Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

hivi ilikuwaje akarudi uraiani na inakuwaje kesi imeanza upya?
Sina elimu sana kuhusu sheria ila nnachokifahamu ni..... Kosa la jinai kama kuuwa halima dhama hivyo wakat amewekwa ndani ilikua kw kosa hili.

Kw nin alirud uraian? Ni hivi baada ya upelelez na maelezo kipnd kile wakat kesi YAKE ikitajwa ilionekana ameua bila kukusudia hivyo kesi ikabadlika na ndio maana akapata dhamana na kurud uraian

Kw nin kesi unaendelea? Sasa hivi ni ushahid ndio unatolewa kw pande Zote,

Lulu ameshtakiwa na jamuhuri kw kosa la kuua bila kukusudia
 
Umeongea vizuri mwalimu.
 
ila aka kalulu kanaonekana kaliua kabisa kwa kukusudia , sio kwa matusi yale kanayotoa mitandaoni
 
Hatujui nani ila kuna mshikaji namjua alikua anaishi mtwara one week before tragedy lulu akijua mtwara kuliwa alifikia naf blue view hotel
Kumbe ni kweli ukimla lulu lazima ufe. Kaliulizwa na salama hili swali kakatoa jibu la siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…