Acheni kuweweseka, Ukweli ndio huo!
Upi huo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kuweweseka, Ukweli ndio huo!
Katoa utetezi wa kipu mbavu sana. Mtu mwenye dhamana ya uwaziri kama yeye hapaswi kutoa kauli tata za mapinduzi ya kijeshi.Lukuvi leo nimemdharau sana
JK anamwamini kuliko Pinda.
..................very shameful Lukuvi, kamalizia na kupigania maslahi ya Lytonga Mrema kisa kabakia mjengoni.
Ww ni lipi hasa unaona hakupaswa kulisema kati ya yote aliyoyaongea . ?
Acheni kuweweseka, Ukweli ndio huo!
Masikini Lukuvi na siasa zao za divide and rule. Wakienda misikitini wanaongea hiv wakirudi makanisani wanageuza maneno. Pa1 na yote hayo siungi mkono uamuzi wa kususa majadiliano kama ni matusi wote walikuwa wanayatoa.