Lulu afungukia mahusiano yake na DJ Majay

Lulu afungukia mahusiano yake na DJ Majay

Kwa sababu tumeamua kuwa wambea moja kwa moja......ambao ni sunna......hebu tuangalie nani zaidi.....
One is taller than the other. One is shorter. If we take their height average we get a girl who is neither tall nor short on average. I would go for that one. The one who is neither tall nor short. That being my preference, I would say I am indifferent about these two. Can consume any of them without and satisfaction really. If you were asked to position me in one of your indifference curves with these two being the consumption goods, you would definitely plant me in the lowest available indifference curve.
 
Unajua hamisa mobeto? Yule mwanamitindo? ndo kapokonywa Huyo Dj majay Na Lulu michael ile hali Hamisa tayari ana. mtoto na uyo dj na very soon walikuwa wafunge pingu za maisha... Hamisa uyu apa
Huyu mabeto duuh
 
Hawa watoto hivi wanajua hali ya afya ya yule mama ambaye majay alikuwa akiwekwa mjini ambaye baadae alikuwa share na tajiri wa majay maisha club? ?? Waangalie picha za Mr nice za zamani na leo kabla hawajaanza kutambiana kwenye mitandao. ..mdudu yupo wasilete masihara
Mwenye macho na aone, mwenye masikio na asikie!
 
Ila inauma jamani,
Kuporwa mpenzi na mtu unayemfahamu halafu unaachwa na mtoto mdogo,

Wanaume kwa kweli muwe na huruma.
Hivi unaporwaje mpenzi kwa mfano?maana hata mpenzi wako wa sasa alikua na mtu huko nyuma kabla ya wewe,je na wewe umepora?muulize hamisa kampata wapi majay,kwa rafikie gorazuhura...mjini hapa abiria chunga mzigo wako...
 
Nilikua cjui kama na yeye kamchukua kwa shoga ake, ndio nimeambiwa hapo juu,

Mambo juu ya mambo,
Hatari sana.
 
One is taller than the other. One is shorter. If we take their height average we get a girl who is neither tall nor short on average. I would go for that one. The one who is neither tall nor short. That being my preference, I would say I am indifferent about these two. Can consume any of them without and satisfaction really. If you were asked to position me in one of your indifference curves with these two being the consumption goods, you would definitely plant me in the lowest available indifference curve.

Mkuu nina hangover bana......hebu nitafsirie........
 
kweli dunia mapito jama.yaani upaja wote na mimba juu mtu kapigwa chini.kweli wanaume
 
Wakamuulize kwanza Nargis Mohammed kuhusu huyo Majey, kisha ndio waanze kujitangaza.
Majey ni kama amekuwa na hasira na hawa watoto wa kike wa hapa mjini, alimvunjia uchumba Nargis kwa Masoud Kipanya ambaye tayari alishampiga talaka mkewe Mama Malcom ili amuoe Nargis.
Kipanya hana hamu na Majey hata kidodo, hadi alimfanya akengeuke kwenye dini yake.
Ila Kipanya alipata nafuu baada ya kusikia Majey kamtosa pia Nargis.

Ova
 
Back
Top Bottom