Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,039
- 7,465
Una akili ya pekee lakini fyatu.Mbona Rais Dr. Magufuli amejifungia Kifungo ' maalum ' Tanzania katika Gereza la Ikulu lakini wawakilishi wake Makamu na Waziri Mkuu wanamuwakilisha vyema tu huko nje na ng'ambo na hakuna kinachoharibika?