kutuaminisha yakua ndo msimamo wa wafanyikazi wenye madaraka ya juu serikalini sio!?

Embu tutajie weye unafanzia idara ipi huko serikalini!?...kama utasema kweli, basi nakuhakikishia japo leo ni w'end lakini kama una wadhifa wowote nyeti kama unavyojaribu kutuaminisha...basi, utaitwa leo hiihii ukajieleze kwa Boss wako yeyote hapo!?

Wacha nipate coffee hapa kiduchu, nitakurejea!

We mswahili maneno yako hayanitishi kwa lolote. Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Sina haja ya kutukanana na kusemana vibaya.

Uhuru wa habari ndio unawafanya mseme mtakayo kusema tu bila kufikiri.nakubali Lukuvi alikosea,na kama umenisoma hapo juu nimesimamia our mother Tanzania. Sijasema lukuvi yuko sawa au lah!!

Unataka kunitafuta?? Njoo tume ya mawasiliano -------!!


Ahsanta sana!




The king.
 
Thread imeingia udini mi nafahamu kuna mashoga waislam...na hao je utakuwa umetukana
 
Huwezi penda ccm halafu ukatetea upuuzi unaofanywa na viongozi wa ccm kwa unafiki uitoe kwenye makosa na kuwatupia wakristu,mbaya zaidi hujasikia viongozi wake si tanganyika wala zenj waliokanusha,kisha uwalaumu na kuwakejeli chadema wakati si waliokosea, jibu ni nini,chadema inaongozwa na padri wa zamani mkristu ambae kwako ww ni adui kuliko hao waliolikoroga ccm. You are confused lot

Now, let me provide you with slightly different perspective of the the same argument,Ok!?

There's a deliberate and very successful effort/s so far being made to ensure that Muslim's struggle and/or development stays neglected! It involves MfumoKristo at the the core and all kinds of other mind control on the surface. It's insidious!

I said it before...but worthy repeating though!

Chadema is always going to be against Muslims/Islam, no matter how many of its followers/misukule say they are not! Nothing is going to change this tragic reality! Daah!

Some Chadema followers may say...Oooh! It's not Islamophobia and we "love" Muslims!... I mean that kind of bullshit!

Now, do they talk for everyone else on how they feel!? The answer is a big fat NO!

I find it funny, when if I say all Chadema's are spreading Islamophobia and they harbour deep hatred against Muslims/Islam...then automatically makes me "mdini"!? Daah! Teeh! Teeh! Teeh!

Bottom line is, all Chademas are Nazis and they loathe Muslims!

Ahsanta sana!
 
Thread imeingia udini mi nafahamu kuna mashoga waislam...na hao je utakuwa umetukana



Yaani hivi sasa ndo waanza kuuona huo "udini", baada ya Waislam kuanza kujibu makhanatha ya hao wakosefu wa adabu hapa jamvini!? Duuh!

Hivi Mkuu unafuatilia huu mnakasha bayana kwa bayana!? Tafadhali bana!

Ahsanta!
 
Sio alichumbiwa! Maria ALIKUWA MJAMZITO AKIWA NA UMRI WA MIAKA 11!

Sasa km tukifuata sheria za sasa! Huoni km joseph leo angekuwa jela!
Kwa kuishi na mtoto wa kike na ni MJAMZITO!?

Kuchumbia au kuishi na msichana chini ya umri bila kufanya tendo la ndoa au kuwa na ushahidi huo kwa sheria za sasa SIO KOSA!

lkn kuishi na msichana chini ya umri na Akakutikana MJAMZITO ni jela miaka mingi tu!

Km unabisha kasome sheria ya nchi yako.


Mimi sikujua kuwa ulishuhudia uja uzito wa Bikira Maria. Mimi kwa sababu sikuwepo wakati ule nimefanya utafiti kidogo. Tamaduni za wayahudi wa wakati ule ziliruhusu msichana kuchumbiwa (betrothal) akiwa na miaka 12 na nusu. Msichana aliendelea kukaa na wazazi wake kwa kipindi cha takriban mwaka mmoja kabla ya harusi kufanyika na yeye kuhamia kwa mume wake. Wakati wa uchumba palikuwa hakuna kujaaminiana. Bikira Maria alipata uja uzito wa Yesu akiwa mchumba wa Joseph na sio Mke wake. Angekuwa tayari keshaolewa, Joseph asingetahayari na kutaka kumuacha. Na hata Maria asingeshangaa pale binamu yake Elizabeth alipomuambia atajifungua Messiah. Joseph alikubali kumuoa baada tu ya kutembelewa na malaika. kwa sababu hizi inakisiwa kuwa Bikira Maria alikuwa na umri zaidi ya miaka 13 ( 12 na nusu jumlisha miezi 9) alipomzaa Yesu.

Jewish maidens were considered marriageable at the age of twelve years and six months, though the actual age of the bride varied with circumstances. The marriage was preceded by the betrothal, after which the bride legally belonged to the bridegroom, though she did not live with him till about a year later, when the marriage used to be celebrated. All this agrees well with the language of the Evangelists. St. Luke (1:27) calls Mary "a virgin espoused to a man whose name was Joseph"; St. Matthew (1:18) says, when as his mother Mary was espoused to Joseph, before they came together, she was found with child, of the Holy Ghost".

Kweli wangekuwa wanaishi miaka hii, Joseph asingeruhusiwa kumuoa Maria na wazazi wa Maria wangechukuliwa hatua kali. Lakini ingekuwa wakati huu, DNA ya Yesu ingepimwa na kukutwa si ya Joseph na hivyo kumuondelea kesi ya "statutory rape".

Vile vile kwa Mtume Mohamed ambae alimchumbia Aisha akiwa na miaka 6-7 na kumuingia (consummate) akiwa na miaka 9. Huyu ana tofauti gani na Joseph? Si afadhali Joseph ambae alimuoa Maria lakini hakutembea nae kuliko huyu mwingine ambae bila shaka alitembea na mtoto wa miaka 9.

Mimi naishia hapa na sitaendeleza hii mada maana ishajadiliwa sana na haikuishia pazuri.

Amandla...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom