Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

sio zote...inategema na circumstances of each case...n in most cases defence hiyo inatumika kma ni mitigating factor tu. remember each case must be determined basing on its own merit
Wewe uko sawa na mimi,nadhan watu wengi hawajajua kambo haya.
 
Panga ni immaterial katika kesi hii.Kama angelikuta na damu na polisi aliyechunguza eneo la tukio angeliona na kulichukua na kama lingekuwa na blood steins hapo sawa.Kwa kesi hii panga halihusiki labda kama kuna element za marehemu kukatwa na panga.
NDO HAPA KESI INAPOGEUKA UELEKEO!


KWANINI HE IS TRYING TO KUSEMA PANGA LILIHUSIKA!
WAKATI STEVE HAKUULIWA KWA KITU CHENYE MAKALI!

UNLEEEEEEEEEEEEEEEEEEESS ANATAKA KUSEMA KUNA MENGINE HAYAKUSEMWA!
WHY NOW?
 
Jamhuri
 
Kusema panga lilikuwepo chini ya Kitanda sio kwambaa Lulu alimpiga kanumba na Pangaa maana kanumba hakukutwa na Jerahaa lolote la kukatwaa..!!
 
Imani tu hizo hakuna facts
 
NDO HAPA KESI INAPOGEUKA UELEKEO!


KWANINI HE IS TRYING TO KUSEMA PANGA LILIHUSIKA!
WAKATI STEVE HAKUULIWA KWA KITU CHENYE MAKALI!

UNLEEEEEEEEEEEEEEEEEEESS ANATAKA KUSEMA KUNA MENGINE HAYAKUSEMWA!
WHY NOW?
Panga ni irelevant katika kesi hii
 
Aisee huyo mtoto ana confidence sana. Vitu anavyopitia vimemzidi sana umri ila yuko stable sana. Mungu amfanyie wepesi kama kweli alitenda kosa bila kukusudia
 
Huyu mtoto amelitia taifa hasara kubwa sana
bongo movie yetu isingekua hapa ICU
waliobaki wanapumulia mipira

ila kama kaua bila kukusudia kweli Mungu amsaidie maana mahakamani sometime maelezo yako yanaweza kukufunga japo huna kosa
 
shahidi anaamini ni relevant!
as to thts wat wanataka tuamini ilikusudiwa!
HIIII CORNER HIIII!
we twende tu!
Ngoja twende,ila hisia zangu ni kwamba huenda kulikuwa na mtu mwingune mule chumbani,isije akawa ni Pasua kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…