DavidSky
Member
- Oct 21, 2017
- 51
- 45
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina elimu sana kuhusu sheria ila nnachokifahamu ni..... Kosa la jinai kama kuuwa halima dhama hivyo wakat amewekwa ndani ilikua kw kosa hili.hivi ilikuwaje akarudi uraiani na inakuwaje kesi imeanza upya?
Umeongea vizuri mwalimu.kabisa!
HUYU MAMA NDIYE ANASTAHILI YOTE YALIYOMKUTA HUYU MTOTO!
mtoto wa miaka nane ,unamuacha na WANAUME BAKI(hao ndugu tu mtihani)
UNAMUACHA NA WANAUME BAKI!WANAKAA KAMBINI SIJUI KAMBINI ATI WANAIGIZA IGIZO!
LEO MIMI SIMUONI LULU KUWA NI TATIZO!
HUYU MTOTO ALIONEWA NA JAMII ILIYOMZUNGUKA!
HUKU CHENI HUKU RAY HUKU KANUMBA HUKU CHEKIBUDI HUKU MAMA ANAJIVUNIA AMEZAA MTOTO MZURI HAWEZI KUISHI KWA SHIDA !
walioishi tabata na huyu mama wataelewa ninachozungumza!
TO ME LULU NI VICTIM!
kanumba na wengine WALIMUUA HUYU MTOTO AKIWA HAI!
UNAPOINFLUENCE MTOTO ASISOME
UNAPOINFLUENCE MTOTO AONE MWILI WAKE NDIO MGODI WAKE
UNAPONFULENCE MTOTO ASIJALI UTU WA MWILI WALA NAFSI YAKE
COME TO THINKC OF WANAUME AMBAO LULU AMEWAHI KUWA NA MAHUSIANO NAO?
mimi na uzee wangu sipandi kwa mtu kama marehemu wa TOT!
HUYU ALIULIWA AKIWA HAI!
UNAPOUA NAFSI NA UTASHI WA MTU HUMBAIKIZI SALAMA!
SIONI AJABU YOYOTE YA HAYA YANAYOMKUTA!
NAUMIA KAMA MZAZI WA KIKE
NAUMIA KAMA MAMA WA MABINTI
NAUMIA KAMA MWALIMU
[emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mmh geni nipe no yako nikupigie unipe huu ubuyu ni wa moto alafu unautoa taratibu sana jomonii
Wish iwe hivyo,if not waeleze wazi kwanini hafungwihizi mahakama hazitabiriki..... utashangaa Lulu anakula miaka 7 ndani
Kumbe ni kweli ukimla lulu lazima ufe. Kaliulizwa na salama hili swali kakatoa jibu la siasaHatujui nani ila kuna mshikaji namjua alikua anaishi mtwara one week before tragedy lulu akijua mtwara kuliwa alifikia naf blue view hotel