Dibo10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,311
- 1,594
hahaha ukiona hivyo ujue umeukinai ubuyu wa rangi,naona sasa urudi kwenye ubuyu wa asili ulee wa idodomyaHalafu sijui nimekuwaje? Takribani mwezi sasa nimeacha umbea.
Ila yote haya nayajua ndio maana niko kimya,sioni jipya.