Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
ndio maana huwa mnachangamkaHapana mdogo wangu, siku hizi hatuli kungu ili tuwe na vimacho mlegezo vyenye aibu, bali tunakunywa beer ili kuondoa aibu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio maana huwa mnachangamkaHapana mdogo wangu, siku hizi hatuli kungu ili tuwe na vimacho mlegezo vyenye aibu, bali tunakunywa beer ili kuondoa aibu..
Sema pia bi kharusi wa siku hizi hawanaga aibu kabisa, mtu anaingia kanisani na shela lake huku anapiga zake kelele 'oyoooh'...![emoji23]
Maziwa na tumbo vinaonekana kabisa,Duh!!!
Kifua. Tumbo..... mabega.... manyonyo. Tunaita nusu uchiHatarii kifua njee njeee
Naamini sasa hizi dini mwenye pesa haambiwi kitu, yani kuna muda huwa hata natamani kuslim maana hawa wenzetu wanazingatia sana maadili ya mwanamke hasa kwenye mavazi , hebu angalia hiyo picha binti kifua kipo wazi hivyo anaruhusiwa vipi kuingia ndani ya kanisa hivyo
Sina wivu jamani ila naangalia uelekeo wetu na kizazi kijacho
View attachment 1703982
Picha kwa hisani ya page ya mwananchi online..
Sema pia bi kharusi wa siku hizi hawanaga aibu kabisa, mtu anaingia kanisani na shela lake huku anapiga zake kelele 'oyoooh'...!😂
Itakua porn master na tapeli gwajiboyKatoriki
Five againManyonyo nje iko ni kiwanda! Tunataka viwanda viwe vingi ili hata wale graduate mabaharia waweze kupata ajira katika viwanda hivyo...
Au nasema uongo ndugu zangu 🙅
Sema pia bi kharusi wa siku hizi hawanaga aibu kabisa, mtu anaingia kanisani na shela lake huku anapiga zake kelele 'oyoooh'...![emoji23]
Upo sahihi kabisa!Nimefikiria ..mwisho wa siku hayanihusu.