GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,279
- 2,921
Kumbe BAN itanihusu muda wowote naomba nifute kauli juu ya hilo swali ......ila atakaepata jibu AJEHilo hata mimi nilitaka kuuliza nikaona nisipigwe ban bure maana ukiuliza watu wamefikaje huko ni matusi, lakini all in all hongera zake. Wengine waige mfano.