MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
- Thread starter
-
- #101
shikamoo nyaoro,naskia anaweza kukushika miaka kumiWalianza ualimu wakaudharau,
wakaja uuguzi nao wakaleta utani hadi mtu akapasuliwa goti badala ya kichwa,
wakaja wakadhalilisha phd, wakaja wakadhalilisha heshima ya uprofesa, wameona haitoshi sasa wanamaliza na Engineering?
Au anatania tu? Kweli Engineering ya kina Dr. Kimaro, Dr. Koda, Dr. Nyaoro na wengineo ataiweza?
Yule ukilegea unastaafishwa masomo kwa manufaa ya taifa.shikamoo nyaoro,naskia anaweza kukushika miaka kumi
Msanii mahiri wa filamu Elizabeth Micheal ‘Lulu’ amerudi chuoni na kuamua kuchukua kozi ya Telecommunication engineering.
Muigizaji huyo ameweka wazi anachosomea baada ya mashabiki katika mtandao wa Periscope, kutaka kujua anasomea nini baada ya kupost video mbalimbali katika mtandao huyo huku akizungumzia maswala ya chuo.
“Jamani nimechoka kuulizwa nasomea nini, nasomea nini, nachukua Telecommunication engineering,” alisema Lulu.
Muigizaji huyo hakupenda kuweka wazi ni chuo gani anasoma, lakini aliweka wazi wiki hii naingia katika mitihani.
Lulu ni miongoni mwa wasanii wachache wa filamu walioamua kurudi darasani na kuongeza maarifa.
Source ;Bongo 5
na pajero yake ya kizamani haha haaahYule ukilegea unastaafishwa masomo kwa manufaa ya taifa.
Teh teh teh...itakuwa ni script ya movie! Yaani engineering hata physics hana..! Itakuwa engineering ya mwendo kasi na itakuwa ya kwanza kupewa mtu kama yeye duniani!! Telecom hata gravitation sidhani kama anajua ni kitu gani...lakini kwa kuwa ni msanii naona ni maigizo tu..Matokeo yake ya form four haya hapa.
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2011/csee2011/s3548.htm
View attachment 358613
Coet..??Ni kweli yupo hapa mlimani
Shule ina Div4 na 0 tuMatokeo yake ya form four haya hapa.
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2011/csee2011/s3548.htm
View attachment 358613
mkuu ndio maana kasema anachukua teh tehTeh teh teh...itakuwa ni script ya movie! Yaani engineering hata physics hana..! Itakuwa engineering ya mwendo kasi na itakuwa ya kwanza kupewa mtu kama yeye duniani!! Telecom hata gravitation sidhani kama anajua ni kitu gani...lakini kwa kuwa ni msanii naona ni maigizo tu..
Labda alitumia ile mbinu aliyoitumia mfalme Daudi kumuua Gholiati.Kabisa! Hivi umeshapata kujiuliza alitumia Law ipi ya Issac Newton hadi kulipeleka chini jibaba kama Marehemu Kanumba?!
Hata hapo anapochukulia patakuwa ni jama Midway tu...mkuu ndio maana kasema anachukua teh teh
Kwa hayo matokea hata St. Joseph wataogopa kumchukuaMatokeo yake ya form four haya hapa.
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2011/csee2011/s3548.htm
View attachment 358613
Ndo maana mi nikasema kwa ninavyolifahamu hili zigo la telecom kubebwa na lulu ni sawa na kuokota embe dodo kwenye mnazi.Fani anayochukua maelezo yake haya hapa:
Telecommunications engineering - Wikipedia, the free encyclopedia