wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,945
Duh,inaonekana mama ana mpunga mwing na well connected kweny mambo ya entertainmentusingizi wa maj kabla hajatoka kimaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh,inaonekana mama ana mpunga mwing na well connected kweny mambo ya entertainmentusingizi wa maj kabla hajatoka kimaisha
inasemekana eti huyo mama ndo alikuwa wa maj,ndo aliemtoa kimaisha
Hapa zaidi lulu ila kwa Mobeto lulu hamkamati.Tuachane na hizo editing wanazofanya kiuhalisia lulu bila make up si mzuri Kama mobeto.Kwa sababu tumeamua kuwa wambea moja kwa moja......ambao ni sunna......hebu tuangalie nani zaidi.....
Mjini burudani sana......asikwambie mtu......hebu sasa ona hii......
Morning. Umelala sanaNdio naamka,
Goodmorning.
Duh kuna dalili flan hiv hapa
Sure mkuu..Huyu dada uwa naona hana makuu..Sijui nn shidaMkuu kuna watu na viatu
Kabisa mkuu..Hamisa katuliaMkuu Lulu kwa Hamisa anasubiri Sana sema ndo wanaume wwnyewe hawajielewi
One is taller than the other. One is shorter. If we take their height average we get a girl who is neither tall nor short on average. I would go for that one. The one who is neither tall nor short. That being my preference, I would say I am indifferent about these two. Can consume any of them without and satisfaction really. If you were asked to position me in one of your indifference curves with these two being the consumption goods, you would definitely plant me in the lowest available indifference curve.Kwa sababu tumeamua kuwa wambea moja kwa moja......ambao ni sunna......hebu tuangalie nani zaidi.....
Huyu mabeto duuhUnajua hamisa mobeto? Yule mwanamitindo? ndo kapokonywa Huyo Dj majay Na Lulu michael ile hali Hamisa tayari ana. mtoto na uyo dj na very soon walikuwa wafunge pingu za maisha... Hamisa uyu apa
Mwenye macho na aone, mwenye masikio na asikie!Hawa watoto hivi wanajua hali ya afya ya yule mama ambaye majay alikuwa akiwekwa mjini ambaye baadae alikuwa share na tajiri wa majay maisha club? ?? Waangalie picha za Mr nice za zamani na leo kabla hawajaanza kutambiana kwenye mitandao. ..mdudu yupo wasilete masihara
Hivi unaporwaje mpenzi kwa mfano?maana hata mpenzi wako wa sasa alikua na mtu huko nyuma kabla ya wewe,je na wewe umepora?muulize hamisa kampata wapi majay,kwa rafikie gorazuhura...mjini hapa abiria chunga mzigo wako...Ila inauma jamani,
Kuporwa mpenzi na mtu unayemfahamu halafu unaachwa na mtoto mdogo,
Wanaume kwa kweli muwe na huruma.
Hivi unaporwaje mpenzi kwa mfano?maana hata mpenzi wako wa sasa alikua na mtu huko nyuma kabla ya wewe,je na wewe umepora?muulize hamisa kampata wapi majay,kwa rafikie gorazuhura...mjini hapa abiria chunga mzigo wako...
One is taller than the other. One is shorter. If we take their height average we get a girl who is neither tall nor short on average. I would go for that one. The one who is neither tall nor short. That being my preference, I would say I am indifferent about these two. Can consume any of them without and satisfaction really. If you were asked to position me in one of your indifference curves with these two being the consumption goods, you would definitely plant me in the lowest available indifference curve.
Nataka nimupose awe shemejiyo kaka Mshana ila anihakikishie tu jamaa hatakuwa anamurubuni wakumbushie hata kama Mimi ni mchovu kupiga mabao.Mashaullah mtoto paja limeumuka ila kazidiwa ufundi