Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

sio zote...inategema na circumstances of each case...n in most cases defence hiyo inatumika kma ni mitigating factor tu. remember each case must be determined basing on its own merit
Wewe uko sawa na mimi,nadhan watu wengi hawajajua kambo haya.
 
Panga ni immaterial katika kesi hii.Kama angelikuta na damu na polisi aliyechunguza eneo la tukio angeliona na kulichukua na kama lingekuwa na blood steins hapo sawa.Kwa kesi hii panga halihusiki labda kama kuna element za marehemu kukatwa na panga.
NDO HAPA KESI INAPOGEUKA UELEKEO!


KWANINI HE IS TRYING TO KUSEMA PANGA LILIHUSIKA!
WAKATI STEVE HAKUULIWA KWA KITU CHENYE MAKALI!

UNLEEEEEEEEEEEEEEEEEEESS ANATAKA KUSEMA KUNA MENGINE HAYAKUSEMWA!
WHY NOW?
 
Wanawake wa sikuhizi mnazaa "underage". Huyo mama yake Lulu anaonekana kama pacha wake, yaani makamo sawa, hii imekaaje!
Halafu hii kesi nilijua ilisha malizika kitambo. Hata mamaake marehemu kunakipindi alitamka wazi kwamba kasamehe!
Sasa huyu shetani wa mikesi kaibuka toka wapi tena na ni nani mlalamikaji wa msingi pale?
Jamhuri
 
Kusema panga lilikuwepo chini ya Kitanda sio kwambaa Lulu alimpiga kanumba na Pangaa maana kanumba hakukutwa na Jerahaa lolote la kukatwaa..!!
 
Tena unajua kiroho tunasema damu huwa inanena.believe me hilo tukio lina athari sana kwa lulu mwenyewe na kwa familia ya kina kanumba kiroho kuliko hata hiyo kesi inayoendelea hapo.ndo maana zamani tunaona kwenye biblia iliandikwa taratibu za kufuata ikitokea mtu ameuwawa lengo ilikua ni kuzuia hilo tukio lisitokee tena kwenye familia ya marehemu na pia kumuokoa na madhara ya damu huyo alieua.madhara ya damu ya mtu ni mabaya yanaenda mpaka kizazi cha nne.ndo maana lulu anatakiwa aende kwa watumishi wa Mungu wa kweli amalize hii issue isimsumbue japo ni ngumu sana.na mazungumzo na familia ya kina kanumba lazima ayafanye.awaeleze ukweli na ahahakikishe wanamsamehe kutoka moyoni.damu ya mtu mbaya sanaaaaaa asikwambie mtu aisee
Imani tu hizo hakuna facts
 
NDO HAPA KESI INAPOGEUKA UELEKEO!


KWANINI HE IS TRYING TO KUSEMA PANGA LILIHUSIKA!
WAKATI STEVE HAKUULIWA KWA KITU CHENYE MAKALI!

UNLEEEEEEEEEEEEEEEEEEESS ANATAKA KUSEMA KUNA MENGINE HAYAKUSEMWA!
WHY NOW?
Panga ni irelevant katika kesi hii
 
Aisee huyo mtoto ana confidence sana. Vitu anavyopitia vimemzidi sana umri ila yuko stable sana. Mungu amfanyie wepesi kama kweli alitenda kosa bila kukusudia
 
Huyu mtoto amelitia taifa hasara kubwa sana
bongo movie yetu isingekua hapa ICU
waliobaki wanapumulia mipira

ila kama kaua bila kukusudia kweli Mungu amsaidie maana mahakamani sometime maelezo yako yanaweza kukufunga japo huna kosa
 
shahidi anaamini ni relevant!
as to thts wat wanataka tuamini ilikusudiwa!
HIIII CORNER HIIII!
we twende tu!
Ngoja twende,ila hisia zangu ni kwamba huenda kulikuwa na mtu mwingune mule chumbani,isije akawa ni Pasua kichwa.
 
Back
Top Bottom