Lulu apigwa kibuti na kunyang'anywa gari baada ya kuposti picha yupo na bwana mwingine

Lulu apigwa kibuti na kunyang'anywa gari baada ya kuposti picha yupo na bwana mwingine

Ila jamani kama mzazi huyu binti anatia huruma........inaumiza kuona mtoto anafanya makubwa zaidi ya umri wake......kama mzazi natamani kuona anajiheshimu....kujitunza....na kujipenda.....
 
Mama mwenyewe si anawekwa mjini na mwanae, so unategemea atasema nini?

yaani kuna wamama sijui wameumbwaje
unakubali mwanao awe malaya ili we uishi kweli?
ulizaa ili iweje?
hajisikii vibaya?
MUNGU nusuru vizazi vyetu!
 
Ila jamani kama mzazi huyu binti anatia huruma........inaumiza kuona mtoto anafanya makubwa zaidi ya umri wake......kama mzazi natamani kuona anajiheshimu....kujitunza....na kujipenda.....

mamake ndo anamtegemea lulu auze nyapu ili waishi
 
Kwenye picha ya insta ameonesha kadi ya gar ikiwa imeandikwa jina lake la kwenye kadi ya kuzaliwa so labda kaachwa tu na sio kunyang'anywa gar,she say bado analimilik

Kweli biashara matangazo....
Kwahiyo kaamua kuficha aibu ya gari ila kuweka picha ili ijulikane kaachwa wengine wadandie!!??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aseme tu kama anataka gari ila masharti kuzingatiwa....by the way alikuwa ana drive gari gani( kwa lafudhi ya kihaya )
 
Mbongo movie lulu yasemekana amepigwa kibuti na mapedeshee wake waliokua wanamuweka mjini
Yule wa Mererani na yule wa tmt.
Yote ni baada ya kuweka picha instagram akiwa na kiserengeti boy chake hivyo wafadhili wote wakamtema na kunyang'anywa kadi ya gari maeneo ya kibo palace hotel bibie akashusha kilio kikali cha majuto.
Pole lulu mkifadhiliwa mfadhilike
We bnti mdogo sana rudi shule my dear uwezo wa kusoma unao
Kuna leo na kesho kwa nini ukubali kudhalilisha mwili wako hvyo!

Mbona nmeskia anasoma magogoni
 
Hivi huyo bwana wa TmT ni nani ,!!?
Magogoni anasoma nini hata form four hajamaliza !!!
Wale wale kina wema
 
Hivi lile gamba lenye mwili unaoshindwa kubebwa na miguu alijenga nyumba tu ama na Gari alinunua?Hv bado anamgegeda?
 
Kweli biashara matangazo....
Kwahiyo kaamua kuficha aibu ya gari ila kuweka picha ili ijulikane kaachwa wengine wadandie!!??

Sent from my iPhone using JamiiForums

Biashara matangazo
 
Pamoja na hayo namwonea huruma tu.....nikikumbuka kipindi anaigiza katoto...dah....

yaani namkumbuka vizuri ni rika la mdogo wangu
maana nakumbuka alikua anatangazaga habari za watoto yaani lulu jamani mi nkimuangalia simbakishi hata kidogo!
 
Hivi huyo bwana wa TmT ni nani ,!!?
Magogoni anasoma nini hata form four hajamaliza !!!
Wale wale kina wema

yule chief judge km sikosei
hajamaliza hata form 4
vyeti sijui kahongwa
yaani maisha ya lulu ni hayana tofauti na changudoa wa kimboka au sewa bar
 
Back
Top Bottom