Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Yaani hata gazeti la udaku la Mbowe limeyaandika na limebandikwa humu wewe hujaona?
nipe link , kuandikwa gazetini bado siyo ushahidi wa lukuvi. (naomba audio kama ya Profesa Lipumba hapo juu)

Halafu kwa pamoja FaizaFoxy kama tunapinga ubaguzi tumuunge mkono Prof. Lipumba kwa kauli yake hii "TUMECHOKA UBAGUZI, HATUWEZI KUWA SEHEMU YA KUNDI LA INTARAHAMWE LINALOHAMASISHA UBAGUZI NDANI YA TANZANIA"
TUSEME NO KWA CCM.
 
Last edited by a moderator:
BAADA YA KUPATA UHURU MWAKA 1961, MWALIMU NYERERE ALIGUNDUA NGUVU KUBWA YA WAISLAM KATIKA KUDAI HAKI BAADA YA KUONA MCHANGO WAO MKUBWA ULIOFANIKISHA KUPATIKANA UHURU.
AKAANZISHA MPANGO MAALUM WA KUSIMIKA MFUMO KATOLIKI NDANI YA SERIKALI YAKE NA KUHAKIKISHA ANADHOOFISHA JITIHADA ZOTE ZA WAISLAAM KUJIIMARISHA NA KUJILETEA MAENDELEO.
ALIWAFUNGA, KUWAWEKA VIZUIZINI, NA KUWAFUKUZA VIONGOZI WENGI SANA WA WAISLAAM.
KATIKA MUENDELEZO HUO WA KUHAKIKISHA ANAWADHIBITI WAISLAAM KWA UJUMLA WAKE, AKAANZISHA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR MWAKA 1964 ILI KUHAKIKISHA UISLAAM HAUENDELEI KWA NJIA YEYOTE HATA KUPITIA ZANZIBAR.
HAKUISHIA HAPO, ALIPOONA KUNA JUMUIYA YA WAISLAAM YENYE VIONGOZI WAZURI NA WENYE MAARIFA YA KUWALETEA WAISLAAM MAENDELEO(EAST AFRICAN MUSLIM WELFARE SOCIETY) ALIIVUNJA NA KUANZISHA BAKWATA

Katika Mahubiri ya SHEIKH Ilunga kati ya moja ya dvd zake ameeleza bila woga kabisa kuwa BAKWATA iliundwa 1968 mjini IRINGA,kwenye UKUMBI WA SAPUNA CINEMA IRINGA na USALAMA WA TAIFA waliopata mafunzo MOSADI israeli.

Mwaka huo MWL.JULIUS NYERERE ndie alie agiza kuvunjwa kwa EAST AFRICAN MUSLIMS WELFARE na kuwakusanya USALAMA WA TAIFA na kuwapeleka IRINGA kuunda BAKWATA wakiongozwa na SHUSHU RASHIDI KAYUGWA pamoja na wenzake.Kwa maana hiyo BAKWATA haikuundwa na WAISLAMU wenyewe bali Iliundwa na USALAMA WA TAIFA WAISLAMU.

Hao ndio walokuwa waislamu kwanza kipindi cha nyerere ambao aliwateua na kuwapeleka ISRAELI kusomea ushushu na ndio waliouunda BAKWATA.

....BAKWATA NI YA NANI.........???????

Kimsingi hapa ndio chimbuko la matatizo yote ya BAKWATA NA WAISLAMU.
MHESHIMIWA LUKUVI ANA HAKI YA KUWA NA KHOFU, KWANI , KUFUFUA TANGANYIKA KUTABOMOA MFUMO KATOLIKI ULIOIMARIKA HAPA TANZANIA, NA ULIOTHIBITISHWA KWENYE KITABU CHA DR. SIVALON CHA 'KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA'
 
Mwalimu alikua na mapungufu yake hakuwa malaika hakuwa mungu alikua Dictator nashangaa kuona watu wanamshambulia Lissu. Huu Muungani sidhani kama utaendelea kwa amani.
 
Wewe usiwe kasuku masheikh toka mombasa walikuw a wakihubiri kuwa tanzania waislam wana ya nyanyaswa ili hali uhuru kwa waislam nchini kenya ulikuwa mdogo kabisa.kumbuka waislam kenya wainza kushereheke eid katikati ya miaka ya themanini.ruanda na burundu mwishoni mwa miaka ya tisini.nyerere alitafisha shule ali watoto wa dini zote wasome wakati huo waislam hawakuwa hata na shule moja .nyerere alianzisha bakwata ili iwasaidie waislamu kinyume chake waisla hao hao wakaifilisi.acha kusema uongo unatenda dhambi
 
mkuu nilikuwa sizijui hizi habari. asante sana kwa shule. kumbe bakwata ni changa la macho kwa waislam. kumbe ndo maana kila siku ni vigumu kuitofautisha bakwata na ccm.
 
sikubaliani na wewe hata kidogo, eti bakwata ilianzishwa ili iwasaidie waislam. sio kweli. ndo maana wakati makanisa yako bize kujenga mashule bakwata chini ya mufti iko bize kuisaidia ccm. kwa kifupi bakwata ni jumuia za ccm kama zilivyo uvccm, wazazi-bulembo na wanawake-sofia. jumuia hasa halisi iliyokuwa na malengo ya kuwaletea waislam maendeleo ni ile EAMWS iliyovunjwa na nyerere, maana ilikuwa na malengo mengi ikiwa ni pamoja na kujenga chuo kikuu cha waislam cha kwanza East Afrika pale chan'gombe. opposite na uwanja wa taifa.
na kwa kukupa ushahidi baada ya EAMWS kuvunjwa kile chuo kikuu hakijajengwa mpaka leo, na juzi hapa bakwata waliuza hilo eneo kwa akina manji na pale waislam walipokomaa akiwemo PONDA bakwata wakadai eti walienda kupewa pori la eka 40 huko mwanaromango. mkuu tunajua unamtukuza nyerere lakini kama hujui kitu ni bora ukakaa kimya.

Wewe usiwe kasuku masheikh toka mombasa walikuw a wakihubiri kuwa tanzania waislam wana ya nyanyaswa ili hali uhuru kwa waislam nchini kenya ulikuwa mdogo kabisa.kumbuka waislam kenya wainza kushereheke eid katikati ya miaka ya themanini.ruanda na burundu mwishoni mwa miaka ya tisini.nyerere alitafisha shule ali watoto wa dini zote wasome wakati huo waislam hawakuwa hata na shule moja .nyerere alianzisha bakwata ili iwasaidie waislamu kinyume chake waisla hao hao wakaifilisi.acha kusema uongo unatenda dhambi
 
Wewe usiwe kasuku masheikh toka mombasa walikuw a wakihubiri kuwa tanzania waislam wana ya nyanyaswa ili hali uhuru kwa waislam nchini kenya ulikuwa mdogo kabisa.kumbuka waislam kenya wainza kushereheke eid katikati ya miaka ya themanini.ruanda na burundu mwishoni mwa miaka ya tisini.nyerere alitafisha shule ali watoto wa dini zote wasome wakati huo waislam hawakuwa hata na shule moja .nyerere alianzisha bakwata ili iwasaidie waislamu kinyume chake waisla hao hao wakaifilisi.acha kusema uongo unatenda dhambi
hata huo uwiano wa shule uko wapi? nyerere mpaka anaondoka madarakani wilaya ya musoma kulikuwa na shule za sekondari 14, lakini wilaya ya mafia haikuwa na shule ya sekondari hata moja. mkuu yapo mengi, msituone tuko kinya, ni busara tu maana haya yalishapita, ndo maana tunaganga yajayo.
 
Hii ndio fani na kazi ya wafuasi wa marehem mudi,kulalamika tuuuu!kama mwanamke aliepewa mimba kisha akatelekezwa na huyo mwanaume..

Hapo kuna uhusiano gani kati ya Nyerere kuanzisha bakwata na lukuvi kuifananisha kafu na uamsho?
 
Nyerere hakujenga shule Mwinyi hakujenga Shule Mkapa aliongeza madarssa shule za msingi Kikwete kajenga shule kila kata.Nyerere hakuwa mbali sana na wakoloni weupe ila yeye alikuwa mkoloni mwenye ranfi yetu so Nyerere has done NOTHING. Coz kama amani na upendo tulikuwa tunao toka long so hata mwimgereza tuliishi nae bila taabu sana so Nyerere hakuwa na cha ziada
 
Very interesting in deed, mfumo Katoliki uliowa wawezesha Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Jakaya Mrisho Kikwete kuwa marais wa JMT! Serikali iliwaundia Waislamu BAKWATA ili kuwadhibiti. Sasa Waislamu wanaomba kuundiwa mahakama ya kadhi na serikali, very funny in deed!
 
ndugu hawa watu nisme kuwa hawajielewi!, ukiangalia utawaona walivyo bize kuiunga mkono selikali ya ccm hiyo hiyo wanayo ituhumu kuwa ni ya kikristo! Ajabu kweli! Maneno ya lukuvi yangetamkwa na wapinzani ungeona utitiri wa matamko na maandamano ya kulaani kauli ile, lakini sasa hivi wapo wapi? Kimsingi hawajielewi au unafiki???
 
Nyerere hakujenga shule Mwinyi hakujenga Shule Mkapa aliongeza madarssa shule za msingi Kikwete kajenga shule kila kata.Nyerere hakuwa mbali sana na wakoloni weupe ila yeye alikuwa mkoloni mwenye ranfi yetu so Nyerere has done NOTHING. Coz kama amani na upendo tulikuwa tunao toka long so hata mwimgereza tuliishi nae bila taabu sana so Nyerere hakuwa na cha ziada

Ukiona mtu anagombana na marehemu unachotakiwa kufahamu mtu huyo ana matatizo ya akili
 
Hivi huyu Sheikh Ilunga si ndiye.aliyedai kuwa maaskofu, mapadre na makasisi wachinjwe? Mtu mzima na akili zake anaweza kum-quote huyu Ilunga kama reference?
 
TO. MR. SAMWEL SITTA & OTHER LEADERS IN TANZANIA
conflict is a fact of life; conflict has value in organizations because it: 1. spotlights problems that require attention 2. forces clarification 3. can invigorate leaders to strive for permanent solutions 4. directs the efforts or the organization toward finding solutions 5. counteract lethargy that can overtake organizations 6. challenges old habits and restores dynamic creativity that existed during the organization's formative stages 7.stimulates interest and curiosity.
conflict is the gadfly of thought it stirs us to observation and memory. it instigates to invention. it shock us out of sheep like passivity, and set us at noting and contriving....Conflict is a sine qua non of reflection and ingenuity.
sources of conflict; conflicts occur in every part of life. but why? the six common are; 1. Perceptual differences. 2. Priority of value differences. 3. Different expectations or role pressures. 4. Divergent goals. 5. Self-esteem or status threat. 6. Personality clashes.
skills for resolving conflict; In any conflict between two parties, the approach and style for resolving conflict depends upon; assertiveness;. when important goals are at stake, leaders need to show assertive actions in pursuing the organization's view, needs, and goals. if the results have little importance, effective leaders wisely withhold assertive action.
responsiveness;. how highly leaders (or groups) value the views, needs, and goals of the other party and the keeping of a good relationship with them, determines the level of response. leaders need expertise in these two skills (assertiveness and responsiveness) both in resolving conflict situations and in dealing with people in general.
To summarize; Through non-assertive (submissive) behavior people usually hurt themselves by their own self-denial. If they have an overly developed ''polite'' response, they lose the right to act as they would like to, are unable to express their true feelings, and usually do not achieve their goals.
Through aggressive behavior, people usually achieve their goals by hurting or infringing on the rights of others. This results in vengeance and hatred from others and makes them feel anxious.
Though assertive behavior, people usually achieve their goals without hurting others' rights and feelings, or foregoing the expressing of their own opinions. Assertive behavior enhances self and gives honest expressions of feelings and viewpoints.
Self-assertion leads to;
i) Increased self- respect
ii) Increased respect others
iii) More control over life
iv) More influence on external events
v) Greater freedom from pressures or others' opinions
vi) More flexibility in interactions with others
vii) More inter-personal power
viii) Enhanced inter-personal skills and less manipulation by others.
 
Wewe usiwe kasuku masheikh toka mombasa walikuw a wakihubiri kuwa tanzania waislam wana ya nyanyaswa ili hali uhuru kwa waislam nchini kenya ulikuwa mdogo kabisa.kumbuka waislam kenya wainza kushereheke eid katikati ya miaka ya themanini.ruanda na burundu mwishoni mwa miaka ya tisini.nyerere alitafisha shule ali watoto wa dini zote wasome wakati huo waislam hawakuwa hata na shule moja .nyerere alianzisha bakwata ili iwasaidie waislamu kinyume chake waisla hao hao wakaifilisi.acha kusema uongo unatenda dhambi

Ni Kweli Na Huo Ndo Ukweli Wenyewe Mdau,matatizo Ya Waislam Ni Ya Waislam Wenyewe,hebu Niwakumbushe Jambo Moja,waliwahi Kumiliki Eneo Kubwa Sana Kama Sijakosea Chang'ombe La Kutosha Kujenga Hata Chuo Kikuu,wakamuuzia Mwislam Mwenzao Yusuf Manji Kwa Bei Ya Sawa Na Bure Ya Sh,mil Sabini,bado Majengo Ya Tanesco Ambayo Ni Mali Ya Umma Pale Moro Mkapa Akawapa Wajenge Chuo Kikuu Wakristo Wamepewa Jengo Gani La Bure Na Ser Ili Nao Wajenge Chuo Kikuu?
 
Hii ndio fani na kazi ya wafuasi wa marehem mudi,kulalamika tuuuu!kama mwanamke aliepewa mimba kisha akatelekezwa na huyo mwanaume..

Hapo kuna uhusiano gani kati ya Nyerere kuanzisha bakwata na lukuvi kuifananisha kafu na uamsho?

Wanajamvi,
Kwa yeyote atakae kujua kuhusu historia ya BAKWATA namuomba aingie hapa: www kisha aandike mohammedsaid
aweke dot kisha aweke com.

(Iandikwe kama neno moja nimeandika kwa staili hii kwa kuwa JF haisapoti anuani za blog nyingine)

Katika webiste hii nimeweka makala nyingi ambazo nimepata kuandika kuhusu BAKWATA nyingine ni za kusikiliza
(audio)na nyingina ni za kuangali (video).
 
Nyerere hatutoweza kumsamehe mpaka tone letu la mwisho. Mungu amzidishie adhabu mara dufu kwa dhulma aliyowafanyia Watanzania na hasa waislamu.
 
Ifike Mahala Watu Wajifunze Kusema Kweli,nenda Alahamain Ni Chuo Ambacho Kimezungukwa Na Flemu Nyingi Sana Na Kinaingiza Hela Nyingi Sana,lakini Unakuta Waalim Hawajalipwa Mishahara Hata Miezi Mitatu,majengo Mengine Yamechakaa Rangi Sijui Kwa Sasa Kama Wameyakarabati,sasa Hayo Matatizo Ni Yenu Wenyewe Hayakuletwa Wala Kusababishwa Na Nyerere.Kama Mnasema Nyerere Alisimika Usalama Wake Wa Taifa Tangu Kipindi Hicho Hadi Sasa Hawajafa?Na Kwanini Mwendelee Kuwachagua?Si Muwaondoe Msimike Wa Kwenu?Maendeleo Hayaji Bila Elimu Dunia.Mmejikita Sana Kusomesha Watoto Madarasa Kuliko Elimu Dunia, Hata Maimamu Mnaowaweka Kuwa Viongozi Wa Misikiti Wengi Wao Elimu Dunia Ni Std 7 Au Fom 4,matokeo Yake Wakajikuta Wanauza Eneo Kubwa Kwa Sh,mil Sabini Za Yusuph Manji, Sasa Katika Hali Kama Hy,je unategemea Uislam Ustawi Vzr?Labda Kwa Miujiza!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom