Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,097
Nimekumbukaa msaada wa komba captain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumbukaa msaada wa komba captain
Hata self defense unaachiwa. Kesi nyingi wewe mtu avamiwe na jambazi wenye silaha katika kujilinda amuue jambazi utamhukumuje mtu kama huyu hiyo ni manslaughter yes lakini hakuna kifungo chochote.Mistake of fact unaachiwa ila siyo self defense.
Leta ushahidiHata self defense unaachiwa. Kesi nyingi wewe mtu avamiwe na jambazi wenye silaha katika kujilinda amuue jambazi utamhukumuje mtu kama huyu hiyo ni manslaughter yes lakini hakuna kifungo chochote.
Lulu alikuwa under 18 yrshivi ilikuwaje akarudi uraiani na inakuwaje kesi imeanza upya?
Ataweza kuthibitisha madai hayo? Watu wameishakusanya ushahidi,ingekuwa ni hivyo kesi isingeanza kusikilizwa.Tusubiri mchakato,ushahidi usiotia shaka utaiwezesha mahakama kuamua.Halafu kwenye self defense kinachoangaliwa ni reasonability ya force iliyotumika kama Lulu akisema alitaka kubakwa na kanumba akamsukuma, kusukuma ni reasonable force kwa mtu anayetaka kubakwa hivyo ataachiwa huru tu!
Huyo mwingine alikua nani
SAWALulu alikuwa under 18 yrs
Mkuu subiri mawakili wa Lulu wakianza kumuuliza maswali Seth ndio utajua sheria ilivyo ya kiduanzi....Tena Seth kaleta na story za kuwa kulikuwa na Panga chini ya kitanda ila hajui Panga la nani ndio wanajimaliza kabisa.report ya daktar ilionyesha kanumba ubongo wake ulitingishika na kushuka nyuma..halafu mwili ulibadilika rangi.
sasa mtu unadhani ni kitu gani kimpate hadi ubongo ushuke nyuma ghafla.?si alibabizwa ukutani labda?
maekezo ya seth yanasema alimkuta k kaegemea ukuta huku hapumui.
kama alianguka mwenyewe why hako kalulu kalipoona haamki kakatimua mbio kuondok?
if she ia not guilty si angebaki akaomba msaada kwa seth wamkimbize hospital?
Mkuu amini nakwambia mawakili wa Lulu watamuweka kitimoto Seth.Mkuu acha uongo,Jamaa alikufa katika mazingira ya ugomvi uliomuhusisha Lulu na Lulu ndo anajua na ndo maana ni lone suspect.Seth ni shahid tuu,ushahidi wake unatakiwa uendane na material facts ya kesi husika,Seth akisema mambo ambayo hayana kushabihiana na kesi au kuonesha Lulu si muhusika inawezekana Lulu akachomoka lakini Seth hawez kuwa hatiani labda upande wa mashtaka ushtaki upya na Seth awe suspect.Kumbuka Lulu alisha plead manslaugthter,kama hii ni kweli kitakachofanyika mitigating process ya kumpunguzia ukali wa adhabu.
KWA KWELI MIMI NAUNGANA NA WEWE!Wa kulaumiwa hapa ni wengi ,wengi sana,baba yake,wababa watu wazima waliomuingiza mtoto katika dunia ovu,wakamkatili utoto wake.Kuna wale walioweka mbele ya luninga wakamfanua kuwa maarufu hadi kujiona yuko juu ya wengine hata waliomzidi umri.Na wale waliomshabikia,mamlaka zilizozembea hadi mtoto akaacha shule? Hapa namkumbuka King crazy Gk na sauti ya Manka.je,yawezekana hii ndiyo sauti ya Manka aliyoiimba msanii huyu?
HII HABARI YA PANGA HII!Mkuu subiri mawakili wa Lulu wakianza kumuuliza maswali Seth ndio utajua sheria ilivyo ya kiduanzi....Tena Seth kaleta na story za kuwa kulikuwa na Panga chini ya kitanda ila hajui Panga la nani ndio wanajimaliza kabisa.
Na seth kusema kuwa alimsikia Kanumba akifoka kwanini Lulu anaongea na bwana mbele yake ndio inazidi kuwaweka pabaya.
kabisa!Mkuu amini nakwambia mawakili wa Lulu watamuweka kitimoto Seth.
sio zote...inategema circumstances of each case...n in most cases defence hiyo inatumika kma ni mitigating factor tu. remember each case must be determined basing on its own merit.Lakini huku kwetu mistake of fact unaachiwa huru refer Sultan maginga
sio zote...inategema na circumstances of each case...n in most cases defence hiyo inatumika kma ni mitigating factor tu. remember each case must be determined basing on its own meritHata self defense unaachiwa. Kesi nyingi wewe mtu avamiwe na jambazi wenye silaha katika kujilinda amuue jambazi utamhukumuje mtu kama huyu hiyo ni manslaughter yes lakini hakuna kifungo chochote.
Panga ni immaterial katika kesi hii.Kama angelikuta na damu na polisi aliyechunguza eneo la tukio angeliona na kulichukua na kama lingekuwa na blood steins hapo sawa.Kwa kesi hii panga halihusiki labda kama kuna element za marehemu kukatwa na panga.kabisa!
WHY NOW?
KWANINI SETH ANATAKA KULAZIMISHA KUWA LULU ALIKUSUDIA?
WANATAKA KUFICHA NINI?
KESI YA MWANZO WAS VERY GENUINE!
KAMSUKUMA KAANGUKA KAFA!
SASA LEO ANALETA HABARI ATI NILIONA PANGA CHINI YA KITANDA!
so lulu aliliweka ili amchinje Kanumba?
usiku kuna taharuki unawezaje kuona panga uvunguni kama sio ULILIWEKA?
kama panga lilikuwepo toka mwanzo kiasi unajua kuwa lipo,HOW COMES UNALIHUSISHA LEO?
kwanini HAWAKULITOA?
walikuwa wanaishi na nani zaidia ya wao watatu?
HEHEHEHHEHE WACHA TUONE!