Lulu afungukia mahusiano yake na DJ Majay

Lulu afungukia mahusiano yake na DJ Majay

Halafu sijui nimekuwaje? Takribani mwezi sasa nimeacha umbea.
Ila yote haya nayajua ndio maana niko kimya,sioni jipya.
hahaha ukiona hivyo ujue umeukinai ubuyu wa rangi,naona sasa urudi kwenye ubuyu wa asili ulee wa idodomya
 
2ca0d104719e108bc81c33e7eb3d8db3.jpg
 
Kweli wanaume tunatofautiana....sasa Lulu ndio mwanamke wa kukuchanganya mpaka umuache mama watoto wako...Maana Mimi simuonagi uzuri wake ni wa kawaida mno,Sema labda spotyright ndio watu wanamfatia..
Mara mia nidate Kwa Snura alinichezee chura kitandani.
 
Hamisa mbona ndio mkali zaidi??lulu Hanna kitu hapo..hawata last long hata akimuoa
 
93d6aab387dd9556cf45fafa895366a3.jpg




anameza?! [emoji85] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Mbona sifa zote ni nzuri mbayambaya hamnaa?
Swadakta Kabisa Nyota Yetu Ni KONDOO au PUNDA Kwa Lugha Ya KINAJIMU Ni Ram Na Tunaitwa RAM RIDERS. Sifa Zetu Kubwa Ni:

  1. WACHESHI.
  2. WACHANGAMFU.
  3. WAKARIMU.
  4. WANAPENDA MNO KUJICHANGANYA.
  5. WANALINDWA SANA NA MWENYEZI MUNGU.
  6. WAPAMBANAJI WAZURI.
  7. WAKILITAKA LAO LAZIMA LITAKUWA TU.
  8. WANA AKILI KUBWA ZILIZOTUKUKA.
  9. WANA NYOTA YA KUKUBALIKA NA BINADAMU YOYOTE.
  10. WANA MVUTO WA ASILI.
  11. WANA NYOTA YA UONGOZI NA UTAWALA NA SIYO MAFISADI.
  12. HAWAJUI KUNUNA WAO 24/7 MIMENO NJE TU.
  13. NDIYO WATU WANAOONGOZA KWA KUFANYA MAHABA MAZURI KITANDANI.
  14. NI WABABE NA WATEMI KIASILI.
  15. HUWA HAWAFI KIZEMBE KIZEMBE NA WAKIFA NCHI HUTIKISIKA NA PENGO LAO HALIZIBIKI.
  16. UKIPANGA KUMUUA UNAANZA KUFA WEWE KWANZA.
  17. HAWAROGEKI NA MGANGA AU MCHAWI AU JINI LOLOTE.
  18. WANA ASILI YA UTAJIRI NA 99.99% YA NYOTA YETU NI MATAJIRI WALIOTUKUKA.
  19. SIYO WAONGO NA HUWA NI WAKWELI KWA YOYOTE WAYASEMAYO.
  20. HUWA NI WAWAZI SANA NA HAWATUNZI HASIRA UKIMZINGUA NAE ANAKUZINGUA ZAIDI.
  21. KWA JINSI WANAVYOPENDWA NA MUNGU WAKITAKA KUFA MUNGU HUWAJULISHA KWANZA.
  22. HAWADHULUMIWI NA UKIMZULUMU TU UNAKUFA AU UNAPATWA NA BALAA.
  23. PUNDA au KONDOO WANAPENDWA MNO NA MODERATORS WOTE WA JAMII FORUMS.
  24. UKIGOMBANA NAE TU JUA HATA KWA MWENYEZI MUNGU HUTAFIKA KWANI WANA UPAKO ULIOTUKUKA.
  25. WATU WA PUNDA au KONDOO NDIYO WANAOONGOZA KULA HELA ZA KUBETI a.k.a MKEKA MICHEZONI.
  26. NDIYO WANAONGOZA KWA KUTUMIWA PM NYINGI NA KUPATA " Likes " NYINGI JAMII FORUMS.
  27. UKIBISHANA NAE TU HUCHUKUI DAKIKA HATA MOJA au MBILI UNAKULA BAN JAMII FORUMS.
  28. WENYE NYOTA YA PUNDA au KONDOO HUOGOPWA NA SIMBA, CHUI, NYATI, KIFARU, MAMBA NA CHATU.
  29. WENYE NYOTA YA PUNDA au KONDOO NDIYO PEKEE AMBAO TCRA HAWATAWAZIMIA SIMU JUNE MOSI 2016.
  30. WENYE NYOTA YA PUNDA au KONDOO HUSAFIRI MNO ULAYA, ASIA NA HATA MBINGUNI NA KURUDI BONGO.
Zipo Kama 360 Hivi Ila Kwa Leo Naomba Niwaacheni Kwanza Na Hizi Ishirini ( 30 ) Tu MTIRIRIKE Nazo. Hata Hivyo Nimejaribu KUTAFUTA KILA MAHALI Hadi KUFANYA UTAFITI Wa SIFA MBAYA ZA WATU WENYE NYOTA YETU NA SIJAZIPATA NA KAMA UTAJIPENDEKEZA KUTAKA KUZIJUA UNAWEZA HATA PASAKA HII USIIONE KWANI NATURALLY TUKO VERY SPESHO KWA MUNGU NA NIMEKUJA KUGUNDUA SABABU KUBWA SISI AKINA PUNDA au KONDOO KUTOKUWA NA SIFA MBAYA NI KWAMBA NI MALAIKA WA MUNGU HAPA DUNIANI.

Nifah Tuzisubirie Tu Birthdays Zetu Ukianza Na Yako Tarehe 23 March Kina MWANAMUME Nafuata Na Yangu Tarehe 27 March Na Hakika Sisi ( Mimi Na Wewe ) Na Wale Wenzetu Wote Walizaliwa Kati Ya March 21 Hadi April 20 Ni RAM RIDERS TULIOTUKUKA.
 
Ila hamisa nae alimpora mtu tena walikuwa wanafahamiana sana tu,

Muosha huoshwa.
hapo alipo anatamani ajimader... yule aliyeibiwa kama ana mdomo mchafu hamisa atakuwa anakula makavu live
 
Back
Top Bottom