Lulu afungukia mahusiano yake na DJ Majay

Halafu sijui nimekuwaje? Takribani mwezi sasa nimeacha umbea.
Ila yote haya nayajua ndio maana niko kimya,sioni jipya.
hahaha ukiona hivyo ujue umeukinai ubuyu wa rangi,naona sasa urudi kwenye ubuyu wa asili ulee wa idodomya
 
Kweli wanaume tunatofautiana....sasa Lulu ndio mwanamke wa kukuchanganya mpaka umuache mama watoto wako...Maana Mimi simuonagi uzuri wake ni wa kawaida mno,Sema labda spotyright ndio watu wanamfatia..
Mara mia nidate Kwa Snura alinichezee chura kitandani.
 
Hamisa mbona ndio mkali zaidi??lulu Hanna kitu hapo..hawata last long hata akimuoa
 




anameza?! [emoji85] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Mbona sifa zote ni nzuri mbayambaya hamnaa?
 
Ila hamisa nae alimpora mtu tena walikuwa wanafahamiana sana tu,

Muosha huoshwa.
hapo alipo anatamani ajimader... yule aliyeibiwa kama ana mdomo mchafu hamisa atakuwa anakula makavu live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…