Lulu ameruhusiwa vipi kuingia na hili vazi kanisani?

kwani huyo Lulu ndio nani?
Wengine tunaishi Vijijini huku ndani ndani.
 
Sema pia bi kharusi wa siku hizi hawanaga aibu kabisa, mtu anaingia kanisani na shela lake huku anapiga zake kelele 'oyoooh'...![emoji23]


Mkuu.! Hiyo inakuwa kwa sababu ya suto la muda mrefu ambalo watu walikuwa kama wanamsuta kuwa haolewi anapotezewa muda n so forth. Kwahiyo acha watu watu washangilie maana kuolewa siku hizi sio jambo dogo, watu wanapiga mashine na kuweka pembeni.
 
Maziwa na tumbo vinaonekana kabisa,Duh!!!

Mkuu ukiwa na Fwedha, hayo yote huwezi ambiwa kama umevaa vibaya ama lah.! Nina uzoefu kidogo na hawa wachungaji wetu au viogozi wetu wa dini, kwa mtu ambaye anapesa huwa hawawezi kumkemea zaidi watamsifia na kumpongeza sana sana tu sasa uende kuwambia nataka kufunga ndoa alfu we ndio wale Kajamba nani ..hehee utawekwa kitimoto na kukoromewa mwisho.
Kuna jamaa yangu anakaa na mwanamke wake hawajafunga pingu za maisha, ila katoa mahali tu. Sasa kuna siku walitofautiana jamaa akazinda tu hakufanya lolote manzi akamwambia Pr wa kanisa fulani aje kuwasuluhisha si akaja akaanza kuwasuluhisha tena akawa anamsihi binti asimbanie mshikaji utadhani basi ni ndoa .. hapana ila kwa sababu jamaa huwa linamsaidia kwa mambo mengi hiyo pr hata hajakemea hiyo dhambi ya kukaa pamoja kabla ya kuoana. Ndio hivyo PESA INAONGEA MKUU.
 

@Mallia unataka usilimu kisa mavazi [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Sema pia bi kharusi wa siku hizi hawanaga aibu kabisa, mtu anaingia kanisani na shela lake huku anapiga zake kelele 'oyoooh'...!😂


Zamani walikuwa wanaona aibu kwamba kuna watu wanawatazama kwamba sasa wanaenda kulala uchi,Pia walikuwa wanaoana kabla hawajafanya siku hiz mtu yanaenda tayari keshaguswa kila mahali hana uhoga kabsaaa.
 
Ma bi arusi wa siku hizi balaa tupu aibu hawana wanashindana kukatika mbele ya watu kadamnasi eti wameolewa sijui nini hovyo tupu mxxxxw wananiuzigi mie hawajui tu. Zamani ilikuwepo heshima bana na machozi juu n.k lakini leoleo macho kodo kama mjusi kabanwa na geti
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema pia bi kharusi wa siku hizi hawanaga aibu kabisa, mtu anaingia kanisani na shela lake huku anapiga zake kelele 'oyoooh'...![emoji23]

 
Kanisa katoliki lina ubaguzi.
Angekuwa ni mtu mwingine sio maarufu Hilo vazi lingefunikwa na kitenge.

Pale St. Peter's kuna tangazo kuhusu muongozo wa mavazi ikionyesha ni mavazi aina gani hayaruhusiwi...Lkn cha kushangaza kwenye ibada ya kiingereza watu wanavaa watakavyo yaani unaweza dhani umeingia club, nguo fupi juu ya magoti, vikaptula na mabega wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…