Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Tatizo la nyie watoto ni kutokujua kitu gani kinaongelewa na mtoa mada!

Ccm ni chama chenye sera zake na ilani zake!
Viongozi waliomo ndani yake wana tabia na malengo tofauti!
Alichokifanya mtoa mada ni kuonyesha uovu wa baadhi wa hao sura mbili waliomo ndani ya chama tawala!
Sasa lzm uelewe hilo!

Sio nyie mnaposifia CHADEMA mnafungia macho uchafu wotewa viongozi wenu akiwemo mwenyekiti wenu kwa kuondoka na nyapi wa mtu!

Umesomeka Kaka!

Hili ndo tatizo lililopo hapa...wangi mno hawafahamu asilan kizungumzwacho hapa! Na wangine kiduchu wao wameamua tu kujitoa ufahamu kwa chuki zao! Daah!

Tuko pamoja Mkuu!

Ahsanta.
 
Kabla ya kutoka bungeni baadhi ya wabunge wa UKAWA jana, Professor Lipumba aliweka wazi aliyoyaongea kanisani waziri mmoja wa Serikali ya Muungano. Lipumba alisema kuna waziri kaenda kuhutubia kanisani kuwa "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam".

Jana nikauliza ni waziri gani huyo? sikupata jibu humu JF.

Lakini kwa kuwa Mungu hamfichi mnafik, huyo waziri kajitokeza mwenyewe bungeni leo hii na kwanza kukiri kuwa katumwa na Waziri Mkuu na kusema kuwa hiyo ni hofu, "phobia" yake na akaendelea kusema "hakuna yeyote wa kunizuia hofu yangu hii".

Akazunguka wee na maneno lakini akashindwa kukisema kile alichokieleza Lipumba.

Kwa uchache, Lukuvi ameudhihirishia umma kuwa ana "Islamophobia" au hofu ya Uislaam.

Kiongozi unaefikia kutangaza Kanisani na Bungeni kuwa hutaki kuwapa mamlaka kamili Zanzibar kwa ajili ya dini yao, kweli hiyo si Serikali ya Mfumo Kristo tunayoilalamikia siku zote humu?

Na leo Lukuvi kahitimisha kwa kuniunga mkono yale ninayoyasema humu kila siku kuwa huu Muungano upo kwa ajili ya Kanisa. Na unaongozwa na Kanisa. Huwa mnajifanya hamnielewi lakini leo yamebainika bayana.

Wanaonisikitisha zaidi ni wale Wazanzibari waliobaki kuipigia makofi hoja hii ya Lukuvi, halafu wanajiita wao Waislaam. Waislaam mnaambiwa hampewi nchi yenu kwa kuwa Lukuvi ana hofu mkipewa mtaifanya dola ya Kiislaam na nyinyi mnashangilia? Yaani Lukuvi anawaambia kinaga ubaga kuwa mtabaki ndani ya mfuko Kristo mkitaka msitake na mkikataa basi ni bora nchi hii ishikwe na jeshi na akafikia mpaka kuwapa mfano wa Islamic Brotherhood ya Egypt.

Kinachonishangaza hii hofu yanini kwa Lukuvi? ikiwa nchi anayoiongelea ni Zanzibar na Wazanzibari 99% ni Waislaam ikiwa
wataamuwa nchi yao kuwa ya Kiislaam yeye anapatwa na hofu ya nini?

[video=youtube_share;PIAPAAd3Dck]http://youtu.be/PIAPAAd3Dck[/video]

cc Ritz, gombesugu, kahtaan, THE BIG SHOW, CHAMVIGA
Moderator tafadhali usiiunganishe hii na nyuzi nyingine hii maudhui yake inajitegemea.

vp siku izi umekiama chama?maana wewe ni m1wao lakini nakupongeza kwa kuzaliwa mara ya2,ccm ni intarahamwe,ndio chama chenye harufu ya udini,kazi yake ni kutugombanisha wa kristo na waislam,ili kuendelea kubaki madarakani,ikichama ni hatari sana kwa mustakabali wetu watanzania,
 
hata hayo maneno ya nchi kupinduliwa na jeshi ameyatamkia humo humo kanisani.

kama ukiendelea na fikra za kumtenganisha lukuvi na ccm , basi jua unachokipigania hamtakipata kamwe.

Kwangu mm ccm ni nge na CDM ni Tandu. Ila wamo watu ktk CDM na ccm nawakubali kinacho nifanya nisite ni misimamo ya vyama vyao.mfano nilipenda sana maelezo ya zzk.
 
Open your mind before your mouth! Daah!

Chadema is not like any other normal, humane/conventional democratic party.

Chadema is a daylight robbery and mental genocide!

I feel sorry for its followers aka "misukule ya Ufipa"! Daah!...when one accepts lies as truths, this affects his/her notion of reality, which inevitably cause incorrect conclusions to form in the mind!

Tragically, that's exactly what happened to almost all of Chadema followers!

Ahsanta.

Kweli confused mind is a lost mind. CONFUSED LOT
 
Hata mimi napata taabu kukielewa kiswahili chako. Sisi kwetu hatusemi "weye", "kunirakabisha", "kujitoa ufahamu", "ahsanta"n.k. Sasa kama kweli wewe u-msomi wa kiingereza na lugha nyingine nne, hauwezi kusema niko-fluently.

Pengine wengine wanakuelewa unapuzungumza au kuandika hicho kiingereza lakini mimi siwezi. Kwa sababu hiyo, samahani, sitaweza kujibu yale uliyoyasema kwenye posting yako ya kiingereza maana sikuielewa.

Amandla......

Mkuu,

Naona wajitahidi mno kuleta nakshi na makhanatha ya kitoto!

Umenikosoa hicho kiingereza...sasa unangia kwenye Kiswahili,sio!? Daah! Teeh! Teeh! Teeh!

Mie si msomi asilan, kukushinda weye!?

Lakini nakuhakikishia yakua huwezi kuzungumza amma kukijua kiingereza nishughulikacho nacho mie!

Walaa simo hapa kwa showing off na majikwazo!

Lakini kama walazimisha mno...basi waonaje ufungue thread nyangine khalaf tupeane challenge ya one on one, kukhusu hiyo lugha "yako"!? Teeh! Teeh! Teeh!

Weye changua topic ya aina yoyote unayoifahamu kiundani kichwani mwako,Ok!?

Ahsanta.
 
Lukuvi kupitia ofisi ya waziri mkuu kawasilisha maoni ya serikali yaliyoagizwa na raisi wa nchi na mwenyekiti wa CCM na ndio msimamo wa chama per ' se.

So wanachama wa CCM mmeamuaje kwa msimamo huo wa kidini uliofanywa na serikali ya chama chenu kupitia ofisi ya waziri???

Mimi ni mwanachama hai wa CCM na nnayapinga yaliyofanywa na Lukuvi, na amesema ni hofu yake! ana Islamophobia. Na nimemsikia akisema kwa kauli yake kuwa katumwa na Waziri Mkuu, sikumsikia akisema kama usemavyo wewe kuwa kaagizwa na Rais. Weka ushahidi kama unasema kweli. Mimi nimeweka ushahidi huko juu kuwa kasema katumwa na Waziri Mkuu.

Ukishindwa kuweka ushahidi basi wewe ni fataani na mzandik.
 
The king.

Wee kenge ujiitae ati "aminiusiamni"!

Kwa huo uharo wako wa vitisho vya kitoto hapa jamvini...lazim utakua ni kenge wa Kihaya tu weye,au!?

Weye ndo watakiwa uwe na adab unapozungumza kwenye public forums kama hizi! Kwani weye unafahamu yakua humu ndani unazungumza na watu wa aina gani!?

Sasa, hata kama labda ndo kweli, kumbe weye mchovu wa maisha unafanzia hicho kibarua pale tume ya mawasiliano,kama ulivyodai,sio!? Daah! Sasa weye kupewa desk pale...ndo kweli vitisho vyoote vile!? Duuh! Yaani wajifanza weye ati ndo mouth piece ya serikali,sio!?

Katafute misukule wanzio ucheze nao mdako!

Acha kabisa kutishia nyau hapa jamvini!

Sisi wangine haya majambo tusemayo humu...huwa tunazungumza na viongozi wako tena wenye nyadhifa nyeti za juu...na wanatufahamu na kuhishimu fikra/mitazamo yetu! Ebo! Kenge mweusi wee!

Ahsanta sana!
 
Jana akitoa ufafanuzi na utetezi wake., Mzee Lukuvi alinishangaza alupomsifia sana Augustin Mrema kuwa Ni Mpinzani wa kweli, na pia atashughulikia Malipo yake...Kwa mie binafsi nilitafsiri kama Ni Rushwa,Ila Nipo tayari kusahihishwa na pia Ni kwamba hawakuwa tayari kumlipa hadi awasaidie katika kutetea serikali mbili, na zaidi Ni kuonesha Ni mtumwa wao watakae mtajirisha muda mfupi ujao.... HERI MASKINI HURU KULIKO MTUMWA TAJIRI

Hii ni zaidi ya Rushwa kwani rushwa inapotolewa huwa unaepokea una heshima yako ,lakini hili la Mrema ni masimbulizi kwa haki yake mwenyewe!
 
Kwa hiyo Lukuvi nae CHADEMA? Mkuu CHADEMA ilianzishwa kama sikosei mwaka 1992 tuweke sawa huu mfumo kristo unaouota kuwa unaongoza hapa Tanzania 1, umeanza baada ya kuanzishwa chadema? 2, na chadema wamewahi kuongozwa na Nyerere mwanzilishi wa mfumo kristu? Huoni kwamba yours is truly a Mirembe case? Hah hah hahaa,your reasoning is typical of boko haram,pole sana
Ahsanta I find it funny, when if I say all Chadema's are spreading Islamophobia and they harbour deep hatred against Muslims/Islam...then automatically makes me "mdini"!? Daah! Teeh! Teeh! Teeh!

Bottom line is, all Chademas are Nazis
 
Hebu toa hitimisho kwa haya uliyoyaandika. Usisahau kwamba alitumwa na waziri mkuu wa serikali ya CCM.

Hitimisho lipi tena zaidi ya hilo kwenye sentensi ya mwisho?


Hakika, ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
 
Kweli confused mind is a lost mind. CONFUSED LOT

I'm not remotely embarrassed by my post/comments!

People who say there's no Islamophobia and/or MfumoKristo in general, or the hatred of President Kikwete in specific...are either ignorant,in denial,self-hate Muslims/s,or myopic-minded and blind to the truth/reality!

Either that, or they think everyone else they feed that bullshit to is!? Duuh!

Ahsanta sana!
 
Dada ni wewe umepost au?sasa naona umeanza kuelewa ni kwa nini tupo hapa,naunga mkono hoja.

Naona unashndwa kuelewa kuwa CCM kuna watu ambao hawafai kabisa kuwepo na kuendesha nchi kama alivyokuwa hafai Nyerere kuendesha nchi.

CCM ni chama na chama kina wanachama na wengine huwa wabovu kama huyu Lukuvi na Mizengo Peter Pinda, no doubt about it. Lakini pia humo humo kwenye chama wapo wazuri sana ukilinganisha na chama kingine chochote kile hapa Tanzania.

Unafikiri unaweza kuwa na mawazo sawa na kila binaadam duniani? hata mkeo nyumbani na wanao mnatofautiana mawazo. Au hilo nalo ni gumu kwako kuelewa?
 
Mkuu,

Naona wajitahidi mno kuleta nakshi na makhanatha ya kitoto!

Umenikosoa hicho kiingereza...sasa unangia kwenye Kiswahili,sio!? Daah! Teeh! Teeh! Teeh!

Mie si msomi asilan, kukushinda weye!?

Lakini nakuhakikishia yakua huwezi kuzungumza amma kukijua kiingereza nishughulikacho nacho mie!

Walaa simo hapa kwa showing off na majikwazo!

Lakini kama walazimisha mno...basi waonaje ufungue thread nyangine khalaf tupeane challenge ya one on one, kukhusu hiyo lugha "yako"!? Teeh! Teeh! Teeh!

Weye changua topic ya aina yoyote unayoifahamu kiundani kichwani mwako,Ok!?

Ahsanta.

Mimi si saizi yako. Na hii ndio mara ya mwisho kukujibu.

Amandla.....
 
Mimi sikujua kuwa ulishuhudia uja uzito wa Bikira Maria. Mimi kwa sababu sikuwepo wakati ule nimefanya utafiti kidogo. Tamaduni za wayahudi wa wakati ule ziliruhusu msichana kuchumbiwa (betrothal) akiwa na miaka 12 na nusu. Msichana aliendelea kukaa na wazazi wake kwa kipindi cha takriban mwaka mmoja kabla ya harusi kufanyika na yeye kuhamia kwa mume wake. Wakati wa uchumba palikuwa hakuna kujaaminiana. Bikira Maria alipata uja uzito wa Yesu akiwa mchumba wa Joseph na sio Mke wake. Angekuwa tayari keshaolewa, Joseph asingetahayari na kutaka kumuacha. Na hata Maria asingeshangaa pale binamu yake Elizabeth alipomuambia atajifungua Messiah. Joseph alikubali kumuoa baada tu ya kutembelewa na malaika. kwa sababu hizi inakisiwa kuwa Bikira Maria alikuwa na umri zaidi ya miaka 13 ( 12 na nusu jumlisha miezi 9) alipomzaa Yesu.



Kweli wangekuwa wanaishi miaka hii, Joseph asingeruhusiwa kumuoa Maria na wazazi wa Maria wangechukuliwa hatua kali. Lakini ingekuwa wakati huu, DNA ya Yesu ingepimwa na kukutwa si ya Joseph na hivyo kumuondelea kesi ya "statutory rape".

Vile vile kwa Mtume Mohamed ambae alimchumbia Aisha akiwa na miaka 6-7 na kumuingia (consummate) akiwa na miaka 9. Huyu ana tofauti gani na Joseph? Si afadhali Joseph ambae alimuoa Maria lakini hakutembea nae kuliko huyu mwingine ambae bila shaka alitembea na mtoto wa miaka 9.

Mimi naishia hapa na sitaendeleza hii mada maana ishajadiliwa sana na haikuishia pazuri.

Amandla...

Ulipo anza kujadili hili suala unatakiwa kulimaliza! Na sio kusema utaishia hapa!

Suala la ujauzito wa Maria na kuolewa kwake akiwa na umri wa chini ya miaka 12 sijautoa kichwani kwangu! Wala sikuwepo wakati mzee Joseph wa umri wa miaka 90 akifunga ndoa na maria!
Huu umerekodiwa na WAKATOLIKI WENYEWE!

Ingia hapa kwa maelezo zaidi!

http://www.newadvent.org/cathen/08504a.htm

Na kuhusu suala la Mtume Muhammad kumposa mkewe akiwa na miaka 6 na kumuoa akiwa na miaka 9 Hakuna ktk kitabu chochote wala ushahidi wwt kuwa Tendo la ndoa lilifanyika!

Umeweza kuchunguza utamaduni wa kiyahudi wa wazee kuoa watoto wa miaka 12!
Lkn hakuna jitihada yyt uliofanya ya kujifunza utamaduni wa waarabu wakati huo!
Nimekutolea mfano wa Sheria ZETU ZA SASA kwa hawa wahusika wawili na nimefanya hivyo kukuonyesha kuwa KM ni kuvunja sheria basi Leo Joseph angekuwa keko zamani sana!
Na kwa Muhammad kwa sababu hakuna ushahidi wwt wa uvunjaji wa sheria Sheria isinge muhukumu llt!

Nyie siku zote hufanya haraka na kum accuse Mtume Muhammada kwa kuoa msichana wa miaka 9!
Lkn hapo hapo mnasahau kuwa Joseph Alioa mtoto wa miaka 12 NA ALIKUWA MJAMZITO!

Sasa hata km Itapimwa hio DNA na ikagunfulika Sio ya Joseph!
We ulitegemea Serikali zetu hizi zingekubali kuwa huyo binti hakufanya Tendo la NDOA!?

Msiwe mnapenda kutoa kashfa za kubumba juu ya waislamu wakati huo huo mnajisahau kuwa km ni uvunjaji wa Sheria basi Mnao nyie! Tena KWA USHAHIDI!
 
Kabla ya kutoka bungeni baadhi ya wabunge wa UKAWA jana, Professor Lipumba aliweka wazi aliyoyaongea kanisani waziri mmoja wa Serikali ya Muungano. Lipumba alisema kuna waziri kaenda kuhutubia kanisani kuwa "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam".

Jana nikauliza ni waziri gani huyo? sikupata jibu humu JF.

Lakini kwa kuwa Mungu hamfichi mnafik, huyo waziri kajitokeza mwenyewe bungeni leo hii na kwanza kukiri kuwa katumwa na Waziri Mkuu na kusema kuwa hiyo ni hofu, "phobia" yake na akaendelea kusema "hakuna yeyote wa kunizuia hofu yangu hii".

Akazunguka wee na maneno lakini akashindwa kukisema kile alichokieleza Lipumba.

Kwa uchache, Lukuvi ameudhihirishia umma kuwa ana "Islamophobia" au hofu ya Uislaam.

Hapa kosa ni la Jakaya Mrisho Kikwete, aliyemteua kushika nafasi hiyo na ndio pekee anayeweza "kumuadabisha". Kwavile Rais wetu ni "dhaifu" basi sisi wananchi yatupasa tuchukue hatua.


 
Mkuu,

Naona wajitahidi mno kuleta nakshi na makhanatha ya kitoto!

Umenikosoa hicho kiingereza...sasa unangia kwenye Kiswahili,sio!? Daah! Teeh! Teeh! Teeh!

Mie si msomi asilan, kukushinda weye!?

Lakini nakuhakikishia yakua huwezi kuzungumza amma kukijua kiingereza nishughulikacho nacho mie!

Walaa simo hapa kwa showing off na majikwazo!

Lakini kama walazimisha mno...basi waonaje ufungue thread nyangine khalaf tupeane challenge ya one on one, kukhusu hiyo lugha "yako"!? Teeh! Teeh! Teeh!

Weye changua topic ya aina yoyote unayoifahamu kiundani kichwani mwako,Ok!?

Ahsanta.

Mkuu naona unamfundisha huyo ajiitae Fundi Mchundo namna ya kujadili na waungwana!

We unajenga hoja na kuchangia kwenye uzi!
Ye kabaki na mipasho na rusha roho!

Mkuu wangu gombesugu misukule kama hii wala isikushughulishe.

Huyo jamaa kwa angefahamu maana ya MCHUNDO kwa lugha ya kina matumbo! Basi asingekubali kujiita hivyo!

Achana na hawa vikojozi!
Endelea kutupa elimu mkuu!
Walisema waungwana "kwenye msafara wa mamba hata kenge huwa wamo!

ahsanta.
 
Last edited by a moderator:
Napata whatsapp.msga toka kwa watu na hususan waislam.ambao wanasema Lukuvi kawatukana na sasa wanauliza maswali kuhusu career ya waiziri Lukuvi kuanIa shule...na.kazi Ote alizopitia na maamuzi yote ya muhim aliyopitia ili kujua ana wa treat vipi waislam.


CCM wasipokuwa makini hili jambo litawatokea puani na sidhani kama Kinana atakuwa tayari kuongea na kutuliza hii hali. Je CCM wako tayari kumtosa Lukuvi? Ana umuhim gani ndani ya chama na serikali hadi asitoswe?
 
Kinana huwa nampenda hata katika ziara zake huwezi kumsikia akiropoka yeye anazungumzia matatizo ya Watanzania
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom