tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Mwalimu wa UPE ni UPE tu hata umfanyeje. You can take a man (Lukuvi) out of the bush, but you can not take a bush out of him (Lukuvi). Huyu Mwalimu wa UPE ni mji.nga sana. Wajumbe wa BMK wana kinga ya kisheria kwa jambo lolote lile walisemalo wakiwa ndani ya BMK. Lukuvi hawezi kushitakiwa kwa maneno ya uchochezi aliyoyasema akiwa ndani ya BMK. But on the other hand Lukuvi anaweza kushitakiwa kwa maneno ya uchochezi aliyoyasema akiwa kanisani (i.e nje ya BMK). In deed kwa nchi inayofuata misingi ya utawala bora na sheria, maneno ya Lukuvi aliyoyasema akiwa kanisani kwamba kama Watanzania tutakubari serikali 3, basi Jeshi litachukua nchi ni UHAINI. Lukuvi alikuwa ana incite jeshi liasi i.e Coupe de'tat.
na zi hilo tu, pia ameikashifu dini ya kiislamu akiwa ndani ya kanisa. huu ni uchochezi wa kidini unaoweza kuchochea mauaji ya kimbali kwa sababu tu ya -------- mmoja.