Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

Hilo hata mimi nilitaka kuuliza nikaona nisipigwe ban bure maana ukiuliza watu wamefikaje huko ni matusi, lakini all in all hongera zake. Wengine waige mfano.
Kumbe BAN itanihusu muda wowote naomba nifute kauli juu ya hilo swali ......ila atakaepata jibu AJE
 
In any case ni uamuzi mzuri sana tena unaostahili kupongezwa. Tunamtakia kila la kheri.

Ila ajiepushe na drama zisizo na kichwa wala miguu. Ajielekeze zaidi kwenye mambo yanayomjenga!
 
Dah... kweli Bongo movie sasa hailipi ..
 
Lulu naye! Anadhani hatujui anasoma hapo Magogoni hicho chuo kinaandaa masekretari.. Na wako kwenye mitihani kuanzia wiki jana.

Siku hizi ukisoma MS Word na XL Unasoma Engineering???[emoji23] [emoji23]
usije sababisha watu tukacheka kw nguvu sana serikali iingilie kati ikajua mnamkebehi apa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kama kaenda kuchukua hapo sawaaaaaaaaaaaaaa atapata

lkn kama kaenda kusomea asahau hapati kitu
 
from Magogoni (secretary/records management) to Telecommunication Engineering...ONLY IN BONGOLAND.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…