Lulu ameruhusiwa vipi kuingia na hili vazi kanisani?

Lulu ameruhusiwa vipi kuingia na hili vazi kanisani?

Mama amiiiiiinaaaaaaaaaa


Tumjibu mtoa mada hata kimoyomoyo

Najua wengi mmemjibu
 
Ma slay queen watapata tabu sana mbinguni kuvaa zile kanzu ndefu siku zote. Kwa ujinga wao wanaweza kuanzisha movement kuwa wawe wanavaa kama huyo bibi harusi alivyo vaa, hapo ndo watajua Mungu akichafukwa huwa anakuwaje..
 
Nasikiaga eti siku hizi Dunia imevaa chupi halafu mpaka baadhi ya viongozi wa dini wamevurugwa
 
kabla sijafungua picha nilijisemea moyoni kuwa una wivu Ila baada ya kufungua itoshe kusema huu so uungwana hasa kwa kanisa katoliki
Maliza kwa kusema takatifu la mitume
 
Nilizoea ndoa za kikristo ni jumamosi kumbe unaweza kufunga siku yeyote zama hizi.
 
MK


MKUU VIONGOZI WA KANISA WANACHOHITAJI NI SADAKA TU WEWE HATA UKIENDA UCHI WATAKUAMBIA MUNGU HAANGALII MAVAZI
Acha kupotosha wakati sehemu nyingi wameweka na aina ya mavazi yasiyoruhusiwa/kuruhusiwa kuingia nayo kanisani?!!
 
Mungu anaangalia roho haangalii mwili
 
Report katika kituo cha police kilicho karbu nawe
 
Nyie mnaouliza "kanisa gani" "kanisa gani" kwani nyie mlidhani ni kanisa gani? Na mbona mkishajibiwa hamrudi tena kusema kitu? Ni la kwenu eeeh?
 
Back
Top Bottom