makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Duhh, hilo neno "NACHUKUA" ina maana keshafaulu na hakuna haja ya kutahiniwaMsanii mahiri wa filamu Elizabeth Micheal ‘Lulu’ amerudi chuoni na kuamua kuchukua kozi ya Telecommunication engineering.
Muigizaji huyo ameweka wazi anachosomea baada ya mashabiki katika mtandao wa Periscope, kutaka kujua anasomea nini baada ya kupost video mbalimbali katika mtandao huyo huku akizungumzia maswala ya chuo.
“Jamani nimechoka kuulizwa nasomea nini, nasomea nini, nachukua Telecommunication engineering,” alisema Lulu.
Muigizaji huyo hakupenda kuweka wazi ni chuo gani anasoma, lakini aliweka wazi wiki hii naingia katika mitihani.
Lulu ni miongoni mwa wasanii wachache wa filamu walioamua kurudi darasani na kuongeza maarifa.
Source ;Bongo 5
Matokeo yake ya form four haya hapa.
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2011/csee2011/s3548.htm
View attachment 358613
Mkuu umeua hahahaMweeh
Hahahahh..mkuu hawa Bongo movie wana masihara sana na taaluma za watu..amadeusha post: 16592455 said:usije sababisha watu tukacheka kw nguvu sana serikali iingilie kati ikajua mnamkebehi apa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
3rd Law mkuu 'to every action there is an equal and opposite reaction'. [emoji123] [emoji123] [emoji123]Kabisa! Hivi umeshapata kujiuliza alitumia Law ipi ya Issac Newton hadi kulipeleka chini jibaba kama Marehemu Kanumba?!
Nimesoma hii habar sikuielewa hata kidogo lakin nilipojaribu kuangalia jina la mleta mada ndio nikaielewa uzueMsanii mahiri wa filamu Elizabeth Micheal ‘Lulu’ amerudi chuoni na kuamua kuchukua kozi ya Telecommunication engineering.
Muigizaji huyo ameweka wazi anachosomea baada ya mashabiki katika mtandao wa Periscope, kutaka kujua anasomea nini baada ya kupost video mbalimbali katika mtandao huyo huku akizungumzia maswala ya chuo.
“Jamani nimechoka kuulizwa nasomea nini, nasomea nini, nachukua Telecommunication engineering,” alisema Lulu.
Muigizaji huyo hakupenda kuweka wazi ni chuo gani anasoma, lakini aliweka wazi wiki hii naingia katika mitihani.
Lulu ni miongoni mwa wasanii wachache wa filamu walioamua kurudi darasani na kuongeza maarifa.
Source ;Bongo 5
"Telecommunication Engineering" basi sawa
Lulu naye! Anadhani hatujui anasoma hapo Magogoni hicho chuo kinaandaa masekretari.. Na wako kwenye mitihani kuanzia wiki jana.
Siku hizi ukisoma MS Word na XL Unasoma Engineering???[emoji23] [emoji23]
Miongoni mwa wanafunzi maboya wa perfect vision huyu nae kwenye list alikuwemo,kutwa alikuwa anashinda kwenye vigenge vya chips na wadau nao walikuwa hawayumbi kumshesha humo no skul labda ushonaji kwa masista wa kijezuiti pale mbinga