Lulu ameruhusiwa vipi kuingia na hili vazi kanisani?

Lulu ameruhusiwa vipi kuingia na hili vazi kanisani?

Naamini sasa hizi dini mwenye pesa haambiwi kitu, yani kuna muda huwa hata natamani kuslim maana hawa wenzetu wanazingatia sana maadili ya mwanamke hasa kwenye mavazi , hebu angalia hiyo picha binti kifua kipo wazi hivyo anaruhusiwa vipi kuingia ndani ya kanisa hivyo

Sina wivu jamani ila naangalia uelekeo wetu na kizazi kijacho

View attachment 1703982

Picha kwa hisani ya page ya mwananchi online..
Amevaa kiasili mbona.
Maana mababu walijifunga na ngozi pamoja na magome kuficha alicho ficha LULU
 
Heri uonyeshe tabia yako ilivyo, wapo watakaokusaidia kukurekebisha kwa kuwa wamekuona, kuliko ukajificha ukiwa kanisani halafu ukitoka nje eti ni ruksa kufanya chochote
 
MK

MKUU VIONGOZI WA KANISA WANACHOHITAJI NI SADAKA TU WEWE HATA UKIENDA UCHI WATAKUAMBIA MUNGU HAANGALII MAVAZI
Hizi ni kauli za watu wanaotafuta uhalali wa utamaduni wao wa kutokwenda kanisani
 
Nyie mnaouliza "kanisa gani" "kanisa gani" kwani nyie mlidhani ni kanisa gani? Na mbona mkishajibiwa hamrudi tena kusema kitu? Ni la kwenu eeeh?
Hee...ulitaka baada ya hapo wasemeje...! Endelea kuwasubiri labda watasema
 
Naamini sasa hizi dini mwenye pesa haambiwi kitu, yani kuna muda huwa hata natamani kuslim maana hawa wenzetu wanazingatia sana maadili ya mwanamke hasa kwenye mavazi , hebu angalia hiyo picha binti kifua kipo wazi hivyo anaruhusiwa vipi kuingia ndani ya kanisa hivyo

Sina wivu jamani ila naangalia uelekeo wetu na kizazi kijacho

View attachment 1703982

Picha kwa hisani ya page ya mwananchi online..
Hapo ustaarabu wa mwanaume umemezwa na aibu ya mwanamke.yaani suti ya mwanaume imeshushwa hadhi kwa vazi la mwanamke.ndio yale ya edeni bustanini
 
Asante Jesse John.., hii kitaalam inaitwa half-naked-wedding dress style..!

Usishangae kwa watu maarufu kuona haya.. kwao lolote linawezekana.. usikute hata mchungaji alikodiwa toka Kenya au hata ni masanja mkandamizaji[emoji3]

Kwako Jesse John..
[emoji855][emoji855][emoji855]
 
Ila watu walijua kumnanga Lulu jmn
Bora leo komeshaa yaoo...
 
Naamini sasa hizi dini mwenye pesa haambiwi kitu, yani kuna muda huwa hata natamani kuslim maana hawa wenzetu wanazingatia sana maadili ya mwanamke hasa kwenye mavazi , hebu angalia hiyo picha binti kifua kipo wazi hivyo anaruhusiwa vipi kuingia ndani ya kanisa hivyo

Sina wivu jamani ila naangalia uelekeo wetu na kizazi kijacho

View attachment 1703982

Picha kwa hisani ya page ya mwananchi online..
umechelewa sana kujua kuwadini ni biashara kama biashara nyingine
 
kwani bado mnakula kungu siku hizi dada mkubwa 😊
Hapana mdogo wangu, siku hizi hatuli kungu ili tuwe na vimacho mlegezo vyenye aibu, bali tunakunywa beer ili kuondoa aibu..
 
Hapana mdogo wangu, siku hizi hatuli kungu ili tuwe na vimacho mlegezo vyenye aibu, bali tunakunywa beer ili kuondoa aibu..
Zamani mlikuwa mnauhadaa umma.. vimacho vinakuwa vya aibu.

Siku hizi wenyewe wanaiondoa kbs aibu 😉 htr sn hili jmb
 
Huu ni mwaka wa neema maana sio kwa uchumba huu sugu wa lulu!

Wote tutakao olewa mwaka tusema emeeen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema pia bi kharusi wa siku hizi hawanaga aibu kabisa, mtu anaingia kanisani na shela lake huku anapiga zake kelele 'oyoooh'...![emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila la kheri kwao, Jah awe msimamizi na kiongozi wa muungano wao, Ndoa yao ikawe ya fanaka na baraka tele, wawe Pa1 mpaka pale kifo kitakapo watenganisha.
Ameeeeeen.
 
Back
Top Bottom