Ulipo anza kujadili hili suala unatakiwa kulimaliza! Na sio kusema utaishia hapa!
Suala la ujauzito wa Maria na kuolewa kwake akiwa na umri wa chini ya miaka 12 sijautoa kichwani kwangu! Wala sikuwepo wakati mzee Joseph wa umri wa miaka 90 akifunga ndoa na maria!
Huu umerekodiwa na WAKATOLIKI WENYEWE!
Ingia hapa kwa maelezo zaidi!
CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: St. Joseph
Na kuhusu suala la Mtume Muhammad kumposa mkewe akiwa na miaka 6 na kumuoa akiwa na miaka 9 Hakuna ktk kitabu chochote wala ushahidi wwt kuwa Tendo la ndoa lilifanyika!
Umeweza kuchunguza utamaduni wa kiyahudi wa wazee kuoa watoto wa miaka 12!
Lkn hakuna jitihada yyt uliofanya ya kujifunza utamaduni wa waarabu wakati huo!
Nimekutolea mfano wa Sheria ZETU ZA SASA kwa hawa wahusika wawili na nimefanya hivyo kukuonyesha kuwa KM ni kuvunja sheria basi Leo Joseph angekuwa keko zamani sana!
Na kwa Muhammad kwa sababu hakuna ushahidi wwt wa uvunjaji wa sheria Sheria isinge muhukumu llt!
Nyie siku zote hufanya haraka na kum accuse Mtume Muhammada kwa kuoa msichana wa miaka 9!
Lkn hapo hapo mnasahau kuwa Joseph Alioa mtoto wa miaka 12 NA ALIKUWA MJAMZITO!
Sasa hata km Itapimwa hio DNA na ikagunfulika Sio ya Joseph!
We ulitegemea Serikali zetu hizi zingekubali kuwa huyo binti hakufanya Tendo la NDOA!?
Msiwe mnapenda kutoa kashfa za kubumba juu ya waislamu wakati huo huo mnajisahau kuwa km ni uvunjaji wa Sheria basi Mnao nyie! Tena KWA USHAHIDI!