Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila jamani kama mzazi huyu binti anatia huruma........inaumiza kuona mtoto anafanya makubwa zaidi ya umri wake......kama mzazi natamani kuona anajiheshimu....kujitunza....na kujipenda.....
mamake ndo anamtegemea lulu auze nyapu ili waishi
Kwenye picha ya insta ameonesha kadi ya gar ikiwa imeandikwa jina lake la kwenye kadi ya kuzaliwa so labda kaachwa tu na sio kunyang'anywa gar,she say bado analimilik
Mbongo movie lulu yasemekana amepigwa kibuti na mapedeshee wake waliokua wanamuweka mjini
Yule wa Mererani na yule wa tmt.
Yote ni baada ya kuweka picha instagram akiwa na kiserengeti boy chake hivyo wafadhili wote wakamtema na kunyang'anywa kadi ya gari maeneo ya kibo palace hotel bibie akashusha kilio kikali cha majuto.
Pole lulu mkifadhiliwa mfadhilike
We bnti mdogo sana rudi shule my dear uwezo wa kusoma unao
Kuna leo na kesho kwa nini ukubali kudhalilisha mwili wako hvyo!
mamake ndo anamtegemea lulu auze nyapu ili waishi
Kweli biashara matangazo....
Kwahiyo kaamua kuficha aibu ya gari ila kuweka picha ili ijulikane kaachwa wengine wadandie!!??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pamoja na hayo namwonea huruma tu.....nikikumbuka kipindi anaigiza katoto...dah....
Hivi huyo bwana wa TmT ni nani ,!!?
Magogoni anasoma nini hata form four hajamaliza !!!
Wale wale kina wema
Bado tena na Justine Berber kanampenda
mmh hako nako